mwanamke

  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

    Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya mtu kuwa na hasira wakati wa hedhi

    Kwa ninavyokuelewa ni kwamba jambo hili husababishwa na maumivu makali kama ya tumbo au kichwa lakini pia maumivu ya mgongo ambayo hupelekea kupanda kwa dopamine
  3. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Wanaume, tabia ya kung'ang'ania kukaa kwa mwanamke aliejenga itaisha lini?

    Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege? Hapana, nimekasirika sana. Wanaume acheni hizi tabia kama mnazo, mtakuja kudhalilika siku moja yakitimia. Nimechukia sana. Hatujawahi kudate, ila kwa...
  4. Magical power

    JamiiForums Tanzania Broo Jinsi unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke wako anakuona ukiwa huna Pesa

    Broo Jinsi Unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke Wako Anakuona Ukiwa Huna Pesa...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena Mnajazana UGALATIA sana...
  6. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  7. Dilan

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MCHUMBA (MWANAMKE)

    Natafuta mchumba. Mwenye miaka 25-35 Mwenye umbo na haiba ya kike. Aliye tayari kuanza maisha na mimi anifikie inbox. Karibu sana
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke.

    Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke, hakikisha anaweza kula kwa kipato chake mwenyewe. Hakuna kuanza uhusiano na mtu anayekuomba mtaji, umkute bize na mambo yake ndiyo umpe support. Unaweza kudhani umepata mpenzi kumbe mwenzio kapata pa kuhemea. Kila mtu anastahili kupata kilicho...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kurudi tena kwenye uhusiano, natafuta mchumba (Mwanamke)

    Mimi ni mwanaume umri miaka 33. Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo . Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila. Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Madhara gani kwa mtoto baba akitembea na mwanamke mwingine?

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kwa mtoto baba akitembe na mwanamke mwingine

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  12. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

    Habarini Wakuu Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo. Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Najikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ana pacha wake

    Habari wakuu, niliwahi kuuliza hili swali kipindi fulani ila sikupatw majibu hivyo nalirudisha tena kwenu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu, vinginevyo utateseka

    Older mnaokimbiliaa ndoa Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima Ni yule aliye na hofu na Mungu Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà Ukishayaoaa yanageuka kuwa...
  15. BISLETT STADION

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mwanamke wa kuolewa

    Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo, Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA. Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker, akauntanti, auditor, maketia, afisa habari, mchumi, mwanasheria, afisa ugavi, mkutubi, police...
  16. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Miaka ya zamani niliambiwa haya maneno kuntu kuhusu kuishi na mwanamke

    "Hakuna kitu wewe kama mwanaume unachoweza fanya ili kumfanya mwanamke aishi na wewe kwa uaminifu, sio pesa, sio mwonekano, sio power, sio chochote kile. Bali mwanamke mwenyewe tu akiamua kuishi na wewe kiuaminifu ataishi na ww hivo, lkn asipotaka hata uwe na pesa kiasi gani, handsome kiasi gani...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume, lazima ujue lengo la kwanza la Mwanamke ni Mwanaume

    Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo Jamaa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yupi sahihi kati ya hawa wawili? USHAURI WAKO NI MUHIMU

    Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu? MWANAMKE WA KWANZA Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma na kuandika baadhi ya maneno, amezaliwa 1988 (miaka 36), ana watoto wawili wote wa kike - sio watoto...
  19. Dr Jeremiahs

    JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya...
  20. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Hi… Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding :mbunifu wa kutafuta kipato :Asizidi 34+ Dini yoyote Kazi yangu na vipaji pm
Back
Top Bottom