mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja akamatwa na polisi, kwa tuhuma ya kumbaka mbuzi hadi kumsababishia kifo

    Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo. Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
  2. JamiiForums Tanzania Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

    Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe. Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake. A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anahitaji nini kutoka kwa Mwanaume?

    Mtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?" Akakutana na vitu 2.000, Akatabasamu, Kisha akakichoma. Kwa nini? Kwa sababu katika asili, Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji. Ndege, Wanyama, Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke nani mwenye akili zaidi

    Upi mtazamo wako kati ya mwanaume na mwanamke nani ana akili zaidi Kwangu Mimi naona kama wenzetu Kuna sehem wametupiga gape kwa sababu zifuatazo 1)Mwanamke akipata Hela anawaza namna ya kujiimarisha, na kama ameolewa anawaza namna ya kuwa peke yake Hali ni tofauti kwa mwanaume yeye...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume

    Wakuu nina hali ambayo hunitokea sana nyakati za usiku nikilala nikashituka hata kama ni saa 6 usiku basi uume (mashine) husimama mazima hata nilale tena na nikashituka tena nakuta hali iko hivyohivyo tena. kwahyo kulala kifudifudi inakuwa shida siwezi.na hata asubhi nikiamka inakuwa hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Huwa inakuwaje pale mwanaume kujihusisha kingono ovyo ovyo hadi kupelekea kuharibu ufanisi wa maisha yake kiroho.?

    Tumesikia stori kuwa inaweza tokea mwanaume kulala na mwanamke huyo mmoja wa kukutana nae mtaani (mchepuko, kahaba, etc) ikapelekea kuvuta energy hasi zilizomo ndani yake au sijui ni nini haswa kinatokea katika ile exchange hadi kupelekea kuharibu aura yake. Wale wajuzi wa hili swala...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mwanaume mida hii kalala na boxer aliyoshinda nayo mchana…

    Boxer umezunguuka nayo wee, usiku unaoga, unarudia boxer hiyo hiyo, mkiulizwa mnasema mwanaume unakuaje na boxer nyingi, je hicho sio kichaa? nyie ndio mnaumwa fungus kisha mkikutana na wadada mnawaambukiza. Mwanaume usafi, kua na boxer za kutosha and keep your closed parts clean and dry...
  8. JamiiForums Tanzania Aliamua kujioa baada ya kusubiri mwanaume sahihi kwa miaka 20

    Septemba 2017, mwanamke Laura Mesi, mwalimu wa mazoezi ya viungo wa Italia mwenye umri wa miaka 40, alifanya jambo ambalo lilivutia dunia: alijioa yeye mwenyewe kwenye sherehe ya harusi kamili, akivaa nguo nyeupe, akiwa na wapambe wa harusi na wageni 70 walioungana kusherehekea pamoja naye...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nimedumu naye kwenye Mahusiano miaka 3, leo anasema mwanaume atakayenioa ana bahati

    Habari wana JF, Kweli nimeamini kuna wakati tunatakiwa kuheshimu mawazo yetu ya awali hasa wakati tunapojaribu kufikiria jambo fulani linalotutatiza kiuhalisia. Katika maisha yangu niliamini kuwambali na wanaume kunaweza kunipa amani ya moyo na maisha kiujumla nikijikita katika kazi kujikimu...
  10. JamiiForums Tanzania Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani

    Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani. Ilikuwa ni mgahawa mmoja huko Tanga nilikuwa nimeenda kula. Rafiki yangu alinishauri kula hiyo sehemu kwa sababu chakula chao ni kitamu sana. Kwa kuwa hoteli niliyokuwa nimefikia ilikuwa karibu...
  11. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia mnatuita "motiveshini sipika", ila kama mwanaume, 2026 usifanye miadi na mwanamke wa namna hii

    💯 Mnayelingana nae au kukuzidi hatua za kimaendeleo 💯Familia yake inalingana au kuizidi familia yenu mandeleo 💯Ambaye haujamzidi umri kuanzia miaka mitano 💯Anaeshi geto mwenyewe na hana kazi maalum au geto lake na vitu ndani yake haviendani na kazi yake 💯Feminist, anapenda kuongelea sana ni...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaume: Usijaribu kujitoa kafara kwa mambo yafuatayo

    1. Usijaribu kumfia Mwanamke: Usivimbe kichwa kwa jinsi mwanamke anavyokusifia eti unamkuna kisawasawa,eti unajua mapenzi, au akikuambia jinsi unavyojali familia yao, au kwa jinsi unavyomhudumia. Hayo yote ni mbwembwe tu za kuhakikisha anaendelea kula mpunga wako na kujihakikishia security ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mabraza zenu hapa JF kwa vijana wa kiume kama vipato vyenu vya kusuasua achana na wanawake ambao kila mwanaume anatoa macho

    Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena. Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana. Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye masoli makubwa mdogo wake na mke wangu amekuja kunilalamikia kachukuliwa mpezi wake na bosi ambaye...
  14. JamiiForums Tanzania Ghost phase kwenye maisha ya mwanaume

    Kwenye maisha ya mwanaume kuna wakati unafika hauna girlfriend, hauna mchepuko, una marafiki wachache sana au hauna marafiki kabisa. Maisha yako ni wewe tu mapambano yako ya kujitafuta. Hicho kipindi kinaitwa Ghost phase. Ni nyakati ambazo zimewatengeneza wavulana kuwa wanaume. Kama bado huu...
  15. JamiiForums Tanzania Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayokeketa mabinti yanajitetea ni kuwatuliza waishi na mwanaume mmoja ila kwa sifa walizonazo huku mitaani ni tofauti kabisa

    Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa Dar es Salaam?

    Wakuu habari nataka kuingia kweny ndoa Je, vipimo vya ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa dar es salaam na gharama zake zipoje
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni furaha ya mwanaume,na mwanaume vivyohivyo

    Huo ndio ukweli,nami ukweli huo huutumia kwa vitendo,na hata tunaponyanduana na hakikisha tunapeana furaha haswaaaaaaaaaa
  19. JamiiForums Tanzania Mawaidha ya Sheikh Nurdin Kishk: Kwa kweli kila mwanaume atapenda kuwa Muislamu

  20. M

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

    Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili. Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala. Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono. Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…