mungu

  1. Sawa Mungu akatuchoma moto wa Milele. Je ninyi watakatifu mtakao Baki mtakuwa na furaha Gani wapendwa wenu wakiwa wanachomwa moto wa Milele??

    Mods Uzi huu uachwe ujitegemee tafadhari.🫷 Awali ya yote Mimi mpango wa kwenda mbinguni ni kama haupo maana kila nikipiga tathimini Bado najiona Sina sifa hizo Kwanza Zaka sitoi,sadaka nishakataa kuipeleka kanisani. Ukija namna ya kuishi napo Bado na pwaya maana uko zako unawaza kuchuma...
  2. 4

    Mungu wangu kanionesha mtu muhimu akiwa katika umauti.

    Wakuu kwema rejea habari hapo juu, ndivyo ilivyo kuna code amenipa Mungu siwezi zitoa hapa maana nikizitoa wachungaji na manabii uchwara watazichukua na kunena watakayo. Nimeoneshwa mtu ajiitae mkubwa yupo katika mauti nikajaribu msadia zikatoka farasi kumi wamebeba watu 10 wakitaka...
  3. O

    Siri inayofichwa kwenye "Yoni Detox" na miungu ya Kike

    CC: Mshana Jr TUFUNDISHE ZAIDI Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia. 1. Mtego wa Kiroho...
  4. Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu

    1) Kulelewa na wazazi wakristo sio kuwa Mkristo. Kuwa Mkristo ni kukutana na Kristo kibinafsi. Ni kama ulikuwa unasikia story za mjomba kwa miaka, hatimaye akaja nyumbani. 2) Nilipoteza imani nikiwa form 3, tena kwasababu ya kusoma posts za humu JF! Ndomana mzungu alisema: Little knowledge is...
  5. R

    Mungu siyo mmoja, kuna Mungu wengi. Why?

    Mungu wa CCM na Mungu wa Mwenyekiti wa CCM, siyo sawa na Mungu wa CHADEMA na Lissu. Hawa ni Mungu tofauti. Mungu wa Mafwele, Wambura na Mkunda, Mulilo siyo sawa na Mungu wa wengine. Na inawezekana Mungu wa Waislamu siyo sawa na Mungu wa Wakristo
  6. J

    Ni kwa vipi Daudi alivyoupendeza moyo wa Mungu

    Ni kwa vipi Daudi alivyoupendeza moyo wa Mungu Daudi ni nani Hebu tusome katika Matendo 13:21 “Hatimaye wakaomba kupewa mfalme; Mungu akawapa Sauli mwana wa Kishi, mtu wa kabila ya Benyamini, kwa muda wa miaka arobaini. 22 Na alipokwisha kumwondoa huyo, akamwinua Daudi awe mfalme wao ambaye...
  7. Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

    KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kukataliwa na Mungu wako. Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi. Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha. Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu. 2. Maisha...
  8. M

    Wayahudi ndio watu wanaoongoza kwa ukaidi hapa duniani licha ya kuwa Mungu alishawabainishia hoja zilizo wazi kabisa. Walimdai Musa awaoneshe Mungu

    Mayahudi ni moja ya jamii ya watu waliofadhiliwa sana na Mungu huko zamani kwasababu walipelekewa mitume mingi sana ila wengi wao waliwakanusha na hata kufikia kuwaua. Wakati Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) alipohamia katika mji wa Madinah kutoka makkah alikuta jamii kubwa sana ya...
  9. Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

    Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso. Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele? Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake? Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii...
  10. R

    Chaula tunakuombea heri za Mwenyezi Mungu huko uliko kama bado uko hai

    Kijana mdogo, kuchoma picha ya yeye kuchora unatoa uhai wake halafu unavaa ushungi eti unatimiza Matakwa ya dini!
  11. Ma dk Mungu anawaoana kwa kweli mnajua kutunyooshaa...

    Jan mwanzon Nilitoka.mkoa nilikuwa nakimbizana na kakazi Flani Toka Sept Nilipofika. Home nikahondomola.na shemeji yenu kama siku 5 mfululizo Ya sita na saba nk.nkaona kila.nikiingia.inalala Sijawahi nitokea hivi nkakimbilia tmj Kufika.nkamweleza dk.we akauliza.maswaoili kadhaa. Mwisho...
  12. R

    Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
  13. Watanzania wengi sasa wamefunguka akili baada ya yale matukio. Nachoona sasa ni Mipango ya Mungu

    Baada ya October 29 kwa kweli watu hawana tena mzuka na mpira. Nipo kwenye group lina watu 237 si jana, juzi wala leo watu hawajapost habari za mpira. Ni muda sasa hizi teams zinacheza hakuna mvuto wala heka heka. Hii ni ishara kuwa watanzania sasa wamekua na kukataa kutumika. Wamegundua kuwa...
  14. L

    Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa...
  15. T

    Mungu tunaomba usiruhusu Mauti kwa Dr Nchimbi

    Mungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu. Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake. Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala...
  16. M

    Tanzania sijui tulimkosea nini Mungu, kutupa viongozi wenye roho mbaya isiyothamini uhai wa watu?

    Nchi yetu kuna kipindi huwa inapita kama kwenye tanuru la moto, yaani ni kama mfano wa Jehanamu la mateso ya watu Uchaguzi wa 2025, sitausahau mpaka nitakapoingia kaburini na sitawahi kutamka jema lolote juu yao wauwaji hawa Nchi yetu imejipata katika uongozi usiothamin hata uhai wa watu 29...
  17. Maajabu ya Mungu yalivo muumbua daktari

    Rafiki yangu yani best man, tulikua mkoa flani, hivi kusini MWA bongo, JAMAA qlikuwaga na DEMU wake HUKO KANDA ya ZIWA, akanitonya kuwa DEMU wake kamaliza CHUO HIVO kaona amlete HAPO mkoa tulipo, akae NAE, mana ashatoa mahali kwao na anafahamika, basi demu kweli kaja wakaanza maisha jamaa yuko...
  18. Kuitwa hili neno sio tusi. Dini zetu zote tupendani tunamuabudu Mungu mmoja tofauti ni njia za kuabudu

    Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua. Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na yeye mwenyewe ni mkristo. Akaniambia hata Iraq kwenyewe kuna wakristo hata Tariq Azizi aliyekuwa waziri...
  19. Kesho Mungu saidia niamke asubuhi sana

    Nataka nikatafute suluhu hivi kwanin nakua na tamaa za kijinga sana bora nikajiloge niwe zuuzzuuu nisiwe nataman mbuny
  20. Ila wakristo bana, mnaanzaje kusema Yesu ni Mungu hali ya kuwa yeye mwenyewe anakataa

    Maandiko ambayo Yesu anaonyesha kuwa si Mungu 1. Yesu anamwita Mungu wake 📖 Yohana 20:17 “Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba wenu, Mungu wangu na Mungu wenu.” 👉 Kama Yesu ana Mungu wake, basi anajitofautisha na Mungu. 2. Yesu anasema Baba ni mkuu kuliko yeye 📖 Yohana 14:28 “Kwa maana Baba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…