mwanamke

  1. M

    JamiiForums Tanzania "May be it's my fate..." kauli kama hii ina maana gani?

    Wakuu nawaamkua. Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya. Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado JamiiForum ni kisima cha maarifa katika nyanja mbalimbali za maisha yetu. Ninakuja na swali hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Bodaboda akikwambia usioe huyo mwanamke, acha kweli

    Msiniulize kwa nini-nimemaliza!
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko na Uwekezaji sekta ya Kilimo vizingatie mustakabali wa mwanamke katika kilimo

    UTANGULIZI. kilimo ni shughuli inayojumuisha ufugaji na uzalishaji wa mazao. kilimo ni sekta muhimu sana katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Tunaweza kusema kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania. Hii ni kutokana na ukweli kwamba asilimia kubwa(zaidi ya 90%) ya watanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kurudiana na Mwanamke mliyeachana nae miaka 13 ni vyema au ni Hatari?

    Nasubiri majibu yenu ili nijue najilipua rasmi Kurudiana nae au nisirudiane nae (tusifanye Mapenzi) ila tuwe tu Marafiki. Katika huu Uzi nitakuwa ni Msomaji zaidi wa Comments zenu na kupitia Comments zenu ndiyo nitaamua nimrudie au nisimrudie. Kuna Mwamba Mmoja aliniambia aliachana na Mpenzi...
  5. JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kumtongoza mwanamke fanya bila kusita

    Mwenzenu kuna manzi nilimuelewa sana tena sana. Hizi ngoja ngoja tukaja poteana. Tumekuja kuonana baadae manzi ana mkwanja hatari! Sasa siwezi kumtokea saizi maana itaonekana nimefuata mkwanja wake. Inabidi niendelee tu kumtamani kwa mbali.
  6. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeboreka nataka mwanamke wakuchat nae

    Ndo ivo Ijumaa ila niko mpweke naomba ujee basi tuchat
  8. JamiiForums Tanzania Kubeti kwatajwa kuwa chanzo cha mauaji ya mwanamke Dar

    Uraibu wa kamari na michezo ya kubeti, wadaiwa kuwa chanzo cha ugomvi uliosababisha mauaji ya Mwanahamisi Pauline (Mwana Mjeshi). Jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kusema: “Taarifa hizo ni za kweli na yeye amejirusha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili

    Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke mvuta Bangi anafaa Kuolewa?

    Wakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana. Je, mwanamke kama huyu ambaye ameshakuwa mtumiaji wa bangi anafaa kuoa? Je anaweza kuhudumia watoto wake kama wanawake...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

    Kila mtu ana matamanio yake juu ya mtu au katika maisha, je! Ni aina gani ya mwanamke ambae unatamani kuwa nae lakini hujampata?
  12. JamiiForums Tanzania Kwetu ni bora uvunje glass cup kuliko kuacha kwenda Kanisani. Kuna mwanamke mwenye sifa hii?

    Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo.. Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata kupitia imani yangu ni kwamba maisha ya binadamu au kila jambo linalotokea kwa binadamu huanzia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni rahisi mwanamke kutaka wapime kabla ya sex ila ni ngumu kwa wanaume kupendekeza hivyo, tatizo ni nini?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Huwa ni rahisi sana kwa mwanamke anapopata mwanaume au anapotongozwa na mwanaume na kumkubalia kuomba kabla ya tendo la kujamiiana wapime kwanza hasa Ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) ila huwa ni ngumu sana kwa mwanaume anapomtongoza mwanamke...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke Mashuhuri Afutwa Katika Historia na Wajinga

    Uuzaaji wa siroli (syrup) ulikuwa heshima kwa zawadi na vipaji vya mwanamke huyu. Sasa vizazi vijavyo hawatamtambua mwanamke huyu mzuri aliyekuwepo. Ni aibu. Dunia ilimfahamu kama "Bibi Jemima," lakini jina lake halisi lilikuwa Nancy Green na alikuwa kielelezo cha mafanikio ya kweli ya...
  16. JamiiForums Tanzania Utamfanya nini mwanamke huyu?!

    Kakubambikia mimba Kakubambikia mtoto Umeshindwa kuprovide child support Kakushitaki Umefungwa miaka 5 Umetoka Umekwenda partenity court Imethibitika mtoto si wako Naye anakiri anamjua baba wa mtoto Utamfanyanini mwanamke huyu?!
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke anachotaka..

    Uumpende,usijiweze juu yake uumpe raha,umsikilize yeye tu. Mali zako ni zake Akili yako ni yake Ndugu zako ni wako ila ndugu zake ni wake na wako Benki yako ni yake Pumzi yako ni yake Watoto ni wake/ukiwa mbishi atawapeleka kwa baba zake..😂 Uhai wako ni wake Ulie juu yake Wazazi wako ni wakwake...
  18. JamiiForums Tanzania Kama umechoshwa na Tabia mbovu ya Mwanamke wako , pitia hapa upate suluhisho na Umbadilishe Kirahisi

    Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ". Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao ,hawatakusumbua !! Sasa Leo nazungumzia na nyie wanaume wenzangu ambao inawezekana, Umechoshwa na tabia...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
  20. JamiiForums Tanzania Ukimbembeleza sana mwanamke unamkosa

    Sijui kama wanasaikolojia wana neno la kitaalamu kwa hii hali, ila katika uzoefu wangu wa mahusiano mwanamke ukimpa sana attention atakusumbua na kama hamjaanza mahusiano basi hata tunda hupati unless ubadirike uwe kauzu. Mwaka jana January tulipata house girl hatukuwahi kuwa na mpango wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…