mwandishi

Mwandishi is the ninth album by jazz pianist Herbie Hancock, released in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mpigie kura Savatir wa Zambia tuzo za Zikomo mwandishi wa vitabu bora, amshinde msaliti Yericko Nyerere

    Igweeeee! Adui unayemmudu usimuachie Mungu Watanzania tumejeruhiwa na kudharauliwa sana na hawa wasaliti Huyu yeriko nyerere jasusi feki anashindana katika zikomo award,, the best author in africa na kura ndizo zitakazotoa mshindi Niwaombe wanajf wote tuingie katika link ya zikomo award...
  2. JamiiForums Tanzania Jennifer Bilikwija Jovin, ashitakiwa kwa Uhaini kwa Sababu ya Kuhimiza Umma Kutumia Barakoa kwa Usahihi

    Kushoto: NIffer akiwa katika make-up yake katika sura ya kikazi. Kulia: NIffer akiwa anashuka kutoka kwenye karandinga la magereza mahakamani kwa kuchechemea, kuashiria kuwa amepigwa hadi kuteguliwa mguu. Jennifer Bilikwija Jovin, maarufu kama "Niffer" ni Mwandishi wa Habari, Mwanamitindo na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwandishi Maneno Selanyika aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake

    Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate... Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani. Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis. Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
  5. M

    JamiiForums Tanzania THRDC Walaani mwandishi wa Watetezi TV kukamatwa na kupigwa akiwa kazini

    Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
  6. JamiiForums Tanzania PPR Vox Pop: Mwandishi na Mhariri Nguli Absolom Kibanda, Anazungumzia Ilani ya CCM, Kuhuisha Katiba Mpya ni Kubwa!.

    Wanabodi Nazungumza na Mhariri Waandamizi Absolom Kibanda akizungumzia ilani ya CCM. https://youtu.be/8BSHw4ZM7A8?si=Juc7jONBbKGtmz3b Karibu Paskali
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital

    Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital Anaweza kushirikiana na mimi kwenye platform za kidigital kwa kuanza kujitolea, naomba kujua kama yupo tuwasiliane.
  8. JamiiForums Tanzania PRESS CARD kwa Mwandishi wa Habari: Itolewe na Serikali au Mwajiri?

    Nimekutana na hili andiko, naona mtoa hoja ana hoja: Na Ndimara Tegambwage Je, katika mazingira ya uandishi wa habari; yale ya ukusanyaji taarifa kwa ajili ya kuandaa habari au andiko la kuwasilisha katika chombo cha mawasiliano; bado kuna sababu au haja kwa Serikali kuendelea kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa EATV ashambuliwa na wanaodaiwa kuwa polisi, wakati akifuatilia changamoto ya usafiri wa mwendokasi Mbezi

    Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha EATV, Marco Kilo amedaiwa kushambuliwa wakati akiendelea na majukumu yake ya kihabari katika Kituo cha Mabasi yaendayo kasi (Mwendokasi) cha Mbezi Luis juzi. Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  11. JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa Habari apitishwa na CHAUMMA kuwania Ubunge Jimbo la Uyole dhidi ya Dkt. Tulia

    Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Uyole Jijini Mbeya Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais Ubunge wa Diwani Utakaofanyika Oktoba...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia

    Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye. Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England. BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
  14. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.
  15. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sifa za kusajiriwa kama mwandishi wa habari hizi

    Wanajamvi, nimeona niweke hapa sifa zinazotakiwa ili mtu aweze kusajiriwa kama mwandishi wa habari kwa mujibu wa Section 19 ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016 na Kanuni zake za mwaka 2017 (Regulations 17, 18, & 19). Wachangiaji wengi tumeingia kwenye mjadala bila kujua kwanza sheria...
  17. JamiiForums Tanzania Annie Jacobsen Mwandishi nguli kwenye habari za uchunguzi

    Unaweza kumtaja Seymour Hersh kuwa ndo mwandishi bora wa habari za uchunguzi duniani, jina la Hersh ndo lilibeba habari ya kufichua yaliyojili huko Vietnam kwenye My Lai Massacre, lakini wapo wengine watasema majina ya Bob Woodward pamoja na Carl Bernstein ambao ndo waliibua habari kuhusu kashfa...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga walidai haki yao wao kama wao direct kwa mamlaka za soka, Simba wao wameenda kulia kwa mwandishi Micky apeleke FiFA

    I salute kinsmen Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga . Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu. Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi? Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
  19. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Story ya Bi Kilembwe yule wa Nchi ya Giningi AKAMATWE

    Kama umebahatika kusoma kile kitabu ni wazi kuwa yule mwandishi alikuwa anaishi future. Kama yuko hai akamatwe haraka sana na afunguliwe kesi ya uhaini, haiwezekani amseme vile. Pia waandishi wazuiliwe kuoandika mambo ya ukweli yanayoweza kupelekea wananchi kuchukia viongozi wao. Waandishi...
  20. JamiiForums Tanzania Fasihi ni ukoko, na mwandishi ni kijiko; kwangua

    [Sw] Nilikuja, nikaona, nilikuja, nikaona Namsifu Bwana, halafu navunja sheria Nachukua changu, kisha nachukua zaidi Inanyesha, inamiminika, inanyesha, inamiminika. [En] I came, I saw, I came, I saw I praise the Lord, then break the law I take what's mine, then take some more It rains, it...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…