mwanza

  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Barabara korofi Nchini: Taja Zako! Naona Mwanza, Simiyu Manyara na Kilimanjaro panaongoza

    Salama wanajamvii. Sasa leo tutaje barabara zenye kero Mimi naanza na Barabara ya BABATI -SINGIDA anzia Daredaa ile barabara inatuchelewesha sana barabarani ni mbivu ni kama rafu road ilichangamkaaa. Mwanza - Lamadi hii barabara unaanzia Nyaguge hadi lamadi ni rafu road iliyochangamkaa.Mwanza...
  2. JamiiForums Tanzania RCO wa mkoa wa Mwanza, ashitakiwe Kwa uharifu dhidi ya ubinadamu.

    Tanzania imegeukia kuwa uwanja wa damu. Kinachouma zaidi watanzania hawana kitu kinaitwa revenge. Hawa vibaka wangekuwa South Africa au hapa USA wangekuwa washaliwa vichwa. RCO wa mkoa wa Mwanza bwana Sudi, ametenda makosa makubwa mnoo, kiasi kwamba amefikia threshold ya kushitakiwa Kwa crime...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi "MV Mwanza Hapa Kazi Tu" ndio rasmi imekuwa "white elephant"?

    Hii insaikitisha. Tulikuwa na matumaini makubwa na hii meli. Sasa ime dock Mwanza; haina mahali pa kwenda. Mara ya mwisho nilisikia wansubiri Jinja au Port Bell ziwe tayari lakini sina imani kama hizi ports ni suluhisho. Hii meli imejengwa kwa ajiri ya abiria kwanza. Mzigo ni ziada. Lakini...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za Huduma Hospitali ya Misungwi Wilaya Misungwi Mkoa Mwanza

    Huduma katika hopstali hii ni mbaya sana ingawa hosptali ina majengo mazuri ya kisasa vifaa vya kisasa, lakini kila tukienda Wanasema mtandao hakuna. Na pia Serikali iweke wazi kama haiwalipi mishahara wauguzi tujue ili sisi wenye wagonjwa tulipe pesa zetu maana nilipeleka mgojwa mpaka masaa 24...
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Wakazi wa mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji

    Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na Kumalija, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje ndipo wananchi...
  6. O

    JamiiForums Tanzania “Kafiti hatoshi Ilemela?”kauli ya Rc Mwanza kwa Kafiti “Kukalia kiti nunusu”

    “KAFITI HATOSHI ILEMELA?”KAULI YA RC MWANZA KWA KAFITI “KUKALIA KITI NUNUSU”. Siku chache zilizopita Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, alitoa kauli yenye mashaka na utata ndani yake kuhusu Mbunge wa Ilemela Kafiti William. Kauli ya mkuu wa mkoa ilikuwa hivi, nanukuu maneno yake,” wewe sasa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gulio la Mkuyuni mkoani Mwanza ni chafu

    Siku ya jumapili huwa kuna mnada wa nguo hapa mkuyuni mwanza ila hali ya mazingira ya mnadan hapa mkuyuni ni ya kutisha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge, Kijana kutoka Mwanza, anamuoa binti wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, Hii hapa Cv Yake

    Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake si kubwa sana mtandaoni ila nimepata hints hizi. Kwanza jamaa kasoma IFM Bachelor of Science Degree...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo Fleva Mwanza

    JE, HISTORIA YA PHILIBERT KABAGO IMESAHAULIKA KWENYE MIAKA 30 YA BONGO FLEVA? Tarehe 8 Agosti 2026, macho ya wadau wa muziki yataelekezwa jijini Mwanza katika tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva litakalofanyika The Climax, Rock City Mall. Ni tamasha linalolenga kuenzi safari ya muziki wa Bongo...
  10. JamiiForums Tanzania Dada anayefanya biashara ya kuuza majeneza Mwanza, asimulia siku ya kwanza kufanya biashara hiyo alilia sana

    https://www.youtube.com/watch?v=odtsPqmTGP0
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wachunguze Kituo cha Afya Kadashi, Wilaya ya Kwimba – Mwanza. Utendaji unatukwaza Watumishi

    Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1. Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Kikundi cha 'Twendeni Art Group' Walalamikia Kubomolewa kwa Mabanda Yao Mwanza

    Wasanii wanaojishughulisha na kazi za sanaa kupitia kikundi cha Twendeni Art Group jijini Mwanza wameonyesha kusikitishwa kwao na kitendo cha mabanda yao ya kufanyia kazi kubomolewa ghafla bila kupewa muda wa kutosha au taarifa za kuridhisha. Kauli ya Kiongozi wa Kikundi (Isaac Ibrahimu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko yetu kwenda kwa Mkuu wa Mkoa Said Mtanda, tunaomba ufuatilie na ufanyie kazi

    RC Mtanda, Kuanzia Januari hadi Juni 2026, wananchi wa Wilaya ya Ilemela tumeendelea kuwasilisha malalamiko ya uwepo wa changamoto zinazojirudia katika utoaji wa huduma za umma na usimamizi wa majukumu ya Serikali pamoja na taasisi zake. Changamoto hizo zimejikita zaidi katika sekta za...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali, TNMC tusaidieni. Watumishi hospitali ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA tunateseka

    Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa. Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Luchelele Mwanza

    Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022 kati ya mwekezaji, Amirali Manji na Mohamed Bakiri dhidi ya Moses Zakaria Joram ambae ni Mmiliki wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tanesco mnatuhujumu wakazi wa Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla

    Tanesco mnafanya nini ofsini Sisi watu wa Mwanza na Kanda ziwa tumewakosea nini awamu hii Leo siku ya 3 mnakata umeme alfajiri mnarudisha umeme saa 4 usiku Hivi mnajua mnauwa uchumi kiasi Gani wa vijana waliojiri kupitia huduma hii ya umeme Vijana wa welding, saloon, aluminium...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Wanafunzi wa CBE Mwanza Campus hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET

    Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu. Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 23 wafikishwa kizimbani kwa kushiriki mikutano ya kigaidi

    Watu 23 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kushiriki kwenye mikutano ya kigaidi. Waliopandishwa kizimbani ni Alphaxad Nyamwaga (57), Fantson Mpango (49), Abely Mwesa (62), Hassan Said (43), Emmanuel Wambura (30), Adam Idd (23)...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania: 23 Ordinary Citizens Charged in Mwanza Over "July 7" Plans

    July 23, 2026 A deeply concerning and historically familiar pattern of legal weaponization is currently unfolding in Tanzania. Newly filed court documents from the Resident Magistrate Court of Mwanza reveal that the state is once again utilizing the Prevention of Terrorism Act and the Economic...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza Bana: Kumbe Hamisa Mobetto ni mtoto wa Mwanza halafu hamsemi mmekaa kimya?

    Hivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto? Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi Wikipedia inamtambua Hamisa Mobetto kama mtoto wa Mwanza. Halafu watu wa Mwanza mmeuchuna hamuitumii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…