Habarini ndugu Wananzengo!
Miongoni mwa vitu vinavyonishangaza na kunichukiza sana binafsi ni habits za wanaume kupenda ku post post status nyiiiiiiiingiii WhatsApp.
Kwa nini inanichukiza? Kwa sababu usipo view, ama uki mute, more of them go angry with you. Au la, wanalalamika sana hali ambayo...