mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

    Taja Tabia za mwanaume au mwanamke ambazo zinaonesha kwamba penzi limekwisha au penzi limekufa iwe ndoa au uchumba‼️
  2. J

    JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Uvivu hasa kwa wanaume wanaoishia kujikita kwenye Rushwa na Kubeti

    Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi na hapo ndipo wanaporidhia Mkataba wa Umaskini na Shetani Nimemsikia Mtaka akiyataja makabila...
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Kufanya mapenzi mwanamke akiwa juu ni hatari kwa afya ya uume wa mwanaume

    Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani...
  4. JamiiForums Tanzania Iwe kwa mwanaume au mwanamke

    Hello 👋 Kudate na mtu amekuzidi umri kuna utamu wake sana yaan ata mwanaume ukidate na mwanamke amekuzid hamsumbuan raha tupu mapenzi mubashara mda wote hakuna utoto Kwa wanawake serenity wenyewe mnajisikiaje kudate na mtu amekuzid umri?
  5. JamiiForums Tanzania Binti yangu, ni Akheri uwe Single mother kuliko uishi na Mwanaume mpumbavu

    BINTI YANGU; NI AKHERI UWE SINGLE MOTHER KULIKO UISHI NA MWANAUME MPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Baba na Mume. Kama vile Mimi Taikon, Nyota ya Tibeli nisivyoweza kuishi na Mwanamke mpumbavu, hata angekuwa Mama yenu, vivyohivyo nilimuambia Mama yenu kuwa kamwe asijevumilia kuishi na Mimi...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume aliebadilisha jinsia na kuwa Miss Uholanzi

    Pichani anaitwa Rikkie Valérie Kolle Mwanaume aliebadilisha Jinsia na kuwa Mwanamke. Huyu Ndio Mshindi wa Miss Uholanzi 2023. N.B: uzi umeandikwa kimakosa ilikua kama taarifa na sio kuhamasisha transgender isues[emoji120][emoji120][emoji120]
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia mwanaume anamuamkia mwanamke ambaye si ndugu yake kama tu amemzidi miaka zaidi ya 20 na si chini ya hapo

    Kama mwanamke amekuzidi miaka si chini ya 20 na sio ndugu yako usimuamkie mwambie tu mambo au za saa hizi imetoka hiyo Mwanaume wewe ni kiongozi na kusema shikamoo ni kama unamwambia nipo chini yako nakunyenyekea na wanawake ndo wanabidi wawe chini yetu. Usiamkie we jamaa utakosa mbunye hivi...
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

    Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku watu wengine wakiwa wanarekodi tukio hilo. Polisi walipomuomba ufunguo, akasema mimi sina funguo. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia. Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na kukandamiza hisia zangu, ikitokea nimempenda binti aliyenizidi umri, basi nafanya kumpotezea ama...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake kupenda wanaume weusi huku wakitaka kupata watoto weupe!

    Haya ni maajabu ya wanawake. Utasikia napenda mwanaume mrefu mweusi lakini cha ajabu wanapenda kuzaa vitoto vyeupe pee.
  11. JamiiForums Tanzania Rikkie Valerie awa mwanaume wa kwanza kuwa Miss Uholanzi 2023

    Huyu ndiye Miss Netherland kwa mwaka 2023 anaitwa Rikkie Valerie ambaye inasemekana ni mwanaume aliyejibadilisha jinsia.
  12. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

    Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe. Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
  13. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumuelewa huyu mwanaume

    Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano. Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini unabadilika, unadai unaogopa udate naye hata miaka mitatu alafu usimuoe, na mtu hata hajakuambia...
  14. JamiiForums Tanzania Hii Imeenda: Aliyeua kwa upanga ameuawa kwa bunduki

    Wakuu hii tuiitaje hii? Dada kamchokoza msela kaleta dharau kageuziwa msala
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekupendea hela unamfanyaje wewe kama Mwanaume?

    Kuna nyakati huwa tunapitia maisha magumu sana na shida zisizo simulika lakini haisababishi mioyo yetu kuwa na Ganzi katika mapenzi, bado tunapenda na kutamani kuwa na wanawake wazuri na mpenzi atakaekupa pole na shida zako. Miaka ya nyuma kidogo sikua vyema kipesa,nilimpenda binti mmoja mzuri...
  16. JamiiForums Tanzania Kubeba ujauzito na kupata mtoto hakumfanyi mwanaume akupende

    KUBEBA MIMBA NA KUZAA HAKUMFANYI MWANAUME AKUPENDE! Anaandika, Robert Heriel Nawakumbusha Dada zangu, Binti zangu. Usije ukajikoroga na kujichanganya, mimba na mtoto haibadilishi chochote katika mioyo yetu Sisi wanaume. Kama hatukupendi ni hatukupendi tuu! Kuna jinga moja litasema kama...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mdada usikubali hizi swaga za kwamba tutafute maisha pamoja. Mpaka mkayapate maisha utakuwa umechakaa, mwanaume ataoa kabinti ka darasa la saba

    Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi. Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ungependa kuongozana na mkeo akiwa katika mavazi gani?

    Ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo ndefu zilizomsitiri mwili wake? Au ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo zimembana au zimemuacha nusu uchi, huku wanaume wenzako wakimsifia?
  19. JamiiForums Tanzania Ni rahisi mwanamke kutaka wapime kabla ya sex ila ni ngumu kwa wanaume kupendekeza hivyo, tatizo ni nini?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Huwa ni rahisi sana kwa mwanamke anapopata mwanaume au anapotongozwa na mwanaume na kumkubalia kuomba kabla ya tendo la kujamiiana wapime kwanza hasa Ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) ila huwa ni ngumu sana kwa mwanaume anapomtongoza mwanamke...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…