Mwanaharakati na Mwanasiasa Cyprian Majura Musiba, ametangaza rasmi kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia Januari Mosi, 2026, akisema amefanya uamuzi huo kwa hiari yake bila kushawishiwa na mtu yeyote.
Katika barua ambayo imenaswa na Royal TV ikionesha uamuzi huo tangu mapema Januari...