mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  2. JamiiForums Tanzania Billnas: Nililipa 700 milioni kama kodi ya magari yangu ya kutembelea mwaka jana tu

    Msanii bilnas amedai KUWA anamiliki gari la MILIONI mia SITA, IKIWA ni MOJA ya magari yake aliyo nayo HUKU akidai MWAKA JANA pekee kalipa Kodi ya magari yake MILIONI mia Saba. HUKU akilipia MILIONI KUMI na mbili HADI MILIONI ishirini KWENYE bima TU ya hayo magari. Kwishaaa Bro Alex on la...
  3. JamiiForums Tanzania VIDEO: Shule Ya Uongozi Ya Polepole Mwaka 2021.. Sikiliza Upate Kujua Jambo

    Sema Huyu MpoleMpole Kuna Kipindi Alikua Anaongea Nondo Sana. Japo Hazina Uthibitisho Wa Kimantiki, Hivyo Zinabaki Kua Ni Habari Fikirika Tu
  4. JamiiForums Tanzania KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

    Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details. Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa. Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020: Hayati Magufuli alichukua fomu ya kuwania Urais ya CCM; kusaka wadhamini na kuidhinishwa

    Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata wadhamini hao. Kwakuwa alikuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu ndani ya CCM kwa nafasi ya Urais...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu Kocha Mpya wa Yanga-Folz , hafikishi Christmas ya Mwaka huu 2025

    Huu uzi utunzwe. Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania. Na hana mafanikio yoyote kimpira. Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio. Hatoboi popote. Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana! Utopolo watamfukuza.
  7. JamiiForums Tanzania KWELI? Dunia imeanza kuzunguka haraka zaidi, sekunde moja kufutwa mwaka 2029

    Shalom shalom Wanasayansi wanasema Dunia yetu imeanza kuzunguka kwa kasi zaidi kuliko kawaida. Kwa kawaida, Dunia huchukua sekunde 86,400 kumaliza mzunguko mmoja (siku moja kamili). Lakini hivi sasa, kasi hiyo imeongezeka kidogo sana, kiasi kwamba siku moja inaweza kuwa sekunde chache fupi...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu kubwa na inafanya vyema kwanini kila mwaka inaanzia Shule ya Msingi CAFCL na Simba isiyofanya vyema inaanzia Chuo Kikuu CAFCL?

    Kazi yangu kubwa leo ni kusoma tu Comments zenu ili nicheke na nisikitike.
  11. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Elimu na mafunzo imeongezeka kutoka TZS4.72Trilioni hadi TZS6.16Trilioni mwaka 2024|25. Karibu ongezeko la TZS 2 Trilioni

    Rais Samia ameongeza bajeti ya elimu na mafunzo kutoka TZS4.72Trilioni mwaka 2020/21 hadi TZS6.16Trilioni mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la TZS1.45Trilioni. Bajeti ya Elimu na Mafunzo ndio bajeti kubwa kuliko zote ikifuatiwa na bajeti ya Wizara ya Afya na huku Nishati na Kilimo zikifuatia...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lini Wizara ya Kilimo itanunua Mahindi Mwaka wa 2025/26? NFRA hawajibu maswali yetu

    Nianze kwa kupongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kweli mnastahili pongezi kubwa. Mimi nina ombi moja, ninaomba nisaidieni kuuliza swali kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja na Wizara yake kuwa ni lini Serikali itakuwa na mpango wa kununua Mahindi kwa huu Mwaka wa 25/26...
  13. JamiiForums Tanzania RECORD MAJAJI WANAWAKE: Kati ya majaji 83 aliowateua Rais Samia tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% au 35 ni wanawake ilikufikia 50|50

    Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%. Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
  14. JamiiForums Tanzania Ni aibu ya Mwaka Kwa Amos Makalla

    Nyie Mungu ni mwema sana. Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema. Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika. Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimemaliza Diploma kwenye Taasisi ya watu wazima(IAE) mwaka jana, lakini hadi leo AVN hajitoka na hakuna maelezo

    Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka. Mara Subirini tunashughulikia hakuna majibu yoyote na Watu tunahitaji kwenda kuendelea na elimu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CCM yamenikumbusha kisa cha Rais Ben Ali wa Tunisia mwezi January, 2011

    Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais. Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi...
  17. JamiiForums Tanzania Andika mambo yatakayotokea kuanzia sasa 2025 hadi mwaka 2030

    Andika utabiri wako kipi hasa kinaenda kutokea kuanzia Sasa hadi mwaka 2030.
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe Ile Trump Kuambiwa Alishirikiana Na Urusi Kuingilia Uchaguzi Wa Mwaka 2016 Wa Marekani Ilikuwa Ni "Hoax" Iliyotengenezwa Na Obama

    Tulsi Gabbard's Revelations Confirm a Deep State Conspiracy Against Trump 🚨BREAKING NEWS FROM DNI Tulsi Gabbard: "Americans will finally learn the truth about how in 2016, intelligence was politicized and weaponized by the most powerful people in the Obama Administration to lay the groundwork...
  19. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26

    Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26 Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa 2050 haina makadirio ya uwiano wa kodi itakayokusanywa kwa mwaka 2050

    Naendelea kusoma Dira ya Taifa ya 2050 ambayo inazinduliwa leo. Jambo moja la msingi ni wapi tunapata hela za kutekeleza yaliyomo kwenye dira. Dira imeelezea masuala ya kodi na moja ya matarajio ni kuwa na uchumi jumuishi utakaoongeza uwiano wa makusanyo ya kodi na pato ya taifa. Uwiano wa kodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…