mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Anatafutwa Kijana anaeweza kumpa Mwanamke Love Bite

    Jamaani Nani ni kamanda wa kutoa love bite kwa wanawake? Kuna mtu anauliza love bite ni nini? Inapatikanaje? Unaitwa wewe mtaalamu
  2. JamiiForums Tanzania 99% ya wanawake waliokusumbua hawamfikii kwa uzuri mwanamke uliyenaye sasa hivi. Wakati mwingine unawashukuru kwa walivyokukatalia

    Kwema Wakuu! Kijana ambaye upo 17-25 hawa wanawake wanaokusumbua Muda huu na kukatalia kuwa hawakutaki. Baada ya Miaka kumi ijayo utakapopata Mkeo utagundua kuwa wanawake waliokukatalia hawakuwa wazuri kiasi hicho isipokuwa ni balehe na nyege ndio zilizokuwa zinakuendesha. Kwa Sisi kaka zenu...
  3. JamiiForums Tanzania Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia

    Netumbo Nandi-Ndaitwah wa chama tawala cha Swapo nchini Namibia amechaguliwa kuwa Rais, na hivyo kuwa kiongozi wa kwanza mwanamke nchini humo. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC), matokeo yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Namibia leo Jumanne Desemba 3, 2024 yameonyesha...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

    Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya mtu kuwa na hasira wakati wa hedhi

    Kwa ninavyokuelewa ni kwamba jambo hili husababishwa na maumivu makali kama ya tumbo au kichwa lakini pia maumivu ya mgongo ambayo hupelekea kupanda kwa dopamine
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume, tabia ya kung'ang'ania kukaa kwa mwanamke aliejenga itaisha lini?

    Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege? Hapana, nimekasirika sana. Wanaume acheni hizi tabia kama mnazo, mtakuja kudhalilika siku moja yakitimia. Nimechukia sana. Hatujawahi kudate, ila kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Broo Jinsi unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke wako anakuona ukiwa huna Pesa

    Broo Jinsi Unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke Wako Anakuona Ukiwa Huna Pesa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena Mnajazana UGALATIA sana...
  9. JamiiForums Tanzania Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  10. JamiiForums Tanzania NAHITAJI MCHUMBA (MWANAMKE)

    Natafuta mchumba. Mwenye miaka 25-35 Mwenye umbo na haiba ya kike. Aliye tayari kuanza maisha na mimi anifikie inbox. Karibu sana
  11. JamiiForums Tanzania Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke.

    Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke, hakikisha anaweza kula kwa kipato chake mwenyewe. Hakuna kuanza uhusiano na mtu anayekuomba mtaji, umkute bize na mambo yake ndiyo umpe support. Unaweza kudhani umepata mpenzi kumbe mwenzio kapata pa kuhemea. Kila mtu anastahili kupata kilicho...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kurudi tena kwenye uhusiano, natafuta mchumba (Mwanamke)

    Mimi ni mwanaume umri miaka 33. Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo . Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila. Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Madhara gani kwa mtoto baba akitembea na mwanamke mwingine?

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kwa mtoto baba akitembe na mwanamke mwingine

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

    Habarini Wakuu Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo. Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Najikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ana pacha wake

    Habari wakuu, niliwahi kuuliza hili swali kipindi fulani ila sikupatw majibu hivyo nalirudisha tena kwenu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu, vinginevyo utateseka

    Older mnaokimbiliaa ndoa Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima Ni yule aliye na hofu na Mungu Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà Ukishayaoaa yanageuka kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Anatafutwa mwanamke wa kuolewa

    Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo, Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA. Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker, akauntanti, auditor, maketia, afisa habari, mchumi, mwanasheria, afisa ugavi, mkutubi, police...
  19. JamiiForums Tanzania Miaka ya zamani niliambiwa haya maneno kuntu kuhusu kuishi na mwanamke

    "Hakuna kitu wewe kama mwanaume unachoweza fanya ili kumfanya mwanamke aishi na wewe kwa uaminifu, sio pesa, sio mwonekano, sio power, sio chochote kile. Bali mwanamke mwenyewe tu akiamua kuishi na wewe kiuaminifu ataishi na ww hivo, lkn asipotaka hata uwe na pesa kiasi gani, handsome kiasi gani...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume, lazima ujue lengo la kwanza la Mwanamke ni Mwanaume

    Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo Jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…