mungu

  1. Linapokuja suala la IMANI, Waafrika wanampigania Mungu. Likija suala la Haki zao za msingi, wanamwachia Mungu awapiganie!

    Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika. Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania...
  2. G

    Namtegemea Mungu kwa asilimia kadhaa, nawashangaa watu wanaomtegemea kwa asilimia zote, Ni kwamba wamesahau kazi ya akili na umuhimu wa kufanya kazi ?

    Huwa nashangaa sana nikiona collective thoughts za waafrika hasa mitandao ya kijamii, Utaona mtu kaandika "Mwaka huu utapata milioni 100, andika amen" basi utakuta mpaka komenti elfu 1 watu wanaamini watajaziwa pesa kwenye mito wanayolalia waamke wazikute kama mapera. Wengine hata...
  3. Kwanini Mungu alimuumba Yesu kiharamu kama kweli alifanya hivyo badala ya kumshusha kama malaika?

    Ukiangalia na kuchunguza kisa kizima cha kuzaliwa Yesu, unamshangaa yeye, mama yake, baba yake hata Mungu wake. Eti bikra alipata mimba kwa roho mtakatifu! Hii maana yake nini wakati tunaambiwa roho ya Mungu ilimfunika Maria. Kama kweli ilimfunika, nani anajua kilichofanyika wakati amefunikwa...
  4. Swali: Je, Kuna uhusiano wa maendeleo na Dini?

    1. Wamarekani asilimia 63 ni wakristo. 2. China asilimia kubwa ni Buddhists na Taoism. 3. Japan asilimia 70 ni Shintoism. 4. Israel asilimia 70 na raidi ni Jewish. 5. Saudia asilimia 90 na zaidi ni waislamu. 6. India zaidi ya asilimia 70 ni wahindu. Qatar ni nchi ya kiislamu Ina maendeleo...
  5. N

    NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  6. Siku nikifika kanisani kwa Mwamposa kama pale haabudiwi Mungu wa kweli huduma yake nitaifunga na atachakaa.

    Hello! Katika kazi ya utumishi wa Mungu kuna watumishi wa aina 3, watumishi wa kweli (Watumishi wa Mungu aliye hai), watumishi fake na watumishi wa uongo. Kila kundi lina makundi mengine madogo madogo lakini nitaeleza kwa ufupi tu. 1. Watumishi wa kweli Hawa ni watu wa Mungu ndani ya kanisa...
  7. M

    Ni Nani aliyeiloga Tanzania? Kwani tumemkosea nini Mungu?

    Ndugu zangu Watanzania, Kila mmoja wetu atumie muda kujiuliza hili swali, Kwan Watanzania tumemkosea nn Mungu? Au tuna laana? Mbona hakuna tunachokiweza? Tunashindwa kuendesha hata mradi mmoja tu wa SGR mapema hivi? Tumeshaanza blah blah Mara sijui engine za diesel. Iko wapi nafasi ya usalama...
  8. Kwanini "Mungu" aliumba vitu vyote kwa kusema viwe na vikawa isipokuwa binadamu toka kwenye udongo kama ni kweli?

    Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema: Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo. Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa...
  9. Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

    Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake. Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
  10. R

    Wahubiri mnaohubiri kuhusu kumtolea Mungu nijibuni swali hili

    Kama kweli mnasema waumini wenu wanapotoa fedha zao wanamtolea Mungu, mbona asilimia kubwa ya fedha hizo mnabaki nazo wenyewe na kuwafanya kuwa mabilionea ilhali hakuna muumini yeyote anayekuwa bilionea kwa kutoa pesa zake? Au huyo Mungu ndio ninyi wenyewe?
  11. Mungu hajagawanyika katika nafsi tatu, Mungu ni nguvu Mungu ni energy

    Mungu hajagawanyika katika nafsi tatu. Mungu ni nguvu, Mungu ni energy. Mungu amesambaa katika kila kona unayoijua. Roho zilizo ndani ya nafsi na miili yetu ni sehemu tu ya Mungu. Ndiyo maana hata maandiko yamekiri kuwa sisi ni Mungu, yaani tunaroho wa Mungu. Hivyo, masomo ya Kikushi...
  12. Kwanini kuchukiana hata kuuana kugombea dini za Mungu wakati Mungu mwenyewe tunaaminishwa ana nguvu za ajabu?

    Zamani huko Ulaya, ukipinga ukiristo unapatilizwa chini ya kile kilichoitwa inquisition. Kwenye uislam, ukiupinga chini ya dhana ya jihad unauawa. Huwa nashangaa. Kwanini kupigania dini ya 'Mungu' kana kwamba Mungu hana uwezo wa kuipigania dini yake? Tunapigania dini ya Mungu au maslahi...
  13. Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

  14. 4

    Mungu kanionesha ndugu Makongoro Nyerere kuwa mtu mkubwa siku za usoni

    Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo. Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa? Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo...
  15. Tangu tupate uhuru Mungu amejibu maombi ya watanzania mara moja tu mwaka 2021

    Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.? Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani. Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
  16. G

    Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
  17. Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

    Ukweli ndo huu mara tu tukiulizwa swali hili upo wapi? maswali huwa ni mengi sana kichwani. Ukiwa sehemu hatarishi hapo sasa ndo wasiwasi unakuwa mkubwa unajiuliza hivi kaniona au kaambiwa nilipo. Inaweza chukua dk1-2 kujibu swali hili mazee.Mara nyingi huwa ni mtego usikurupuke kujibu kama...
  18. Spika Dkt. Tulia Ackson: Mimi naomba Mungu anicheleweshe kidogo

    Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema: "Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi...
  19. Smartphones can now connect directly to Starlink satellites

    Habari nilizo zipata muda huu ni kwamba. Simu hizi zitakuwa zinakamata internet moja kwa moja kwenye satellite. Hii ni habari njema sana wanasayansi ni wakombozi wa hii dunia. ========= SpaceX and T-Mobile have secured a major victory with approval from the U.S. Federal Communications...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…