mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika. Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
  2. Mwanaume: Weka Ndoa yako pembeni halafu itazame upya

    Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?! Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa japo niliumia. Sasa naishi kisela kijana wa watu mwanzo niliwahi majuku kabla miaka hata 30 nshaoa...
  3. Mwambie mimi ni mwanaume mwenziye ananiumiza

    Hakymungu mnanionea,nyinyi Hivi kusema kwamba nawewe ulikuwa huna baba ambaye ni mwanaume kama mimi, je mama yako angamfanyia haya haki si angekufa kwa presha ujanani tu yule mzee?? Au huyu mwanaume uliyenaye hajui kwamba namimi ni mwanaume mwenzie na kibaya zaidi nlipitialo mimi nayeye anaweza...
  4. Grand P amuonya mwanaume anayesemekana kuwa na ukaribu na mpenzi wake

    Star wa muziki kutoka nchini Guine Grand P amuonya mwanaume ambaye anashutumiwa kuwa na ukaribu na mpenzi wake Grand P alinukuliwa akisema kuwa "Kaka yangu Roga Roga nina kuheshimu sana na ninafahamu vyema kua wewe ni raia kutoka Congo na ninawaheshimu sana wakongo lakini chombo unachojaribu...
  5. W

    Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

    Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa! Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani! Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda?
  6. Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

    September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili niliogopa ningeonekana kuhuni au kutoaminika so ilikuwa kama njia TU ya kujiondolea stress walikuja...
  7. T

    Mwanaume miaka 36 natafuta mke

    Kuhusu Mimi, Miaka 36 Mkristo Mwajiriwa wa serikali Shahada ya uzamili Urefu 175cm, Uzito 66Kg Ninaye mtafuta -Umri 28 mpaka 38 -Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo. -Akiwa na mtoto siyo mbaya .
  8. Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana

    Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma. Mjue tuu nyie ni wa thamani sana Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Amani yenu ndio furaha yetu
  9. C

    Irene Uwoya: Sipendi mwanaume mwenye sura nzuri

    Sijui kama ni tabia ya wanawake wote ama ni hawa mastaa wa hapa kwetu kutamka vitu ambavyo hata wao hawaviamini, au kutoa kauli zenye kuleta maswali. Huyu dada aliwahi katika moja ya mahojiano yake kusema hapendi kabisa mwanaume mwenye sura nzuri. Sijui walimkera nini wanaume hao. Leo napenda...
  10. S

    Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

    Habari za weekend wanajamvi! Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!! Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya. Uliporudi...
  11. Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake

    Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake Wanaume wanaonyoa vipara na kumaliza nywele kichwani huwa wana sifa ya kutokuhonga, na wanapenda sana mambo ya chini, mwanamke akimpatia nafasi hatojutia kwa shoo atakayoipata, ila hatapewa pesa. Wanaume wanaonyoa panki huwa na sifa za...
  12. S

    Sheria inayomhukumu miaka 30 mwanaume aliyemtia mimba binti wanafunzi au aliye chini ya miaka18 ni kandamizi na inasababisha mzigo mzito wa walezi

    Ni kweli kutiwa mimba kwa mwanafunzi au msichana chini ya miaka 18 inamnyima fursa huyo binti ya kusoma na kutengeneza maisha yake ya baadae! Leo waziri wa Elimu Joyce Ndalichako anatarajiwa kutoa waraka wa kuwaruhusu mabinti waliotiwa mimba kuendèlea na masomo! Je nauliza maswali yafuatayo...
  13. Mfahamu Chandra Bahadur Dangi mwanaume mfupi zaidi duniani aliyewahi kuingia kwenye rekodi ya Guinness

    Chandra Bahadur Dangi (30 November 1939 – 3 September 2015) (Nepali: चन्द्रबहादुर डाँगी, pronounced [t͡sʌndrʌˈbʌɦadur ˈɖãŋɡi], or [t͡sʌndraˈbaːdur ˈɖãŋɡi] alikuwa mwanamume wa Kinepali ambaye alikuwa mwanamume mfupi zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza...
  14. Mwanaume mwenzangu huwa unajitetea vipi?

    Pale unapo piga show mbovu kwa demu yaani kigoli kimoja alafu chalii hua unajitetea vipi ili aelewe asikuone dume suruali hii imenitokea na sio kawaida yangu maana hua nakiwashaga sijui imekuaje usiku wa kuamkia leo alafu demu anakaa jirani mijengo inatizamana
  15. Mwanaume mmoja amechukua uamuzi wa kukata uume wake baada ya kukosa urijali

    Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguke kiuno na kusababisha asiwe rijali. Akizungumzia...
  16. Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

    Kuna siku nilitembelea benki fulani, kwa ajili ya kupata utaratibu wa kupata mkopo kwa ajili ya biashara yangu. Kwa bahati nzuri nilipokelewa na mdada, ni mzuri na anashepu ya kuvutia, nyuma amejaziwa kweli. Akanihudumia, na akanipatia namba yake kwa ajili ya kufuatilia. Cha ajabu, nilipokuwa...
  17. Kila ndoto ya mwanaume ni kuwa na mwanamke mzuri

    Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa. Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini akija kupata pesa lazma aje atafute mwanamke mzuri ambae mwanzo alikua awez kua nae kwasababu...
  18. Utajuaje huyu mwanaume kakupenda?

    Habari za Jumapili? Naombeni ushauri, je utajuaje huyu mwanaume sio mapepe ni kakupenda kimaukweli?
  19. Wanawake tu: Mwanaume huumia kwasababu Mwanamke wake kaingiliwa kimaumbile, kipi kinamuumiza Mwanamke BF/Mwanaume wake akichepuka

    Nimeuvaa uhalisia nikiwa kama mwanaume, siwezi kuwaongelea wanawake na ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunaji mwanbafai tunapokadiria mwanamke anachotaka, anachofikiria, anachopenda, hisia zake, n.k. huwezi kuuvaa uhalisia wa mwanamke wakati wewe ni mwanaume. Kwangu mimi nikikijua kwamba...
  20. Urijali kwa Mwanaume ni Utajiri pia ulinde sana usiupoteze

    Kuna matajiri wakubwa wanahaha kwenye nyumba za waganga na wauzaji wa madawa ya kienyeji kusaka nguvu za kiume, wanamwaga hadi mamilioni wakipewa madawa ya uwongo na ukweli lakini wapi bado ni kulio tu. Wote tumeshuhudia hapa wazee matajiri wakifia guest mikononi mwa mabinti sababu ya kumeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…