mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wadau unaoa mwanamke ambae unafahamu anawanaume wengine, Tena na wewe umemkuta anamwanaume halafu unataka asichepuke braza kuwa mpole tu

    Wadau Mimi huwa nawashangaa watu humu ndani ambao wanataka wake zao wawe waaminifu na kujifanya wamesahau huyo mwanamke ulivyompata, kama ulimkuta anadanga uwezekano wa huyo mwanamke kutulia ni mdogo sana, wewe une mkuta mwanamke tayari kesha tembea na wanaume zaidi ya kumi kifupi alishazoea...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

    Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi sihitaji. Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa sasa Bongo ukiwa huna kazi na biashara imefeli utashambuliwa kwa uvivu na maneno makali na nchi nzima

    Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe. Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia. Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna kundi linajitokeza kudhoofisha Mamlaka ya Mwanaume

  5. M

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja

    Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
  6. JamiiForums Tanzania Kichoitwa kikao cha wanaume chini ya nabii feki IPM kinashusha hadhi ya mwanaume

    Tangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno. Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume. Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kweli, na ukweli juu ya kuyaishi maumivu

    Salaam jamiiforum. Mwanaume unataka raha? Mwanaume unadeka? Mwanaume unasound kike kabisa,na ukipewa zawadi unalia,yaani kuna mshipa wa hisia unaokuteka na kuuharibu uanaume wako? Hii si sawa,Leo ni siku ya mwisho wa Mwezi wa tatu mwaka 2026. Karne ya 21 uliyobeba taswira nyingine ya...
  8. JamiiForums Tanzania Vipaumbele vikuu vya mwanaume mwenye umri wa miaka 30+

    VIPAOMBELE VIKUU VYA MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 30+ Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kila umri unavipaombele vyake. Umaana wa maisha unauleta wewe kupitia vipaombele vyako. 2. Ili ufanikiwe utahitaji kuzingatia vipaombele kulingana na umri wako, fursa zinazokuzunguka, mbinu, uwezo na...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana nisikilizeni, mwanaume wa ukweli hakai ukweni.

    sijajua imekua trend au ndio ulofa wa zama hizi, mtoto wa kiume una toa wapi nguvu ya kulala na kukoroma ukweni? Sifa ya mwanaume ni kupambana uwe na himaya yako, hata kama umepanga still ni kwako. una maamuzi na uchaguzi wa kufanya hili au lile, sasa huko ukweni uta amrisha uchemshiwe maji ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume mwenye stress kama aliepata ajali ya kondomu kupasuka 😂

    Afu demu awe mcharuko asee unaweza kupungua kilo 2 kwa kila saa. 28 huna mke hujaoa unasubiri nini? Malaya wengi wameongua na hao hao wa mtaani ndio wanaojipanga ikifika usiku. Kwanini usiende zako kagera ukachukua zako mtoto wa kitutsi ukaenjoy bila stress Mwisho, wito kwa serikali wazuie...
  11. JamiiForums Tanzania Leo nimeshuhudia mwanaume akipigwa makofi na mwanamke

    Tatizo jamaa alijifanya kidume saana, Kaingia mahali kaanza kuamrisha watu kumbe watu wanamchora tu. Mhudumu akazidisha bili, Si akabisha. Jamaa akala makofi. Haha, wakuu sio vyema kujutumua kila mahali.
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, ni aibu kwa mwanaume kuishi kwa kuombaomba kwa watu ili uhudumie familia Yako ujue unatengeza kizazi cha laana

    Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo! Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
  13. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni?

    Wakuu Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke. Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote. Tuzungumze kidogo kama...
  14. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania?

    Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni: 1. Umaskini 2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii? 3. Malezi ya hovyo kwa watoto? 4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari? 5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine. Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume, omba Mungu sana usijejikuta kwenye Hali kama hii. Ni aibu isiyoelezeka

    Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba. Njemba...
  16. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuona mwanaume mwenye matiti/manyonyo kama huyu?

    Ni kweli wapo wengine pia wana njisia zote mbili kisukuma wanaitwa bhakima gosha(jike dume) haya ni maumbile yao walizaliwa hivyo na hawana namna. Sasa kisayansi imekaaje hii watalaamu je kuna uwezekano iwapo mtoto akizaliwa akiwa bado mdogo akafanyiwa japo upasuaji na kuwa na jinsia moja tu...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume yeyote mwenye mke lazima kuna moja ya sifa hizi zinamsumbua

    Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume 1. Controllers Hawa Ni Wale Wanawake Ambao, Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo, Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control. Wengi Huwa Na Tatizo Linaitwa "Control Freak" 2. Boxing Women Hawa...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii 1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Iran aziomba radhi nchi jirani walizoshambuliwa

    KATI YA AJENDA ILIYOKUWA IKIMTESA IRAM WALIAMBIWA KABLA YA MAZUNGUMZO YOYOTE AOMBE RADHI NCHI JORA. ALIZOZIPIGA TUENDELEE HATIMAE 🚨 Iran's President Masoud Pezeshkian apologised on Saturday to neighbouring countries for attacks launched during the Islamic republic's war with ‘Israel’ and the...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume tafuta Hela Ndugu waje kukutembelea

    Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu. Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…