mwalimu

Julius Kambarage Nyerere (Swahili pronunciation: [ˈdʒuːlius kɑmˈbɑɾɑgɑ ɲɛˈɾɛɾɛ]; 13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. A founding member of the Tanganyika African National Union (TANU) party—which in 1977 became the Chama Cha Mapinduzi party—he chaired it until 1990. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa.
Born in Butiama, then in the British colony of Tanganyika, Nyerere was the son of a Zanaki chief. After completing his schooling, he studied at Makerere College in Uganda and then Edinburgh University in Scotland. In 1952 he returned to Tanganyika, married, and worked as a teacher. In 1954, he helped form TANU, through which he campaigned for Tanganyikan independence from the British Empire. Influenced by the Indian independence leader Mahatma Gandhi, Nyerere preached non-violent protest to achieve this aim. Elected to the Legislative Council in the 1958–1959 elections, Nyerere then led TANU to victory at the 1960 general election, becoming Prime Minister. Negotiations with the British authorities resulted in Tanganyikan independence in 1961. In 1962, Tanganyika became a republic, with Nyerere elected its first president. His administration pursued decolonisation and the "Africanisation" of the civil service while promoting unity between indigenous Africans and the country's Asian and European minorities. He encouraged the formation of a one-party state and unsuccessfully pursued the Pan-Africanist formation of an East African Federation with Uganda and Kenya. A 1963 mutiny within the army was suppressed with British assistance.
Following the Zanzibar Revolution of 1964, the island of Zanzibar was unified with Tanganyika to form Tanzania. After this, Nyerere placed a growing emphasis on national self-reliance and socialism. Although his socialism differed from that promoted by Marxism–Leninism, Tanzania developed close links with Mao Zedong's Marxist-governed China. In 1967, Nyerere issued the Arusha Declaration which outlined his vision of ujamaa. Banks and other major industries and companies were nationalised; education and healthcare were significantly expanded. Renewed emphasis was placed on agricultural development through the formation of communal farms, although these reforms hampered food production and left areas dependent on food aid. His government provided training and aid to anti-colonialist groups fighting white-minority rule throughout southern Africa and oversaw Tanzania's 1978–1979 war with Uganda which resulted in the overthrow of Ugandan President Idi Amin. In 1985, Nyerere stood down and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi, who reversed many of Nyerere's policies. He remained chair of Chama Cha Mapinduzi until 1990, supporting a transition to a multi-party system, and later served as mediator in attempts to end the Burundian Civil War.
Nyerere was a controversial figure. Across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist and in power received praise for ensuring that, unlike many of its neighbours, Tanzania remained stable and unified in the decades following independence. His construction of the one-party state and use of detention without trial led to accusations of dictatorial governance, while he has also been blamed for economic mismanagement. He is held in deep respect within Tanzania, where he is often referred to by the Swahili honorific Mwalimu ("teacher") and described as the "Father of the Nation".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwalimu anatufanya tutafakari zaidi vyanzo vya fedha vya Tajiri G ,Timu Y na mwenendo mzima wa ligi N ya Nchi ya T

    Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu . Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A . Kulingana na Kiongozi M ...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya pigo la mwalimu Ahmed aandika ujumbe

    Baada ya Klabu ya Yanga kumtangaza Selemani Mwalimu katika kikosi chao, Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally ameandika ujumbe mzito ulioambatana na picha ya kikosi cha Simba, akiwatia moyo mashabiki na kuwataka waendelee kuipigania kesho ambayo ni siku ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ya Selemani Mwalimu kwenda Yanga Ahmed Ally akamatwe, kadanganya umma

    Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani. Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
  4. JamiiForums Tanzania Yanga kumsajili selemani mwalimu nani alaumiwe?

    Yanga kumsajili selemani mwalimu nani alaumiwe?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga ni uhitaji wa mahitaji ya team au ni kumkomoa mtani?

    Nimeshanganzwa na Usajili wa Selemani Mwalimu unaonesha mambo makuu mawili: 1. Uongozi mzima wa Simba hawafanyi vitu kiprofessional, huwezi kutambulisha mchezaji kwenye tamasha lenu kumbe ujamalizana na club na mchezaji kwa asimilia zote hii maana yake Nini? Mnafanya mashabiki wenu wasiwaamini...
  6. JamiiForums Tanzania Utambulisho wa Selemani Mwalimu, Simba

    Utambulisho wa Selemani Mwalimu , kwa Simba yangu ni uhuni unaoendelea Simba , msituone sisi ni wajinga nyie viongozi majahili wa Simba
  7. JamiiForums Tanzania Iwapo Salum Mwalimu angeshinda urais basi Kigaila angekuwa Waziri mkuu wetu!

    Mazungumzo yote yapo kwenye page ya Chief Odemba Facebook. Kwa kifupi sana hii nchi raia tunaonwa kama matako Yao tu kama ni hivi asee
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  9. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa Amani Mwalimu Nisetas Dimoso wahusika lazima wachukuliwe hatua!

    Nimeguswa sana na kifo cha kikatilli cha mwalimu huyu ambaye alipigania "standards" kuhakikisha kuwa eneo la shule ni eneo kama yalivyo maeneo mengine yanayotambulika kama "smart area" Mwalimu huyu amedhulumiwa uhai wake na wanaojidai kuwa ni wafugaji wenye fedha na wasioguswa au kuheshimu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfanyakazi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana dharau sana kwa watu

    Habari kuna mfanyakazi mmoja wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana majibu ya dharau sana hasa kwa watu wanaoenda hapo wakiwa na uhitaji mbalimbali. Tulienda kufuata vyeti vyetu lakini alikuwa busy na kuchezea simu tukijaribu kumuuliza anakuwa mkali na hii si...
  11. JamiiForums Tanzania Songwe: Mwalimu auwawa akizuia mifugo isipite katikati ya Shule

    Mwalimu wa Shule ya Sekondari Galula wilayani Songwe, Nisetas Dimoso amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji, kufuatia jitihada zake za kuzuia mifugo kupita ndani ya eneo la shule. Mwalimu Dimoso alifariki dunia Julai 28, 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Naivasha afariki kwa kujitoa uhai baada ya kudaiwa kupoteza Sh40,000 za safari ya wanafunzi kwenye kamari ya michezo.

    Mwalimu mmoja wa Naivasha ameripotiwa kufariki kwa kujitoa uhai katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kupoteza Sh40,000 kupitia kamari ya michezo. Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (DCIO) wa Naivasha, Isaac Kiama, fedha hizo zilikuwa zimetengwa kugharamia safari ya wanafunzi ya mwisho wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wydad kuishtaki Simba kwa kumtangaza Seleman Mwalimu kuwa mchezaji wao

    Klabu ya Wydad Casablanca imekanusha taarifa ya kufikia makubaliano na Simba SC juu ya mshambuliaji Selemani Mwalimu 'Gomez' kusalia kwa Wekundu hao wa Msimbazi kwa msimu mmoja zaidi wa mkopo ikidai taarifa hiyo haina ukweli wowote na kwamba klabu hiyo haijasaini makubaliano yoyote ya mkopo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu wa S/M Kimandafu ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru amfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 siku 2 mfululizo

    Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 aitwaye Angel Frank Mbise kwa kumwambia "ondoka sikutaki ktk kipindi changu"...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi . Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Tanzania aunganisha tamaduni kupitia lugha ya Kichina na opera ya jadi

    Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha ya Kichina na Kiswahili bila shida anapowaongoza wanafunzi kwenye matamshi, sauti, na misemo ya...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Kwa waliopo Bukoba mjini au maeneo ya karibu anahitajika mwalimu wa kujitolea English literature

    Anahitajika mwalimu wa Literature in English shule ya MUMWANI sec (serikali) Kwa taarifa rasmi Mshahara ni laki2 pia makazi yapo. Kwa anayehitaji au kuna mhusika umamfahamu.tuwasiliane kwa 0623446608 nikupe maelekezo.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Kazi: Mwalimu wa Kiingereza (Tanzania) 🇹🇿 🇰🇪

    Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education). Natafuta fursa ya kufundisha nchini Tanzania na niko tayari kuhamia (relocate) mara moja nafasi itakapopatikana. Sifa zangu kwa ufupi: •📑...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa darasa pili

    Habari za jioni? Shule ya msingi ya binafsi ya Kiingereza iliyopo Tanga mjini inatafuta mwalimu mzoefu wa kufundisha darasa la pili. Awe za uzoefu na ari ya kupenda kufundisha watoto wadogo. Tunapendelea zaidi akiwa mwanaume,japokuwa hata wa kike anaruhusiwa kuomba nafasi hii. Mawasiliano...
  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kumkosoa IGP kuhusu vikundi vya Mwaipopo wampeleka Polisi mwalimu Laulent Joseph (Mnegro)

    Hii inathibitisha kuwa hii nchi imewashinda hawa walio madarakani. Hivi kweli ingekuwa hao ni wanaojitambulisha kuwa ni waandamanaji, je wasingekamatwa? Huyu anayeitwa IGP nadhani ni bosheni tu. Huenda IGP halisi ni mafwele na wauaji wenzake ndomana wakina Mwaipopo wako na ujasiri wa kuvaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…