mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

    Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka. Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini jamii inahisi mwanaume aliye kwenye mahusiano na mwanamke analiwa pesa?

    Kuna kitu nimeobserve Mara nyingi kwenye Jamii, taarifa zikienea mtaani kuwa una-date na mdada flani, watu wanaanza kukuuliza yule mdada ulimpa sh ngapi hadi ukampata, mwingine atasema ni kwa vile wewe una hela kumzidi fulani ndio maana ukampata yule mdada, mwingine atakusema Pembeni wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, tuache kulaumu wanaume

    Mwanamke anataka jamii imtambue kama mtu dhaifu anaehitaji kulishwa, kutunzwa na kutunduliwa na mwanaume, anaona ni sawa lazima atolewe mahari na kuhurumiwa sana na kupewa upendeleo na wanaume. Mwenyezimungu amewaumba viumbe wake wote sawa bila upendeleo wowote ila tofauti unazoziona baina ya...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi ya Mwanamke katika jamii na familia

    Habari za saa wana JamiiForums, Kwanza kabisa niingie moja kwa moja kwenye maada husika inayomuhusu mama/mwanamke wa kiafrika anayepitia changamoto mbalimbali,Ni kujaribu kujua jamii ya afrika ni kwa nini hatuwezi kuwaamini kinamama katika kufanya jambo la maendeleo katika familia na hata ngazi...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni "Stamina" au "Size" ya uume ndio humfanya mwanamke afurahie zaidi ngono?

    Guys , ni muhimu sana tukajua mustakabali wa kizazi chetu. Tumeona Vijana wengi sana wakiingia kwenye wimbi la kutumia madawa ya kuongeza size ya uume ikiaminika kwamba ni kitu ambacho mwanamke anapenda na ni ishara ya URIJALI na USHUJA. Katika generation ya sasa, the average penis kwa urefu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kweli hela ya mwanamke haihesabiki kwenye bajeti ya familia?

    The guy ask me.. If ur wife got 1000 and u have 1000 wat could be the total!? 1000+1000=1000 nika mwambia hapana how come?? Mdau kapatia au kakosea!?
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke mnayefanya kazi ofisi moja anakutangazia mabaya kwa wenzake usipomtongoza

    Huyu mwanamke tulimuheshimu sana hapa ofisini (alikuwa secretary wetu) yaani lunch na break fast tunamtoa karibuni kila siku sisi wanaume tofauti tofauti na hakuna alie mtongoza maana yeye kwanza ni mke wa mtu tunamheshimu na sisi bado ma single . Sasa yeye kahamishwa kitengo kapelekwa ofisi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda kwa mganga kisa mwanamke?

    Kama inavyojieleza ushawahi kumpenda demu sio ligi yako. Ukaamua uende kwa babu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa na mwanamke lazima ujiulize hili swali la msingi

    Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa, kabla hujaamua kuendeleza kizazi chako lazima ujiulize, je nikifa leo huyu mwanamke ataweza kuwalea wanangu sawasawa ama angalau vile ulivyokua unatarajia? Tuachane na kifo, ujiulize nazaa na huyu mwanamke ama namuoa, je hali yangu ya kiuchumi ikibadilika...
  10. JamiiForums Tanzania James Millya: CHADEMA wanamuonea Rais Samia kwa kuwa ni Mwanamke

    Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
  11. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tamaduni inavyochangia ukandamizaji wa mwanamke

    Mwenendo wa mwanadamu katika maisha huchangiwa kwa asilima mia moja na mchango wa tamaduni, kwani hakuna mwanadamu asiyetokana na utamaduni fulani. Utamaduni unatofautina kutoka kwenye bara moja na lingine, nchi moja na nyingine na sehemu moja na nyingine katika nchi husika. Hivyo tamaduni...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wanakudanganya kuwa wapinzani wanakudharau kwa kuwa ni mwanamke

    Kwa kuangalia siku 100 za kwanza za Rais Samia Suluhu Hassan zilivyokuwa zimeleta matumaini makubwa kwa watanzania, katika kuijenga demokrasia na kuheshimu haki za binadamu, kwa namna alivyopiga U turn, katika siku chache zilizopita, ndipo hapo wananchi wanajiuliza, kimetokea nini tena kwa Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Wale wote tuliwahi kutuma nauli na Mwanamke hakuja tukutane hapa kupunguza machungu

    Mie niko dar ila nilienda kurefresh akili mkoa wa Arusha kama week 1 nikakutana na mdada mrembo sana. Kama kawaida yang kidume nikajisemea lazma uyuu mtoto nimsajili kwenye team yang tukabadirishana number vzr tuu. Baada ya mapumzko yang ya week moja kuisha nikarud zangu Dar Nikawa nachati na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

    Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video. Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

    Wanabodi, Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!. Msikilize Waziri Gwajima Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?. Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba 'Mwanamke ' - anayeishi Mbeya

    Kichwa cha habari chahusika. Natafuta mwanamke ambaye anahitaji kuwa na mwanaume for long term relationship ili kujenga familia pamoja. Sifa za mwanamke nimtakaye: 1. Awe anaishi mkoani Mbeya. 2. AWE TAYARI KUPIMA HIV 3. Awe na umri kuanzia 20 hadi 35. 4. Elimu yake kuanzia kidato cha nne na...
  17. JamiiForums Tanzania Zitambue hasara za kuzama chumvini kwa mwanamke

    Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina). Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke ananisumbua sana, kila nikimtongoza ananikataa

    Natumai wote mko salama. Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu. Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke kwaajili ya mahusiano baadaye awe mke wangu

    Habarini Ndugu zangu Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali. Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa. Kama uko tayari tuwasiliane Inbox...
  20. JamiiForums Tanzania Ukijitathmini; Hivi unaishi au Unaishia?

    Kwema Wanazengo! Sio lengo langu kumkwaza yeyote, lakini embu tujadili kidogo. Hivi ukijitazama ukajitathmini, Unaishi au Unaishia? Kama huli chakula ukitakacho, unaishi au Unaishia? Kama huvai utakacho, unaishi au Unaishia? Kama hujawahi hata kumiliki usafiri hata wa punda, unaishi au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…