mvutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Historia Ya Watakatifu ( Kama Inavyotambuliwa Na Kanisa Takatifu Katoliki )

    Kanisa Katoliki ( Roman Catholic ) ndio kanisa la kale zaidi huku likishika historia nzima ya ukristo na likirekodi matukio mbalimbali tangu kuanza kwa ukristo hadi sasa... Katika ku rekodi matukio na mambo muhimu ya ukristo, kanisa katoliki kuanzia lilipo anzishwa limeweza ku hakiki mambo...
  2. R

    Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  3. Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  4. F

    Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

    Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana. Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze. Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro. Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025...
  5. Derby ya kariakoo serikali imewaachia mamlaka za mpira, huku ikifuatilia Kwa ukaribu mvutano uliopo

    Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga. Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
  6. R

    Kwangu issue ya mvutano wa uchaguzi kati ya Chadema na CCM ni simple

    CCM, dunia nzima inajua kuwa tume ya uchaguzi ya sasa haiwezi kuwa fair by all imaginations! Dunia nzima inajua hilo! From the innermost chambers of your hearts, mnajua kuwa tume "yenu" haina fairness yoyote, haiwezi kutenda haki. sasa mnaogopa nini kuifanyia marekebisho pendekezwa? Jibu ni...
  7. Mvutano wa Tanzania na Malawi umemalizwa, makubaliano yasainiwa Dodoma

    Tanzania na Malawi zimeamua kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kibiashara baada ya kumaliza mvutano wa kibiashara uliodumu kwa siku kadhaa, kufuatia marufuku ya uingizaji wa bidhaa zilizowekwa na Malawi Machi 13, 2025. Hatua hiyo imefikiwa kupitia mkutano wa pamoja wa mawaziri uliofanyika...
  8. R

    Huu mvutano wa TEC, Bakwata na mamlaka, ndio utakaovunja ule mwiko tuliouzoea

    Hellow! Yanayoendelea SI ya bahati mbaya, ni matokeo ya ushindi Katika ule ulimwengu wa Roho, kilichobaki ni udhihirisho tu Katika ulimwengu wa mwili. Tulipoonyeshwa juu ya ajaye, tuliangalia utaratibu uliopo wa kupokkezana Bakwata na catolicano kutoa kiongozi Mkuu, tukaona hili ni ngumu...
  9. S

    Wanasayansi walikwama kuitambua hii nguvu ni ya nani waakamua kuibatiza nguvu ya mvutano (gravitational) lakini si kweli

    Kwa elimu yangu ya darasa la saba nathibitisha kwamba uwezo wa kisayansi wa kuichunguza ile nguvu ya dunia ulifika mwisho. Pengine mawazo yao yalipingana kwa kitambo; Utafti wao unaibua maswali mengi kuhusu nguvu ya mvutano (gravitational) Utafti wangu unaniambia popote ukiona msomi kaweka...
  10. Mvutano waongezeka baada ya mwanaharakati wa Molo kuuawa

    Wakazi wenye hasira walivamia chumba cha kuhifadhi maiti na kuchukua mwili wa mwanaharakati Richard Otieno, aliyeuawa Jumamosi usiku, kabla ya kuvamia Kituo cha Polisi cha Elburgon. Otieno, anayejulikana kama "Rais wa Molo," alishambuliwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake, takriban mita...
  11. Guéhi aibua gumzo EPL baada ya kuandika 'I Love Jesus' kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde/LGBTQ+

    Beki wa kati wa Crystal Palace na England, Marc Guéhi huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) baada ya kuandika “I LOVE JESUS” kwenye kitambaa chake cha unahodha wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Newcastle mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1...
  12. DOKEZO Responded UTPC katika mvutano mkali na waandishi wa habari K'njaro

    Muungano wa vilabu vya waandishi wa Habari nchini(UTPC),wameingia kwenye mvutano mkali la waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro baada ya kuzuia mkutano wao usifanyike. Mkutano huo uliokuwa umepangwa kufanyika kesho ,umepigwa pini na UTPC kwa madai ya kuwepo kwa hisia Kali kutoka kwa waandishi...
  13. LGE2024 Geita: Utata majina ya wapiga kura, mkurugenzi atoa ufafanuzi

    Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
  14. Mivutano na migawanyiko ndani ya Chadema, viongozi watofautiana kuhusu maandamano yao yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia.. Hata namna maandamano hayo...
  15. Mvutano wa NHIF na watoa huduma za afya ni kaburi la afya za Watanzania wengi

    Hizi heka heka za mivutano baina ya serikali kupitia NHIF na watoa huduma za afya wa vituo binafsi sio jambo lenye kheri, mwisho wake utakuwa mbaya sana. Haijarishi nani ataibuka mshindi lakini mwisho wa siku afya za watanzania zinakwenda kupuputika vibaya. Ni kweli NHIF inazilipa fedha nyingi...
  16. L

    Maadhimisho ya Diplomasia ya Ping-Pong ni ukumbusho kwa Marekani kuchukua hatua kuondoa mvutano katika uhusiano na China

    Ubalozi wa China nchini Marekani umefanya hafla ya kumbukumbu ya miaka 52 ya Diplomasia ya Ping-Pong, ambapo Balozi wa China nchini Marekani Xie Feng, alitoa wito kwa pande hizo mbili kutumia busara na msukumo wa tukio hilo la miongo kadhaa. Wataalamu wa China wanaamini kuwa, tukio hilo sio tu...
  17. L

    Kuongezeka kwa mvutano kati ya India na Canada kunaonyesha unafiki wa Marekani wa wenzi unaojali faida

    Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India kuhusika na mauaji hayo, na kumfukuza nchini humo balozi wa India. Katika kujibu hatua hiyo, India...
  18. Video: Vuta Nikuvute ya Halima Mdee, Spika Tulia na Patrobas Katambi kuhusu Mkataba wa DP World na Serikali

  19. Huu mvutano wa wanaume na wanawake tuumalize

    Aaa jamani hii nishida nyingine tuitizame katika pita pita zangu huko na huko hili nalo tulitizame WANAWAKE: Jamani hawa viumbe(wanaume) hawatulii kabisa wanajielewa wenyewe WANAUME: Mademu wanazungua majukumu ya baba zao wanatupa sisi hata umpende vipi hawapendeki Kuna thread moja bidada...
  20. Zitto Kabwe: Kuna Mvutano Mkubwa kati ya Wakulima na wafugaji Mkoani Lindi na Tunduru

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mvutano mkubwa baina ya wakulima na wafugaji mkoani Lindi na Wilaya ya Tunduru kwa kile alichobainisha kuwa ni kukosekana kwa mipango ya matumizi sahihi ya ardhi kama ilivyokusudiwa. Kupitia chapisho lake aliloweka kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…