Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana.
Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma.
Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma...
Mwanamke anaweza kukupenda kwa PESA zako na akakupenda kweli kweli hili linawezekana.
Sio dhambi, sio vibaya, sio jinai na hili linawezekana kwa asilimia miamoja 100%
Kwanini?
😁😁😁
Kwa sababu ukiona unapendwa au mwanamke akikupenda lazima kuna kitu kakupendea tu sio bure kwamba akupende bila...
Wakati hapa nyumbani kundi la wagombea wa kiume limepita bila kupingwa huku wanawake wakiendelea na uchaguzi na wengine kuenguliwa, kule Rwanda Rais Kagame amemteua mwanamama kuongoza idara ya Intelejensia ya nchi hiyo.
Wanaume tukiendekeza kitonga akina Ummy ndio watakaobeba mikoba siku za...
Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume.
Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka...
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?
Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
bado
bila
chupi
dating
father
from
gharama
hali
harusi
hawana
hawapendi
haya
hii
huruma
idadi
jamaa
kipindi
kuitwa
kukataa
kuliko
kuoa
kuoa single mother
kuongezeka
kuwepo
like
mahusiano
mambo
mara
mkubwa
mpenzi
mtu mwingine
mwanamke
mwanaume
naombeni
ndoa
shida
single
single mother
single mothers
singo
taifa
tatizo
tena
tuendelee
uchunguzi
ufahamu
ukweli
umekuwa
ushauri
vijana
waje
wakati
wanaume
wao
wataendelea
watatu
watoto
watoto watatu
waume
where
zamaradi
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya...
Mwenyekiti wa bodi ya NMB Bank, Dkt. Edwin Mhede, amemteua Ruth Zaipuna kuwa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB kuanzia leo, Agosti 18.
Ruth anakuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi kubwa katika taasisi za kibenki nchini. Awali Ruth aliikaimu nafasi ya Ukurugenzi Mkuu tangu Oktoba 2019.
Ruth ana...
Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na...
Binafsi nina mke ila hili swali nimelikuta huko jukwaa lingine la kimombo nimeona nilete humu kuongezana maarifa
Ni maswali yanayoonekana ni ya kipuuzi ila yana umuhimu kujua.
Mida ya usiku wa giza ndio mengi ya giza hufanyika na hata nguvu za giza kutawala, yapasa mtu kabla hajalala aombe kwa...
Zama za leo wanaume tumekuwa tukilalamika kukosekana kwa mapenzi halisi toka kwa wanawake! Ni dhahiri zama zimebadilika,ule upendo halisi umefifia Ila haujapotea!. Kilichopotea ni kile ambacho hakipo kabisa! na kilichofifia ni kile kipo Ila kwa uchache.
Hatuwezi kuzungumzia mapenzi bila kuiweka...
Nipo apa kuwatoa ujinga nyinyi wanaume mnaojifanya mna pesa yaan unakuta dume zima linajua na mwanamje first day denu anaanza njaa mara nina birthday.kuna mchango wa harusi .nimekopa nadaiwa nina shida ya sh fulani na mwanaume na akili timamu unatuma unajua anajuchukuliaje
JIBU : ANAKUONA BOYA...
habari za muda huu wakuu?
naomba kuleweshwa kidogo, tukiacha habari za majini mahaba na wenziwe.
ni kwa nini mtu ukiota unafanya mapenzi na mwanamke kwenye ndoto raha yake huwa ni kubwa mara mbili mpaka tatu kuliko ya mwanamke wa halisia?
Habari wanajamvi? kwenye jukwaa hili sio maarufu sana ila nisaidieni hili:
Nina mke nampenda sana hata yeye anajua nampa misifa kama yote kama ilivyo ugonjwa wao. sijawai kutoa sifa kwa jinsia ya kike mbele yake hata siku 1.
Hii imenikuta last week,nilisemwa sana japo sikuwa na nia mbaya...
Binafsi mm imewahi nitokea kama mara 3 hivi.
1. Mara ya kwanza ni kipindi niko chuo, nimeweka apointment na manzi ameniambia anakuja sa 12, hivyo nichukue chumba, nikaenda lodge fulani hivi classic nikalipa 25, nikarudi hostel nikawa na msubiria, sa 12 imefika hajafika bado but anasema nakuja...
Habarini wana JamiiForums, hope wote mpo home mnaenjoy weekend.
Sasa basi, ebu ngoja tuingie kwenye mada nimekutana na uzi huko watu wanalalamika eti mwanamke anadhalauriwa sana, sasa nataka niwape siri ambayo wengi hamjui. Mwanamke ukimpa madaraka lazima akutawale; utashikwa masikio utafinywa...
Kibaiolojia, mwanamke anazeeka haraka sana kuliko mwanaume. Je, mwanaume kuoa mwanamke anayemzidi umri? Mfano kwa miaka 5 na kuendelea, huwa wanalenga starehe za muda mfupi au huwa na malengo ya kudumu katika maisha yao?
Wajuzi wa mambo karibuni kwa mjadala
Joyce Wairimu Kariuki (62) amhukumiwa kwenda jela miaka 35 baada ya kukuta na hatia ya ujambazi. Amekutwa na hatia ya kuhusika kupora vyombo vya moto kwa mwaka 2018 na 2019
Rekodi za Upelelezi wa Makosa ya jinai zinamtambua mama huyo kuwa ni mwanamke aliyewahi kutumikia kifungo cha miaka 15...
Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe.
Piga mateke ngumi...
NGUVU YA MWANAMKE
Siandiki ili kuwasifia Wanawake au kwa maslahi mengine yoyote yale isipokuwa kujifunza. Natamani kueleweka wazi kuwa maandiko yangu yote likiwemo hili ni kwa ajili ya kujifunza tu na siyo nje ya hapo.Siandiki ili kuifanya jinsia yoyote ile kujiona bora yenye thamani kuliko...
NGUVU YA MWANAMKE
Siandiki ili kuwasifia Wanawake au kwa maslahi mengine yoyote yale isipokuwa kujifunza. Natamani kueleweka wazi kuwa maandiko yangu yote likiwemo hili ni kwa ajili ya kujifunza tu na siyo nje ya hapo.Siandiki ili kuifanya jinsia yoyote ile kujiona bora yenye thamani kuliko...