mwanamuziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

    Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake. Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
  2. JamiiForums Tanzania Studio ya Msanii Barnaba yawaka moto Mwananyamala, hakuna kilichopona

    Tukio lime tokea Jana saa mbili usiku, mwananyamala, ni muda mchacge tangu atoke kuwasalimu hapo studio, kuelekea nyumbani baadae kapigiwa simu Ngoma ina Waka. Shukran Kwa majirani, tuishi na majirani zetu vizuri ndugu zangu, anadai hasara inakadirwa milioni mia, hakuna kifo mpaka sasa kilicho...
  3. JamiiForums Tanzania Mjue Vaya, mwanamuziki chipukizi mkali wa Chapakazi Studios

    Vaya ni mwanamuziki mpya kwenye game, product ya Chapakazi Studios. Ni mwanamuziki wea kike mwenye tungo kali sana zenye ujumbe mzito wa kutia moyo, kukupa nguvu na mwelekeo mpya wa maisha baada ya kuumizwa moyo. Muziki wa Vaya ni muziki wenye kuganga moyo na kukusogeza hatua elfu mbele Hebu...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye mwanamuziki Koffi Olomide mwenye miaka 69 amuoa mchumba wake wa miaka 20

    Wakuu, Mwimbaji mashuhuri wa Kongo, Koffi Olomide, ameamua rasmi maisha ya ndoa baada ya kuoa mpenzi wake wa muda mrefu, pia mwimbaji, Cindy Le Coeur. Wapendanao hao, ambao walikuwa wakipendana kwa takriban miaka ishirini, walioana , Februari 28 Sherehe hiyo iilihudhuriwa na marafiki na...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki J cole kuachia album yake ya The fall off siku ya kesho

    J. Cole - The Fall-Off Album Tracklist Expected February 6, 2026 DISC 29 1. 29 Intro 2. Two Six 3. SAFETY 4. Run a Train 5. Poor Thing 6. Legacy 7. Bunce Road Blues 8. WHO TF IZ U 9. Drum n Bass 10. The Let Out 11. Bombs in the Ville / Hit the Gas Bonus: 12. Lonely at the Top DISC 39 1. 39...
  6. JamiiForums Tanzania Nitembee na mwanamke ambaye kwa makusudi hakutaka kuniambia kama kaolewa. Ukinifumania nawagonga wote!

    Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi? Mwanamke ambaye anajua kabisa ameolewa na ana watoto na mume nyumbani kwake lakini mwisho wa siku...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki wa Marekani Ciara apewa Uraia wa nchi ya Benin

    Wakuu, Mwanamuziki wa Marekani, Ciara, amekuwa mmoja wa watu wa kwanza maarufu kupata uraia wa Benin chini ya sheria mpya ya nchi hiyo ndogo ya Afrika Magharibi inayotoa uraia kwa watu wenye asili ya watumwa. Mshindi wa tuzo ya Grammy alipokea uraia huo katika hafla iliyofanyika Jumamosi...
  8. JamiiForums Tanzania Mradi wa Mji wa Wakanda ulioahidiwa na mwanamuziki Akon nchini Senegal wageuka kituko na utapeli mtupu.

    Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama...
  9. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Regis Touba afariki dunia

    Ni kwa masikitiko makubwa kwa wana tasnia wa miziki ya Kongo, mwanamuziki REGIS TOUBA hatunae tena, amefariki mapema leo akiwa kwa Congo Brazzavile. Atakumbukwa kama sehemu ya Muasisi wa kundi la EXTRA MUSICA Ameshiriki katika kutunga nyimbo zenye mafanikio akiwa katika kundi hili, na...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva G-Son wa Xplastaz afariki Dunia

    Umuofia kwenu wana JF, Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu. Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa kwanza kushiriki tuzo za BET Cyper kwa kutumia lugha ya kiswahili ,kwenye hiyo cypher mwaka 2009...
  11. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Mkongwe, Boniface Kikumbi Mwanza Mpango (King Kikii) amefariki dunia

    Kwema Wakuu? Niko mahali hapa nasikia taarifa zisizo njema kuhusu huyu Mzee, zina ukweli wowote? ===== Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza Mpango maarufu King Kikii amefariki dunia. Amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa...
  12. JamiiForums Tanzania Swift Ampiku Rihanna na Kuwa Mwanamuziki wa Kike Mwenye Utajiri Mkubwa Zaidi

    Taylor Swift sasa ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.6, akimshinda Rihanna. Mafanikio haya makubwa yanatokana hasa na ziara yake ya "Eras Tour" na umaarufu wa nyimbo zake. Swift ameendelea kuwa mmoja wa wasanii wenye ushawishi mkubwa katika tasnia...
  13. JamiiForums Tanzania Jaivah afungiwe na BASATA kwa kuimba matusi mengi

    Kuna huyu mwanamuziki anaitwa Jaivah. Nashauri BASATA wafungie kabisa nyimbo zake kwa sababu anaimba matusi mengi sana. Hii nchi sidhani kama tuko huru kiasi hicho, kwani tunapaswa kulinda maadili ya jamii.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Utamsikiliza mwanamuziki gani Safarini?

    Una Safari ya takriban saa 10, ni Msanii gani utamsikiliza mwanzo hadi mwisho wa Safari? Mimi nitamskiliza Nicki Minaj non stop. Am her biggest fan
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Adele atangaza kupumzika kufanya Muziki

    Who is Adele? Jina: Adele Laurie Blue Adkins Tarehe ya Kuzaliwa: Mei 5, 1988 Idadi ya Albamu: 4 Tuzo za Grammy: 16 Mafanikio ya Nyimbo: Adele ameingiza nyimbo 19 kwenye U.K. Top 75 na nyimbo 25 kwenye Billboard Hot 100, ikiwa ni pamoja na nyimbo 8 zilizoingia kwenye Top 10. Mshindi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Gunia la mwanamuziki tajiri, linaweza kuwa na nini?

  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Malu Stonch (Nuhu) afariki Dunia. Alikuwa akitumbuiza jukwaani

    Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa "Hadija". Inaelezwa kuwa wakati anaimba wimbo huyo, Malu Stonch...
  18. JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa anapohudhuria msiba wenye kamera lengo lake ni moja tu, ambalo ni kujiimarisha kisiasa, vivyo hivyo kwa mwanamuziki.

    Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa kujigharamia dawa. Wote ni watu, wote ni past . Hawawezi kufanya lolote tena. Ni void na ubatili. Hivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla? Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani. Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…