mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tukielekea kufunga mwaka, ni matukio gani ambayo yametokea mwaka 2025 hayawezi kufutika kwenye kumbukumbu zako?

    Wakuu tupo Disemba, zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga mwaka 2025 na kuuanza mwaka mpya 2026. Ni mambo gani uliyoyashuhudia au umeyapitia na pengine mazuri au mabaya ambayo huwezi kuyasahau. Maoni yenu kwenye comment yataamua huu mwaka ulikuwa baraka au wa laana. Haya twende kazi, nasoma kumment
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

    Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu. Nahitaji pesa, pesa, pesa. NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo ya Shahada ya Uzamili kwa Mwaka 2026/2027 Nchini Sweden

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute – SI). Ufadhili huu unatolewa katika zaidi ya programu 400 za masomo katika nyanja za utawala...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je, malengo uliyoweka toka mwaka huu uanze umeyatimiza?

    Kila mwanzo wa mwaka kila mtu anaweka malengo ya kutimiza ndani ya mwaka husika je kwa mwaka 2025 yapi umeyatimiza?
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

    Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂 Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania 🌾 USIMALIZE MWAKA BILA KUFANYA HIVI

    Mwezi wa 12 ni zaidi ya sherehe na mapumziko. Kwa mkulima na mfugaji mwenye maono, huu ni mwezi wa kufanya maandalizi muhimu kabla ya kufunga mwaka na kuweka msingi imara wa mafanikio ya msimu unaofuata. Kabla hujaumaliza mwaka huu, hakikisha umefanya haya: 🔹 Tathmini ya mwaka mzima Angalia...
  7. JamiiForums Tanzania Kuelekea mwisho wa mwaka 2025: Wapi umefanikiwa, umefeli wapi na umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?

    Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani? Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
  8. JamiiForums Tanzania GDP ya China mwaka 1970 ndio GDP ya tanzania 2025

    Rasilimali zijawahi kusaidia watu nchi hii na kumbuka china mwaka 1960 ilikuwa GDP ambayo tanzania imefikia kipindi cha 2020. ======================== Hapa ni kulinganisha Pato la Taifa (GDP) la Tanzania na China kwa kipindi cha miaka mingi. Pato la Taifa la China (1960-2025): 1. 1960: $59.72...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

    Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual, basi hivi ndivyo unaweza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ajira ya kazi ya kibarua kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja malipo 12000 kwa siku

    Habari JF Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika...
  11. JamiiForums Tanzania Japo mwaka 2025 unaisha usikate tamaa

    Habari wakuu.. Awali ya yote nimshukuru Mungu Kwa wakati huu aliotujalia na vilevile nitoe pole kwetu sote Watanganyika kwa madhila yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kila mmoja ameathirika kwa namna moja ama nyingine lakini zaidi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, Mungu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi watambue Gen Z sio vijana wa Mwaka 47, waache ‘siasa za kizamani’

    Tanzania ipo katika zama ambapo Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni kiini cha mijadala ya Kisiasa, uwajibikaji na matumizi ya haki za kiraia. Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinaonesha kuna ongezeko kubwa la watumiaji intaneti nchini, kufikia robo ya kwanza ya...
  13. JamiiForums Tanzania 2025 Abu Dhabi GP: F1 Race ya Mwisho kwa huu mwaka itakayoamua nani awe World Driver’s Champion kati ya Norris, Verstappen au Piastri!

    Wakuu, Formula One Grand Prix kwa mwaka 2025 ndio imefika tamati weekend hii, kwa jumla ya GP 24 kuanzia March pale Australian GP na ya mwisho hii Abu Dhabi GP, uwanja wa Yas Marina. Hadi sasa msimamo wa michuano kwa upande wa kombe la madereva (Driver’s World Championship) unaongozwa na Lando...
  14. JamiiForums Tanzania Moja ya habari ilionisikitisha sana mwaka huu ni hii

    Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu. Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji...
  15. JamiiForums Tanzania Raisi ajaye tanzania: Sheria ni siasa zinafanyika mwaka wa uchaguzi tu, baada ya uchaguzi watu waonekane wanafanya kazi nothing more or less than that

    Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan anaielewa siasa ipigwe marufuku, kipindi cha magu alivooa amri ya siasa kipindi cha uchaguzi nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yalitokea pia Zanzibar mwaka 2001. Hakuna jipya! Je, tuamini ni kisasi cha wazanzibar dhidi ya watanganyika?

    Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida, Sawa mauaji ni mauaji lakini huwezi halalisha mauaji kwa mauaji mengine na kutaka tuone kuwa kuuana ni jambo la kawaida. Napata...
  17. JamiiForums Tanzania 2001 TEC ilikuwepo, je, walitoa matamko na press za mara kwa mara kama ilivyo mwaka huu?

    Nauliza tu kwa amani. TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua. 2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
  18. JamiiForums Tanzania Wapelestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja

    Wapalestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja. Viongozi wajinga wanauwa taifa letu. ni zaidi ya vita vya israel na Palestina
  19. JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea Watanganyika linatimia kwa kasi sana mwaka huu

    Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu. Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi. CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
  20. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: SPIKA ambaye hakukumbukwa na Bunge la kwanza la Mwaka 2025 wakakumbukwa waandamanaji! MLIO hai na mpo bungeni, mu Mavumbi TU

    Kweli Job ndungai SPIKA mtepe mtepe ndiye aliyesaaulika mara hii kwenye Bunge la 2025 hata wabunge mshindwe KUSIMAMIA hata dakika Moja kumwombea Badala yake mliombea waandamanaji walio UAWA? NAWAMBIA nyinyi wabunge MLIO msaau haraka hivyo hata nyinyi mu mtepe mtepe mnaweza saaaulika haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…