mwanamke

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yupi sahihi kati ya hawa wawili? USHAURI WAKO NI MUHIMU

    Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu? MWANAMKE WA KWANZA Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma na kuandika baadhi ya maneno, amezaliwa 1988 (miaka 36), ana watoto wawili wote wa kike - sio watoto...
  2. JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Hi… Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding :mbunifu wa kutafuta kipato :Asizidi 34+ Dini yoyote Kazi yangu na vipaji pm
  4. JamiiForums Tanzania Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

    Mi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda" Hili Jambo Mjomba alinisisitiza mara nyingi sana. Katika Jambo ambalo mama yangu alinisisitiza sana ni katika swala la utunzaji...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mwanamke asifanye kazi akae tu ahudumiwe Kila kitu ni dhana potoshi

    Kuna Imani zimeingia kwenye jamii zetu kwamba ,wanawake wakae tu majumbani wasubiri huduma Toka Kwa waume zao,Kwa kisingizio eti wao wanalea watoto,kupika na kutoa penzi pekee ndio kazi kuu! Tangu mwanzo bibi zetu walipiga mzigo wa maana na sio kujipamba pekee wakisubiri wapewe Kila kitu na...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio makubwa kwa mwanamke wa kibongo zaidi ya kuolewa?

    Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa. Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani. Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Ushawahi kumkimbia mwanamke guest?

    Je, ulishawai mkimbia mwanamke au kumuacha mwanamke gesti baada ya kutofautiana na je sababu ilikuwa ipi ukamuacha peke yake ukasepa zako?
  8. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kutoa Hela kwa Mwanamke ambaye siyo Mke wako, Dada yako wala Mama yako

    Ndugu zangu, kutokana na wanawake kuwageuza na kuwafanya wanaume kama vitega uchumi vyao kwa mgongo wa lazima kuhudumiwa, mahusiano na ndoa , vifuatavyo ni vigezo vya kutoa hela kwa mwanamke ambaye siyo mkeo, mzazi mwezako kwa bahati mbaya, dada yako au mama yako. 1) a) Lazima awe mpenzi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani waliamua wasimchague Rais mwanamke kuwaongoza?

    Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tangu kuanzishwa kwake, CHADEMA haitaki kabisaa kuwa na kiongozi mwandamizi mwanamke kamati kuu?

    Ni mfume dume au wanawake hawaaminiki nyani ya vyama vya siasa? au muundo wake ni kwamba mwanamke marufuku kamati kuu Taifa? Mungu Inusuru CHADEMA na mpasuko 🐒 Mungu Ibarki Tanzania
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mwanamke ambaye Wazazi wake walifariki akiwa mdogo huenda asiwe na mapenzi ya dhati?

    Hii wanajf sijui imekaaje Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba 👉Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo. Ata kule ndoani...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeweza kujihatarisha yeye mwenyewe Kwa kutoa mimba muogope kama ukoma!

    Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke. Hapo Sasa ndo ataanza kushituka. Ukweli ni kwamba mwanamke anayeweza kumeza vidoge(dawa) Ili au kiumbe kilicho ndani ya tumbo lake mwenyewe ni wakugopwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.

    Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze. Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani. Jambo kubwa unalofaa kufanya ni kutoweka budget ya kipato chake kwenye kuendesha familia yenu. Stand as a man...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara nyingi mwanamke anapotangulia kufariki mume naye huwa hachukui siku nyingi?

    Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme 👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi? 👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki Mifano halisi 👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata 👉Mzee Kigunge alianza...
  17. JamiiForums Tanzania Thamani ya Mwanamke katika jamii

    THAMANI YA MWANAMKE KATIKA JAMII. Mwanamke amekuwa nguzo muhimu sana ndani ya familia pale ambapo mwanaume anakuwa hajui wajibu wake ndani ya famili , Hii imekuwa ina tokea katika nyakati tofauti Tofauti , inafikia Time hadi mwanamke anapambana kuhudumia familia kwa kutafuta chochote kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Ukitaka Mwanamke atoroke kwa Nyumba, kula hii mbichi

    UKITAKA MWANAMKE ATOROKE KWA NYUMBA KULA HII MBICHI
  19. JamiiForums Tanzania Ewe Mwanamke , ulimpotezaje mumeo/boyfriend wako? Ulifanya nini akaacha kukupenda?

    Tumesikia vya kutosha juu ya wanaume kuwa vyanzo vya mahusiano kuvunjika, leo ningependa tupate maneno mawili matatu kutoka kwa wanawake wa nguvu wanaojitambua na kutambua mapungufu yao ambayo yalisababisha mahusiano yao kuvunjika
  20. JamiiForums Tanzania Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke

    Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke. Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala ya kufanya upuuzi huo ni bora utumie kila senti unayoingiza, kuvutia pesa nyingine upande wako. Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…