mwaka wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ahadi hewa ya Utekelezaji wa Muundo wa Utumishi kwa Sekta ya Afya (Kada ya Uuguzi na Ukunga) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025? Habari, Kwa masikitiko makubwa napenda...
  2. Analogia Malenga

    Kuna shule Morogoro ilipokea 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25 ili kufinance elimu bure

    Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya Kisaki, ilipokea Tsh 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25. Shule hii ina jumla ya wanafunzi 18 kuanzia...
  3. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe: Tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka wa fedha 2024/25 imeonesha mafanikio makubwa

    Tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka wa fedha 2024/25 imeonesha mafanikio makubwa, ambapo rangi ya kijani imetawala katika viashiria vingi vya utekelezaji, ikiwa ni ishara ya kufanya vizuri kwa mikoa na halmashauri nchini. Hayo yamesemwa Januari 22,2026 jijini Dodoma na Waziri...
  4. TRA Tanzania

    Salamu za shukurani kwa walipakodi kwa mwaka wa fedha 2024-2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA ) imefanikiwa kuvuka malengo iliyowekewa kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024-2025 kwa kukusanya kiasi cha shilingi Trilioni 32.26 sawa na asilimia 103.9 ukilinganisha na lengo la shilingi Trilioni 31..05 . Kwan niaba ya Bodi ya Wakurugenzi ,Menejimenti na...
  5. K

    WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26

    DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo. - Akiwasilisha mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/25 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara hiyo kwa...
  6. Roving Journalist

    Mchechu: Ofisi ya Msajili wa Hazina ina shauku ya kukusanya Sh Trilioni 1 kama mapato yasiyo ya kodi katika Mwaka wa Fedha wa 2024/25

    Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema takribani Sh Bilioni 900 zimekusanywa kutoka taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zipatazo 200. Amesema “Hadi kufikia sasa (Juni 2, 2025) Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya karibia Sh Bilioni 900 kama mapato yasiyo...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Ujenzi ni Bajeti ya Kazi na Utu Waziri Ulega aahidi ujenzi zaidi Dkt. Samia kuzindua Daraja la JPM Makandarasi wazawa kicheko Miji 200 kumulikwa taa Usumbufu kwenye mizani wapata dawa Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
  8. Roving Journalist

    Ripoti ya CAG - Miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2023/24

    Nina furaha kuwasilisha Taarifa yangu ya Jumla ya Mwaka kuhusu Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418. Taarifa hii...
  9. Nipe Maji

    PreGE2025 Serikali kupeleka umeme Vitongoji 9,000 mwaka wa fedha wa 2025/26

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji. Kapinga ameeleza kuwa, pamoja na kazi ya kupeleka umeme vitongojini inayoendelea...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 19.491 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2023/2024, ambayo ilikadiriwa kukusanya Tsh. bilioni 21 kutoka mapato ya ndani. Akizungumza...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Kamishna Mkuu TRA: Mwaka wa fedha 2024/2025, TRA ilivuka malengo yake kwa kukusanya Shilingi Trilioni 16.528

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda, amesema Siku ya Mlipakodi ni tukio maalum linalolenga kutambua na kuwashukuru walipakodi wa kada zote kwa mchango wao katika maendeleo ya taifa. Akizungumza Januari 23, 2025, jijini Dar es Salaam, wakati wa maadhimisho...
  12. Megalodon

    Ahadi hewa zilizotolewa na Viongozi wa CCM kwa mwaka wa fedha 2024

    1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device Hapa tulipigwa changa na utapeli 2. Umeme kukatika mwisho ilikuwa October 2024 kama alivyoahidi Mzee Doto...
  13. goldcall

    Kikao cha wanaume mwaka wa fedha 2014/2015

    wanaume wenzangu hamjambo sina mengi sana ya kusema, ila hili ni muhimu sana, kumekuwa na malalamiko mengi sana ya mahusiano na ndoa, bila kusahau wanaume tunakosea hapa, unapotaka kuoa, hakikisha unaoa mwanamke ambaye naye yupo vizuri kiuchumi, kama una elimu, basi pia zingatia hilo, hakuna...
  14. Mzee wa Code

    Miradi ya maji 17 Chemba (Dodoma) ni kichomi, hadithi isiyokamilika, bajeti ilipitishwa tangu Mwaka 2020/21

    Mbunge wa Chemba, Mohammed Moni ameuliza Swali leo bungeni ambapo amelalamikia asilimia 80 ya miradi ya Maji haijakamilika akiitaja miradi hiyo kwa idadi Isiyopungua 17, Mbunge huyu wa Chemba amesema miradi hiyo kushindwa kwake kukamilika kwa kipindi kirefu kutokana na ukosefu wa fedha hali...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Rose Cyprian Tweve Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    MBUNGE ROSE CYPRIAN TWEVE Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kuwa Imara na mwanamke ambaye hajatikisika kuhakikisha anaendelea kuliongoza Taifa hili. Nampongeza Mhe. Mwigulu na Mhe. Mkumbo kwa namna ambavyo...
  16. Roving Journalist

    Mchango wa Luhaga Mpina akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Mei 30, 2024

    Mheshimiwa Spika, awali ya yote nianze kwa kumpongeza Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) kwa uwasilishaji wake mzuri wa hotuba yake ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka 2024/2025. Mheshimiwa Spika, Niwapongeze Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za...
  17. Roving Journalist

    Mchango wa Luhaga Mpina akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje Mwaka wa Fedha 2024/2025, Mei 28, 2024

    Mheshimiwa Spika, Awali ya yote naomba nimpongeze Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuph Makamba (Mb) Naibu Mawaziri, Makatibu Mkuu na watumishi wengine wa Wizara kwa hotuba nzuri yenye taarifa muhimu za kutuwezesha waheshimiwa wabunge kujadili na kufanya...
  18. Ojuolegbha

    Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na JKT Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na JKT

    Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe 20 Mei 2024.
  19. Roving Journalist

    Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya UIinzi na Jeshi Ia Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Mei 20, 2024

    HALI YA ULINZI NA USALAMA WA MIPAKA YA NCHI Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2023/24, haIi ya mipaka ya Nchi yetu yenye urefu wa jumIa ya kiIomita 5,923.41, ambayo inahusisha eneo Ia nchi kavu na eneo Ia maji, imeendeIea kuwa shwari. Mipaka hiyo ni baina ya Tanzania na Burundi, Jamhuri ya...
  20. Blasio Kachuchu

    Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Malipo ya Gawio la Shilingi Bilioni 130.6 kwa Mwaka wa Fedha wa 2023

    Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
Back
Top Bottom