Hello
Hope mko salama..
Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa..
Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
KIJANA ANASWA AKIBA SADAKA KANISANI KWA KUTUMIA GUNDI KWENYE KIJITI JIJINI NAIROBI
Mtaa wa Githurai 45 ulijaa kicheko na mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Kevo’ kunaswa akitekeleza wizi wa aina yake ndani ya kanisa la mtaa huo. Kevo, ambaye mara nyingi huonekana akiwa wa...
Msomi uliyefikia kiwango hicho kama nilivyo taja juu na bado akili yako haijajua kupambanua nyeusi na nyeupe ni ipi wewe ni galasa Type1
Ni ajabu kwa kweli wafuasi wakubwa wa hawa manabii matapeli ni wasomi.
Mfano unaambiwa waumini/washiriki wa makanisa ya wahuni masanja mkandamizaji na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mawaziri pamoja na viongozi wa dini mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
Kiongozi wa dini yako umemuona?
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu.
Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.,
Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?
Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
Clemence Mwandambo kupitia ukurasa wake wa Istagram amemjibu Boniface Mwambosa kwa kauli yake aliyoitoa kusema Maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu.
Soma Pia: Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Licha mimi siungi mkono maandamano lakini mimi nipo na Mwamposa anaposema Maandamano...
Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu!
Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli.
Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.
Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.
Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.
Kupitia maneno yake na matendo yake...
Naanza na hii
●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners
Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
Kweli Hananja. msanii wa dini, Mwamposa Msanii wa Dini leo ndio wa officiate sala ya ufunguzi?
Nchi hii ina vituko.
---------
Mtumishi wa Mungu, Apostle Mwamposa, alivyoshusha maombi katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Kawe - Dar es Salaam
Chanzo: Global TV
Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko
Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi
Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo...
Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo.
Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa.
Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini?
Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo
Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
Mwamposa anachukiwa sana na sisi CCM in general na Mama Samia in particular.
Mama Samia ameitembelea Mwanza mara kibao akiwa na idadi kubwa ya wasanii wazuri lakini hajawahi hata kufikisha idadi robo ya Mwamposa anayojaza hapa Viwanja vya nane nane.
Mama Samia aliwahi kushindwa kujaza kujaza...
Mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa amechangia Milioni 50 kwenye kampeni za CCM katika harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM , katika hafla inayofanyika usiku huu
Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc
TUAMKE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.