mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Kwani kuna ulazima wa mwanaume kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake?

    Hii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna kitu kina nguvu katika urembo na uzuri wa mwanamke.

    Siamini eti ni mihemuko ya kihisia ndio inatufanya tu babaike na urembo wa mwanamke maana hata mwanamke mrembo anatamaniwa hadi na mwanamke mwenzake. Tangu hii dunia ianze tumeona jinsi mwanamke mrembo alivyowadondosha watu wazito na mataifa mazito. Hakuna mwanamke mrembo masikini hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Mtafutano wa mwanaume mwenye pesa, mwanamke mwenye hekima na jitihada

    KASUMBA YA WANAWAKE WANAOTAFUTA WANAUME WENYE PESA, WAKATI WAO HAWANA PESA Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kuna wanawake wamekuwa wakisikika wakitaja vigezo vya wanaume wanaowatafuta na moja ya kigezo ni awe na hela, mimi mtu ambae natafakari mambo nilijiuliza unaposema mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu binti wakala kahaha baada ya kuona jina la ninayemtumia pesa ni mwanamke

    Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili za kumpenda licha ya uzuri wa sura na rangi aliokuwa nao. Tumempachika jina na kumuita Wakala Eunice...
  5. JamiiForums Tanzania Diddy atuhumiwa na Mwanamke mwingine kwa udhalilishaji wa Kingono

    Sean "Diddy" Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kijinsia. Mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney anadai rapper huyo aliyefedheheshwa aliwahi kumlazimisha kufanya ngono ya mdomo kufuatia hafla ya Wiki ya Mitindo ya Wanaume mnamo 2003. kulingana na hati za mahakama...
  6. JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

    Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo. This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana. Mwamba anaoa malaya mstaafu wahuni washachimbua madini yote mgodini. Harakati za kutafuta mtoto...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akibaka apewe adhabu gani ?

    Habari wakuu, Leo nimetembea tembea mtandaoni nimekutana na hoja za baadhi ya Wabunge wakitaka ipitishwe sheria ya mwanaume aliye baka adhabu yake iwe kuhasiwa, yaani korodani zitolewe nje na asiweze tena kuitumia dushe yake kwenye matumizi ya kuzagamua. Binafsi naona imekaa sawa ila ni lazima...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

    Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii. Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa kiafya. Let's get Back to our business... Mwanaume shababi, asiyetulia au kwa jina baya Sana...
  11. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote kuichakata ni halali. Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke jitambue

    TABASAMU lako ndio furaha yako ya mwili. Jipende na kujiweka kama mwanamke mwenye heshima na akili. Tambua kwamba mwanaume wa kweli ni yule anayejua thamani yako na kukujali kwa kila kitu! ❤️
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa mwanaume kumuomba mwanamke pesa?

    Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha Hii imekaaje wadau. Vijana wa kiume mmekuwaje?
  14. JamiiForums Tanzania Mungu wa Wayahudi "Yehova" hawezi hatambui Mwanamke kama Mchungaji, Nabii au mtume. Wanawake wanajiita wachungaji au manabii wana mungu mwingine.

    MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli YEHOVA kama Mungu wa wayahudi hatambui cheo cha mwanamke kuwa mchungaji, Nabii, au Mtume. Unapozungumzia...
  15. JamiiForums Tanzania mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

    Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi. kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Safari nzima sijalala maana watu hawa chelewi kukutangaza umelala na Mwanamke

    🤣🤣🤣👇
  17. JamiiForums Tanzania Nimetumia pesa kulala na mwanamke wa rafiki yangu bila kujua, na yeye kajaa hataki kuniacha

    Maisha haya tabu tupu. Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba sababu ndo nnavyowatega warembo wa aina hio. Sasa kumbe binti kanikariri, 1 week ikapita nikarudi tena...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

    Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi . Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending. Acha kulalamika. Wanawake wengi ambao wameshindwa kuolewa ni mdomo tu , mambo ya kuwa singo maza n.k nyongeza Rekebisheni mdomo , value man...
  19. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani nitumie za kuniwezesha kudumu na mwanamke?

    Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri Uvumilivu -0 Utulivu-0 Tamaa -100% Nipeni mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
  20. JamiiForums Tanzania Surat Maryam ndio Sura pekee katika Qur'an iliyopewa jina la Mwanamke, zijue sababu

    Hiii ndio Sura (ufunuo) pekee katika Qur'an iliyopewa jina la mwanamke maalumu anayejulikana, ingawa ndani ya sura hii kumetajwa manabii wakubwa wakubwa kama vile Nabii Yahya, Zakaria, Ibrahim, Is-haq, Yaquub, Idriss, Ismail, n.k. Wote wametajwa ndani ya sura hii. Kisa cha Bi Maryam katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…