mungu

  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

    Wale wasioamini kwamba Mungu yupo, someni kwa makini sababu hizi 10 zinazothibitisha uwepo wa Mungu. Asiyeelewa lugha iliyotumika atumie google translator, itampa tafsiri ya Kiswahili: 1. Orderly Laws of Nature Science reveals that the universe operates under unchanging natural laws, such as...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Faida 10 za kumshukuru Mungu

    Tarehe 31 Desemba ni siku ambayo watu wengi hukusanyika makanisani kumshukuru Mungu. Zifuatazo ni faida 10 za kumshukuru Mungu: 1. Huimarisha Imani: Kumshukuru Mungu hutufundisha kutambua uaminifu Wake na kuimarisha imani yetu, tukijua kwamba anafanya kazi kwa manufaa yetu. 2. Hutupa Amani ya...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SALINI HIZI SIKU 2 N ZAIDI YA MWAKA ANGALIEN KIPINDI CHA AJALI CLOUDS TV..MALIZAKO GARI ZILIZOFYEKWA MUNGU TUSAIDIE

    Shalom Wana WA Mungu alie hai Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu tu clouds tv nimesema Asante Mungu kwa uhai wako mm n nani Niko hai mpaka sasa Siohaba kukuomba...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ukifanya watu hawatasita kukuua. Bila kujali Sheria zipo au hazipo, Mungu yupo au hayupo

    NASISITIZA, MAMBO AMBAYO UKIFANYA WATU HAWATASITA KUKUUA. BILA KUJALI SHERIA ZIPO AU HAZIPO, MUNGU YUPO AU HAYUPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Kuua ni ukatili, kuua sio HAKI. Oooh! Kuua ni Kwa nchi zisizoendelea! Ndugu zangu usije ukajidanganya Wala kudanganywa. Wala usije...
  5. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

    Mzuka Wana jamvi. Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema. Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako.

    Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
  7. N

    JamiiForums Tanzania Krismasi ni mapokeo ya wanadamu wala sio maagizo ya Mungu

    SOMO: SIKUKUU YA CHRISTMASS NI MAPOKEO YA WANADAMU WALA SIO MAAGIZO YA MUNGU Wakolosai 2:8 Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo. Katika maisha...
  8. P

    JamiiForums Tanzania leo ni happy barth day ya mungu wa wakiristo

    kamatunavyo jua wakiristo wanadai yesu ni mungu naleo inasemekana ndio siku aliozaliwa yesu naleo wakiristo wanasherehekea barth day ya yesu mimi sinamengi yakusema zaidi yakuwatakia herí ya siku yakuzaliwa kwa mungu wao yesu kiristo mwana wa mama Maria (bikra) sikukuu njema wadau😁😁
  9. Paspii0

    JamiiForums Tanzania "Yesu Kristo na Ufalme wa Mungu: Jinsi Mafundisho Yake Yanavyobadilisha Dunia"

    👉🏾Mafundisho ya Yesu Kristo yalikuwa ufunuo wa kimungu uliojaa upendo, msamaha, na haki, akionyesha muunganiko wa kibinadamu na kimungu. Alibadili mtindo wa uongozi wa wakati wake na kutoa mwanga wa kiroho katika ulimwengu uliojaa dhambi na udhalimu. 👉🏾Kwa kufundisha upendo usio na masharti na...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuabudie miungu ya wengine Mungu wetu yupi?

    Allah ni muungu wa waarabu Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao. Buddha ni muungu wa wahindu, Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu

    Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu Utumishi wa Mungu ni Nini Utumishi ni hali ya kutii na kuitumikia mamlaka au mtu mwenye mamlaka fulani na ambaye unamwamini na kumtegemea. Katika muktadha huu tunakuta kuna watumishi wa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utumishi...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Yesu ni mwana wa Maria au Mungu?

    Japo tunaambwa Yesu alizaliwa kwa miujiza, haitwi mwana wa miujiza bali mwana wa Mungu. Waarabu wanamwita mwana wa Mariam. Ukiangalia geneology au mti wa ukoo wake, Yesu ni mwana wa Joseph. Hii kidoto inachanganya. Je, Yesu ni mwana wa Maria au mwana wa Mungu? Je, utata huu unaweza kutafsirika...
  14. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Mungu anayekataa zinaa anawabaliki watoto wa nje ya ndoa.

    Usijipe mamlaka ya kubeba vinyongo, badilika.
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, mungu ni shetani na shetani ni mungu?

    Ukitafakari bila woga wala uzwazwa dhana mbili yaani mungu na shetani, unagundua yafuatayo: Mosi, wote wawili waliumbwa au kufinyangwa na binadamu. Pili, shetani ana nguvu sana kuliko mungu. Tatu, shetani ana akili sana kuliko mungu. Kwa sababu, pamoja na kupigwa vita na kila mmoja, hana...
  16. Brojust

    JamiiForums Tanzania Hii controversial ya Mwanzo wa ulimwengu na Dunia, Je inawezekana ndio siri kuu iliyofichwa na Mungu, Ukitoa Kifo ?

    Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc. Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu. "IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE EARTH, THE EARTH WAS WITHOUT FORM, AND VOID, AND DARKNESS WAS ON THE FACE OF THE DEEP, AND THE SPIRIT OF...
  17. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Why ccm is addicted with micro projects

    Ni kwanini ccm ina uraibu wa kufanya vimirad vidogo karne hii ya 21. Vijumba vya hivi vidogo ni vya miaka ya 60. Ukimtoa magufuli , ccm bado wanaishi mwaka 1960. Nawaza msinijie juu!!Nikiangalia dunia ilipo na miradi yetu haviendani
  18. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Mbowe anasema akiona chama chake kinazama anaingia mzigoni je ikitokea mungu alimchukua Nani anaingia mzigoni! Kumbe chama NI Mali yake.

    Kutokana na maneno aliyoyasema mbowe akiwa nawaandishi wa habari nyumbani kwake Jana tarehe 18.12.2024 imejidhihirisha kuwa CHADEMA NI Mali ya mbowe maana kwa kinywa chake na nukuu" CHAMA CHANGU NIKIONA KINZAMA SHIMONI NITAINGIA MZIGONI " Kwa maneno hayo inaonesha wazi kabisa chama hicho NI Mali...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu baada ya kukataliwa na Wanadamu zaidi ya mara mbili akaamua kwenda Mbali na uso wa Dunia

    MUNGU BAADA YA KUKATALIWA NA WANADAMU ZAIDI YA MARA MBILI AKAAMUA KWENDA MBALI NA USO WA DUNIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maskini! Ni simulizi ya kuhuzunisha Sana. Hakuna kitu kibaya kama KUKATALIWA, hakuna kitu kibaya kama kutokupendwa. Mungu akaumba dunia. Kisha akaona acha amuumbe...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ni Rahisi sana kuhimili mashambulizi ya Shetani kuliko kutandikwa na Mungu

    Salaam, Shalom!! Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa. Ukipatwa na LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi waliokulea, huwezi pata msaada kwingine kokote, hayupo wa kukuombea...
Back
Top Bottom