muonekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake

    Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake[emoji817] Kama uzuri wa mwanamke ungekuwa maumbile yake ya ndani basi wanaume wangeridhika na mwanamke mmoja kwa sababu moja tu :- [emoji830] mwanaume hafiki kileleni kwa ubora wa maumbile ila kwa hisia zake. Hapo ndipo maana ya upendo wa mwanaume hutoweka...
  2. U

    Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

    Ni eneo la Mitanga Hakika ni kivutio tosha cha Utalii nchini Hongera Mama Samia Kazi Iendelee
  3. Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

    Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022. Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo...
  4. NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

    Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite. Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
  5. Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  6. Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie amekuja na muonekano mpya

    Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie hivi karibuni amekuja na muonekano mpya wa mavazi Mwandada huyu amekuwa kwenye mahusiano na Grand P kwa muda mrefu jambo lililoibua hisia nzito kwa mashabiki wengi ulimwenguni na hata kupelekea mahusiano yao kuwa maarufu sana Hivi karibuni wapenzi hawa...
  7. Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake

    Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake Wanaume wanaonyoa vipara na kumaliza nywele kichwani huwa wana sifa ya kutokuhonga, na wanapenda sana mambo ya chini, mwanamke akimpatia nafasi hatojutia kwa shoo atakayoipata, ila hatapewa pesa. Wanaume wanaonyoa panki huwa na sifa za...
  8. Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a

    Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote. Simu hii mpya ya gharama ya wastani (mid-ranger), itakuwa na design mpya, kamera zitakuwa katika style ya mstari mmoja (style ya...
  9. Muonekano mpya wa Oneplus Nord N20 wavuja

    Muonekano mpya wa OnePlus Nord N20 5G umevuja, muonekano mpya umebadilika sana na imekuwa katika muundo wa flat-edges kama iPhone 12 na iPhone 13. Simu hii ya Mid-range (simu ya daraja la Kati/Wastani) itakuwa na muonekano mpya katika sehemu ya kamera, itakuwa na kamera tatu (na sio nne kama...
  10. S

    Benki ya CRDB boresheni muonekano wa Mobile App yenu

    Kwakweli naomba niseme tu SIMBANKIG Mobile Application ya CRDB,imekosa mvuto kulinganisha na ya washindani wao wakubwa wa kibiashara ingawa mtu unapata huduma unayohitaji kupitia hiyo App. Kwa mtazamo wangu, tatizo ninaloliona linatokana na rangi wanazotumia CRDB ambazo ni nyeupe na kijani...
  11. PICHA Ya Muonekano wa Soko jipya la Kariakoo Huu Hapa

    Picha za jengo jipya la Kariakoo zimeachiwa mapema leo, jengo hilo jipya linakusudiwa kugarimu shs za kitanzania 26.2 bilioni.
  12. Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  13. Muonekano mpya wa Mfungwa Ole Sabaya huu hapa

    Ndio kama mnavyoona Chanzo : Mwananchi Nakala kwa Gerald .M Magembe
  14. Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

  15. Muonekano wa Ole Sabaya 2051 baada ya kutoka jela utakuwa hivi.

  16. Muonekano wa sehemu ya jiji la Dar es Salaam baada ya machinga kupangwa katika maeneo mapya

  17. Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

    Kuna mtakao kumbuka album ya Borderline miaka ya 80. Huyu ndiye Malkia wa Pop music.
  18. U

    Mavazi ya juu ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi

    Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa mahojiano ya kazi. Unahitaji kuonyesha mwajiri kwamba unaweza kuvaa kwa hafla rasmi. Kwa...
  19. Namna yakubadilisha muonekano wako(To look in really men in LEATHER Jacket)

    Habar za wakat uu mim ni mshaur wa maswala mazima ya fashion and life style leo napenda kuongelea leather jacket iz ni jacket ambazo kwa mwanaume yoyote kwenye collection yanguo zako nakushaur uwe hata na moja leather jacket kwa maeneo ya Dar kwa sabu mara nying huwa nijoto umaweza ukawa unavaa...
  20. Ni zipi tovuti za america na ulaya zenye muonekano mzuri, na language ipi imetumika?

    Habari zenu wakuu wa mambo! Ninahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara, Naomba mnisaidie ni tovuti zipi za Ulaya na America zenye muonekano mzuri lakini hata Languages zilizotumiwa katika uundwaji wa tovuti hizo. NATANGULIZA SHUKRANI.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…