mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    SoC04 Hadithi ya mabadiliko itaenda andikwa mwaka Kesho 2025

    Mwaka Kesho 2025 mnamo October mpaka November basi kila raia wa Tanzania hadithi yake mpya itayo kua na mabadiliko ndipo itapo Anza kama ilikua ni yakupata uchaguzi wa haki,kupata kiongozi alie kua akimuhitaji, sela zao zilizo timizwa,ambazo hazijatimizwa, zilizo ahidiwa tena na kivipi Zita...
  2. Ndani ya mwaka mmoja Watoto 225,003 wanaolelewa Vituoni wameongezeka Tanzania

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakike 222,418) na Vituo 206 vya Kijamii vyenye Watoto 11,675 Idadi hiyo ni ongezeko la Watoto 225,003 sawa na...
  3. Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 67,905,259,000 inayotarajiwa kutumiwa na Wizara hiyo katika kipindi cha mwaka 2024/25 Katika wasilisho lake Bungeni, Waziri Dkt. Doroth Gwajima amesema Tsh. 47,487,079,000 kati ya Fedha hizo...
  4. Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

    Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
  5. Mbunge Twaha Mpembenwe akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia wananchi ambao wamepatwa na mafuriko" - Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti "Namshukuru...
  6. Wizara ya Mifugo na Uvuvi kutumia Tsh. 460,333,602,000 kwa mwaka 2024/25

    Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2024/25 Jumla Kuu: Tsh. 460,333,602,000 Matumizi ya Kawaida: Tsh. Bilioni 97.21 ➼ Mishahara - Tsh. Bilioni 44.84 ➼ Matumizi Mengineyo - Tsh. Bilioni 52.36 Miradi ya Maendeleo: Tsh. Bilioni 363.11 ➼ Fedha za Ndani - Tsh. Bilioni 242.07 ➼ Misaada -...
  7. Wizara ya Afya kutumia Tsh. Trilioni 1.3 kwa mwaka 2024/25. Tsh. Bilioni 632.2 ni matumizi ya kawaida

    Wizara ya Afya imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.31 itakayotumika kwa mwaka 2024/25 ambapo Tsh. Bilioni 632.26 (48%) ya Bajeti zitaenda katika Matumizi ya Kawaida ikiwemo Mishahara na Matumizi Mengineyo Pia, Wizara itatumia Tsh. Bilioni 679.57 (52%) ya Bajeti katika Miradi ya...
  8. Mikoa 10 iliyoongoza kwa ripoti za Matukio ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania kwa mwaka 2022/23

    Dar es Salaam - 13,719 Shinyanga - 12,300 Mara - 9,823 Mwanza - 9,242 Geita - 7,697 Kigoma - 7,544 Kagera - 7496 Tabora - 7,471 Ruvuma - 7,425 Tanga - 6,827 Chanzo: Wizara ya Afya
  9. K

    PreGE2025 Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Mwaka 2024 na Katiba inachosema kipi ni sahihi?

    Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je, ni kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?
  10. Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

    Habari za majukumu ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So nataka kununua mpya.. Naomba kuwasilisha kwenu
  11. K

    PreGE2025 Ushauri wa Serikali: Uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho

    Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
  12. Wamarekani wanamuhitaji Donald Trump sasa kuliko walivyomuhitaji mwaka 2016

    Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo. Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani. Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa...
  13. Wamarekani wanamuhitaji Donald Trump sasa kuliko walivyomuhitaji mwaka 2016

    Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo. Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani. Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa...
  14. MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungen

    MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya kwa kumtua Mama Ndoo kichwani, hii ilikuwa ni ajenda yake alipokuwa...
  15. MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji, Mwaka wa Fedha 2024-2025 Bungeni, Dodoma.

    MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kwa bidii kuhakikisha azma ya kumtua Mama Ndoo...
  16. Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Mkoa wa Tanga Kura Zote Tutamchagua SAMIA SULUHU HASSAN

    MHE. KWAGILWA NHAMANILO: UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 MKOA WA TANGA KURA ZOTE TUTAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN "Nitoe shukurani za pekee sana kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Handeni Mjini tumekuwa na mradi mkubwa mara ya mwisho mwaka 1974, miaka 50 imepita Handeni Mjini hatujuwahi kuwa na...
  17. F

    Ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita?

    Huwa najiuliza ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita vya kwanza vya duni 1914 hadi 1918. Kumbuka tungekuwa nchi moja na Rwanda na Burundi. Je, tungetumia lugha gani shuleni. Kumbuka kingereza bado hakijaingia wakati huo ila Germany kwa maeneo machache. Kabila...
  18. Wizara ya Elimu yaomba kutumia Tsh. 1,968,212,534,000.00 katika mwaka 2024/25

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia chini ya Waziri Mhe. Prof. Adolf Mkenda imeomba bunge kupitisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara yenye jumla ya Shilingi 1,968,212,534,000.00. VIPAUMBELE Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na...
  19. 2024 mwaka wa simanzi na masononeko

    Mwaka huu kweli tuanzeni kutubu na kumwamini Mungu yanaoendelea mitandaoni na duniani ni wazi kiwango cha watu kuchanganyikiwa na kufanya mambo ya ajabu kimeongezeka. Israeli anaua vile watoto wa Gaza na duniani inashuhudia kabisa halafu watu wako busy na maisha yao yaani ubinafsi wa hali ya...
  20. UTABIRI: Tume ya Taifa ya Uchaguzi haina maisha marefu, itavunjwa kabla ya 2030

    Hili ni bandiko la utabiri, Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030. Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi mengine ya muhimu tofauti na kupiga kura, lakini NIDA ndio habari ya mjini yaani ni kama maji lazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…