Nyie Mungu ni mwema sana.
Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema.
Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika.
Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana...