Kwanza, wakati Mama Samia anatangaza kifo cha Hayati JPM, alitangaza siku 14 za maombolezo ilihali kwenye katiba zinatajwa siku 21. Baadae Katibu Mwenezi CCM ndg Polepole akatangaza siku 21 kwa niaba ya chama 'MKANGANYIKO'. Wananchi walihoji kwanini Makam alitangaza siku 14 badala ya 21...
Kwa miaka yote tumeona Mwanasheria Mkuu akiwa ndio ofisa wa Kwanza kuteuliwa , na baadaye ndiyo baraza la mawaziri hufuatia , sijafahamu sheria za nchi zinataka AG ateuliwe baada ya muda gani tangu kuapishwa kwa Rais mpya .
Sasa kwa vile bado hajateuliwa basi ni vema wadau mkapata wasaa wa...
Mwanasheria Mkuu wa Marekani William Barr, mmoja wa washirika wakubwa wa Rais Donald Trump, anajiuzulu wakati kukiwa na mvutano wa muda mrefu na rais juu ya madai yasio na msingi ya rais ya wizi wa kura katika uchaguzi mkuu uliomalizika na uchunguzi juu ya mtoto wa rais mteule Joe Biden.
Barr...
VP-elect Kamala Harris' sister pushing for husband to be named attorney general: report Maya Harris has allegedly worked behind the scenes to lobby for her husband, Tony West
Vice President-elect Harris’ sister participated in discussions with Democratic allies about getting her husband...
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amewaonya CHADEMA kutowabugudhi wabunge wa chama hicho wa viti maalum kutoka chama hicho.
Profesa Kilangi amesema, mchakato wa Wabunge wa viti Maalum kutoka CHADEMA umefuata Sheria na Katiba, hivyo hawapaswi kubugudhiwa.
Awali Spika wa...
Uteuzi: Rais Magufuli amteua Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG). Masaju ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu
=======
WAKATI Mwanasheria Mkuu wa Serikali mteule, Dk. Adelardus Kilangi, akitarajiwa kuapishwa leo Ikulu, jijini Dar es Salaam, wasifu wake unaonyesha ni mbobezi...
Mwanasheria Mkuu wa Marekani, William Barr amewaamuru waendesha mashitaka wa Serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu dosari za upigaji kura, kwa sababu Rais Donald Trump amedai kuwa alishindwa uchaguzi kutokana na udanganyifu.
Barr, ambaye ni mtetezi wa karibu wa Trump kwa muda mrefu, amesisitiza...
Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli.
Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amemteua Dkt Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kabla ya Uteuzi Dkt. Mwinyi Talib alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Uteuzi huo unaanza Novemba 3
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.