Leo katika pitapita zangu, nikaona nipite nimchukue binti angu.
Basi bana watoto wakaniona nimepaki nikashuka kwenye Vogue, nikazunguka nyuma yao. Wakaanza kumtania mwanagu, Neema(code) huyo ni babu ako?
Binti nikamuina alijisikia vibaya sana.
Ndani ya sekunde wanashangaa mwenzao anaingia...
Hii kauli ameitoa mama mmoja kwa uchungu.......tupo maelfu wa wazazi tunaugua mioyoni pasipo kutamka.
ENYI WAHUSIKA MLIOTENDA HAYO...
HAKUNA NAMNA MTAKWEPA HII LAANA.
11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi.
HAPANA.
Ni kujikata mguu kwa imani kwamba taifa litahisi maumivu yako.
Taifa halihisi. Mfumo hausikii.
Wanakuangalia tu na kusema:
"Asante kijana kwa kupunguza mzigo-mafuta tumeyaleta, nguvu zenu hatuzihitaji sana, mnapojiondoa ndio tunafurahi zaidi."
Sasa...
Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi.
Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana.
Mwanangu sasa hata Mlio wa mabomu haogopi tena. Kabla alikuwa anasikia radi tu anaanza kulia...
Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea”
Mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche.
Mimi Ni kijana wa miaka 30 na Ni baba wa mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka 4
Tarehe 29 nitatoka kuandamana na kisu changu Cha kimasai na elementi kichwani
Nawaambia ndugu na marafiki wa karibu Kama sitarudi Mali zangu zote apewe mwanangu mpendwa wa kiume ili kizazi chake kije kuishi vizuri...
Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29,
Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja.
Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
Ukiskia mtu anakwambia ualimu ni shughuli pevu, shughuli yenyewe huanzia hapa. Mwanangu ndo kashakalilishwa hivyo. Ukimuuliza Mtaka cha Uvunguni, anakwambia matrako hulia mbwata
Na hili nalo mkalitazame kwa kina...
Nina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.
Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka...
Kwenye haya maisha usipokua Mbishi na ukaishi kibishibishi popote unapoenda ukakaa ukakubari tu watu wakuoneeonee kibwegebwege, mwanangu unakubari tu kila mpuuzi anachukua maamuzi ya kukuoneaonea tu kirahisi rahisi tu unamuacha mjinga mmoja anakuoneaonea na wewe umekaa tu unamwangalia.
Sawa...
Habari ya jion Leo mchana nimejarbu kumuuliza Binti yangu ndoto yake ni ipi katika maisha yake huwezi amini anasema atamni kuja kuwa POLISI
Je kama mzazi naweza kubadili au kisitisha ndoto ya mwanangu binafsi natamani mwanangu awe hata nesi au mfamasia sasa hii ndoto ya kuwa POLISI...
Wadau kama Kuna mtu ana boda wake Morogoro mjini anamuamini Kuna vifaa vidogo Kwa bahasha mwanangu yupo Mzumbe chuo anahitaji kupelekewa. Nataka mtu avipokee mjini na ampelekee mpaka chuo ndani atapewa nauli yake. Asante sana.
Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023
Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.
Majibu ya awali yametoka na "najua ataenda tu Chuo cha...
Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6,
Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki.
Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba
Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
Habari wapendwa
Naomba ushauri mwanangu ametimiza wiki tatu tangu kuzaliwa. Kinachonitisha korodani zake ni kubwa kulinganisha na udogo wake. je atakuwa sawa au kuna tatizo? Naomba msaada wa mawazo sijawahi kulea mtoto wa kiume
habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi.
tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima.
sijui nini shida.
nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Mwalimu Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam kutoka Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) imeendelea Februari 17, 2025, ambapo shahidi mmoja kati ya sita upande wa Jamhuri amekamilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.