mwanamke mzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine kuyasema huenda ikaonekana ni aibu. Nina tabia ya kupenda Kila mwanamke Mzuri

    Kwema Wakuu! Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri. Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume. Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu. Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10...
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

    Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
  3. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kila ndoto ya mwanaume ni kuwa na mwanamke mzuri

    Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa. Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini akija kupata pesa lazma aje atafute mwanamke mzuri ambae mwanzo alikua awez kua nae kwasababu...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mke wako ni Abigael wa leo? Au je, umemuandaaje binti yako kuwa kama Abigael?

    JE MKE WAKO NI ABIGAEL WA LEO? AU JE UMEMUANDAAJE BINTI YAKO KUWA KAMA ABIGAEL? Anaandika Robert Heriel, Tena hakuna kitu kizuri na kinachopendeza kama mwanamke, mwanamke ni ua katika miiba, ni dhahabu katika matope; naye apataye mke mwema ameyapata maisha yake na kuyaokoa walakini akosaye...
  5. Digging deeper

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri nimempata

    Habari wana MMU Je, wewe mwanamke wa JF ni angle gani upo vizuri katika mahusiano kama vile kupika vizuri, kujari, kupiga vizinga na nyengine nyingi na wanaume ni angle gani unatamani sana kwa mwanamke wako awe vizuri sana kuliko zengine katika mahusiano.
  6. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri kuwa mwaminifu ni mtihani

    Huwa nawaza, Mimi mke wangu mzuri lakini kuna wake wa jamaa zangu nao ni wakali sasa navyowatamani utadhani mke wangu havutii. Najiuliza je wakulungwa ambao hawafahamu kama mwanamke mzuri kaolewa wanamtongoza mara ngapi na anakwepa vishawishi mara ngapi? Wengine wanaenda hadi kwa waganga Ili...
  7. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuwa na mahusiano au kuoa chagua mwanamke mzuri

    Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri). Pia hata ukimpa pesa kama akiwa na shida kweli...
Back
Top Bottom