mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnamo tarehe 14 ya mwezi February kila mwaka! (Valentine day)

    👉🏾Enyi kizazi cha 2000! ,nafuraha kukujuza yafuatayo! Kadiri ya mapokeo ya Kanisa, tarehe 14 Februari inahusishwa na kumbukumbu ya Valentine, ambaye alikuwa kasisi aliyeishi katika karne ya tatu. Hadithi ya kasisi Valentine inasema kwamba alikamatwa na kuuliwa kwa sababu ya kuendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

    Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
  3. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  4. JamiiForums Tanzania Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwaka wa Uchaguzi Mkuu, viongozi wengi au watu maarufu hufariki?

    Mwaka 2015 wakati Taifa linajiandaa na Uchaguzi Mkuu, baadhi ya watu mashuhuri walipoteza uhai. Wachache wao ni kama Mchungaji Christopher Mtikila, Emanuel Makaidi, Deo Filikunjombe nk Nimeuliza haya, maana miezi michache ijayo Taifa litakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Rais, Wabunge na...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta coster 17 za kukodi kwa ajili ya shule mkataba mwaka mmoja

    Habari. Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani. Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1. Mkataba ni mwaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

    Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM. Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania WHO yamtangaza Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika baada ya kifo cha Dkt Faustine Ndugulile

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza uteuzi wa Dk Chikwe Ihekweazu kama Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likiweka wazi kuwa, Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu. Uteuzi huo unakuja kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa muujibu wa sheria ya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1 kinaeleza waajiriwa wa vyombo vya habari kusoma na sio mtu wakawaida haruhusiwi kutoa

    Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1, Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
  10. JamiiForums Tanzania Jambo nisiloweza kulisahau kamwe mwaka 2024

    JAMBO NISILOWEZA KULISAHAU KAMWE MWAKA 2024 Siku Moja katika kutekeleza majukumu yangu Kuna ndugu Fulani walikuja Kwa lengo la kuhifadhi mwili WA mpendwa wao majira ya saa Tano usiku Story ya kifo Cha marehem ni kwamba alirudi kutoka kazini akiendesha gari lake vzr tuu baadae majira ya saa...
  11. JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika

    Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje? Ndipo napata jibu kuwa "Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika" Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
  12. JamiiForums Tanzania Mauzo ya tiketi za filamu katika sikukuu ya Mwaka Mpya wa China yaweka rekodi mpya na kunyakua nafasi ya kwanza duniani

    Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria. Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka mpya unaanzia February

    Kwa ufupi mwaka wangu mpya umeanza rasimi tarehe moja ya February, ule mwezi wa kwanza ulikua ni mwezi wa majaribio. Leo nawapeni hizi codes ambazo utumiwa na mjambazi Ku survive mtaani Kanuni 10 za Majambazi za Kuishi Katika Vita vya Maisha Uaminifu ni Kila Kitu – Usimsaliti mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Airbus A220-300 imezalisha hasara ya zaidi ya TSh. Bilioni 127.3 kwa mwaka

    Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula amesema shirika la ndege nchini (ATCL) linakabiliwa na changamoto ambazo zinakwambisha kufikia malengo yake akiitaja changamoto kubwa ni matatizo ya usanifu wa ndege yetu ya Air Bus Airbus A220-300 ambayo imekuwa na hitilafu kwenye Injini zake. Sababu hii...
  15. JamiiForums Tanzania Kauli ya Simba ya ‘Tunajenga Timu’ lengo ni kuwapumbaza wasiojielewa

    Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+ Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke. Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu...
  16. JamiiForums Tanzania Tabora akiifunga Simba kwa heshima na tahadhima naomba ban ya mwaka

    Kwanza Tabora wachezaji muhimu hakuna kama kawaida yao. Referee ni yule yule Rose Mhando Hawana fitness ya kueleweka Rage yupo kwenye kamati kuu Hata wakibana vipi dk za fidaa ata zifike 150+ patawekwa tuta na watafungwa Ni hayo tuu mods naomba mnitimizie nilichoomba
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo La 2023, Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=gVEY5kDgETg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete...
  18. JamiiForums Tanzania Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Enduring Lies: Je, Tulidanganywa Kuhusu Mauaji ya Kimbari ya Mwaka 1994?

    Jana, katika pitapita zangu nikifuatilia yanayoendelea Goma, nikakutana na maoni yenye kutaja kitabu kiitwacho Enduring Lies. Nikavutiwa nacho na nikaamua kukitafuta, bahati nzuri nikakipata. Kulingana na waandishi wa kitabu hiki, kile tunachoambiwa kuhusu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 ni...
  20. JamiiForums Tanzania Mungu Tunakuomba Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025 Tanzania Uwe ni Uchaguzi Huru na wa Haki

    Mungu tenda miujiza yako kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka huu 2025 CCM ishindwe sababu wamejimilikisha ukuu wako. “kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. ” — Luka 1:37 (Biblia Takatifu) GOD BLESS TANGANYIKA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…