Habari wakuu
Nina mpenzi wangu aitwaye Zainabu, mwanafunzi wa IFM anayeishi Magomeni. Tumekuwa pamoja tangu form four, na mpaka sasa tumedumu licha ya umbali na pilikapilika za chuo. Zainabu ni msichana wa heshima, anayejiamini, na anayenipenda kwa moyo wake wote. Ila kitu kimoja huwa...