tokea masaa 5
Dar es Salaam. Zaidi ya mabasi 150 ya mwendo wa haraka (mwendokasi) yaliyoletwa kwa ajili ya kutoa huduma katika barabara ya Mbagala, yamekaa kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi.
Hayo yameelezwa leo Jumatano, Mei 6, 2026 na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya...