mwanasheria mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
  2. S

    Baada ya Kisa cha Thadei Kweka, nadhani sasa Mwanasheria Mkuu ataufyata na kutambua kwamba Mange Kimambi akija Tanzania hawezi kumgusa kabisa!

    Sijajua kama Mange Kimambi ana uraia wa USA au la ,lakini hata kama ana residence ya kudumu, nadhani sasa Mwanasheria Mkuu wa serikali ataufyata na kutambua kwamba Mange Kimambe akiamua kuja Tanzania watakachoweza ni kumzuia pale airport. Lakini kwamba eti watamfunga thubutu! Swali la "who are...
  3. Mindyou

    Mwanasheria Mkuu wa Marekani: Maduro na mkewe watashtakiwa New York kwa kosa la ugaidi na kuingiza Cocaine na bunduki nchini Marekani

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa sukari huku Pam Bondi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Marekani anasema kesi ya Maduro itakuwa inasikiliziwa kwenye Mahakama za New York huko Nchini Marekani Makosa aliyohusishwa nayo ni Ugaidi, kuingiza Cocaine Marekani pamoja na kuingiza silaha nchini
  4. J

    Jopo la Sheikh Kundecha, na Sheikh Katimba ladai kwamba Mwanasheria Mkuu wakati wa Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri

    ..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri. https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
  5. Heparin

    PostGE2025 TLS yawashtaki IGP, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kufuatia amri ya kutotoka nje Oktoba 29, 2025

    Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo baadaye ilifutwa na Rais tarehe 3 Novemba 2025. TLS wanaiomba Mahakama itamke kwamba amri hiyo...
  6. Doctor Mama Amon

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Hamza Johari ameanza gwaride kwa mguu wa kulia: Tatizo Liko Wapo Wakati Huyu Jamaa ni Kipanga?

    UTANGULIZI Taarifa ya maandishi, ya tarehe 07 Oktoba 2025, kutoka "Ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Makao Makuu ya Polisi," huko Dodoma, ambayo "Imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini," lakini isiyosainiwa wala kuonyesha jina la mwandishi wake, inahusika na imeambatanishwa hapa chini...
  7. Mtemi mpambalioto

    TANGANYIKA ina Mwanasheria Mkuu Mzanzibari na ZANZIBAR ina mwanasheria Mkuu Mzanzibari

    ni mimi tu ndio sielewi au katiba yetu haijawa wazi kwenye masuala ya muungano? Kuna Mkuu wa mkoa walikouliwa waandamanaji kwa mafungu huko Songwe ni Mzanzibari pia! Je Zanzibar kuna mkuu wa Mkoa Mtanganyika? kuna Mwanasheria mkuu mtanganyika? mbona mie sielewi?
  8. Baba Kisarii

    Kauli kinzani kati ya Rais na Mwanasheria Mkuu kuhusu waandamanaji

    Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni. Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana. Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
  9. W

    GE2025 Jebra Kambole: Mwanasheria Mkuu ajiulize kwanini wananchi walimsikiliza mtu mmoja kutoka nje na si viongozi wa ndani?

    Wakuu, Baada ya kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali Johari kwamba kuna mtu mmoja nje ya nchi anahamasisha maandamano, wakili Jebra Kambole amemtaka pia ajiulize kwanini watu hao walimsikiliza mtu huyo aliye nje na si viongozi wao wa ndani ikiwemo Rais. === Kupitia ukurasa wake wa X, Jebra...
  10. TODAYS

    FULL DEAL: Umeelewa Kauli ya Mwanasheria Mkuu, Kumkamata Mange Kimambi?

    Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano. Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA. Moja kwa moja kwenye point; 1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi...
  11. PAYE

    Rais Samia kuendelea na Hamza Johari kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Amemtea tena leo kushika Wadhifa huo

    Tangazo kwa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma. Imetolewa na...
  12. Pfizer

    Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali waridhishwa na kasi ya utekelezaji bwawa la kidunda

    Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro huku ikisema wana nafasi ya kushauri na kusaidia mambo mbalimbali yakiwemo ya kimkataba. Mradi wa Kidunda unagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 335, unatarajia kukamilika ifikapo Juni 2026...
  13. U

    Ushauri kwa serikali ya Tanzania: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ni jembe na hazina kubwa Nchini anastahili kushika nafasi ya Mwanasheria Mkuu

    Ni maoni yangu huru kabisa Uwezo wake ni wa manufaa makubwa kwa nchi yetu kwa ujumla hivyo ni vema akawa na hiyo nafasi ya AG.
  14. Roving Journalist

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Watumishi acheni kuvujisha siri za Serikali, ni sawa na kujipiga risasi ya kwenye moyo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
  15. Zee la madawa

    PreGE2025 Aliyekua Mwanasheria Mkuu wa serikali Dr.Adelarus Kilangi akiwa na makada wenzie wa CCM waliotia nia ya ubunge jimbo la Nyamagana

    Aliyekua Mwanasheria Mkuu wa serikali (AG) Dr.Adelarus Kilangi (LLD) akiwa na makada wenzie wa CCM waliotia nia ya ubunge jimbo la Nyamagana. Juzi tumemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi (NEC) Dr.Wilson Mahera akichukua fomu ya ubunge Butiama kupitia CCM, leo tumemuona aliyekua...
  16. Lord Denning

    Maswali yangu kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kikwete

    Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika. Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani...
  17. Waufukweni

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari awasilisha muswada wa marekebisho ya Sheria Tisa (9) Bungeni, agusa Bandari na Uhujumu Uchumi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
  18. The Palm Beach

    Dkt Nshala afafanua hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, Kanisa Katoliki kupokea pesa za damu "hela ya mafuta ya gari ya Askofu"

    https://youtu.be/VTSdE_xlvxs?si=_ba2CV49hgNedyAF Huyu ni Dr Rugemeleza Nshala, mwanasheria mkuu wa chama - CHADEMA.. Kuhusu uamuzi wa mahakama kesi ya TL kuendelea kusikikizwa kwenye mahakama ya wazi, anasema; ➡Uamuzi wa kususia kesi kwa kutokwenda mahakamani, usingekuwa uamuzi wa busara hata...
  19. Kitchener

    Kwanini Mwanasheria Mkuu anauza sheria ambazo Bunge limetunga?

    Jana tukijiandaa kuingia mahakamani, tulibishana hoja kadhaa na mawakili wenzangu, kuna Revised Edition 2023 ambayo Rais Samia alizindua hapa juzi na tukaambiwa inauzwa milioni 4, sheria hizo zilizohuishwa tunaambiwa zitaanza kutumika July 2025. AG Feleshi aliyepita alipohuisha R.E 2022...
  20. Roving Journalist

    Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
Back
Top Bottom