mungu

  1. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Mungu Apitishie Mbali Vita Vya Nuclear

    Kuhusu Kudhoofika kwa Nguvu za Marekani na Israel Mohamed Said anaeleza kuwa Marekani imepoteza nguvu zake za kijeshi dhidi ya Iran kiasi cha kulinganishwa na "chui wa karatasi": "...tunavyodhani kuwa ni nguvu za Israeli ni nguvu za Marekani umekija kujulikana kuwa hawa wakitumia sana...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati wa Mungu ni wakati sahihi

    au vipi wadau?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

    Habari kwenu. Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama. Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mungu wetu, Mungu wetu, mbona umetuacha?

    Kungekuwa na angalau bado hata mmoja aliyebaki na chembe ya usafi na aibu, ilitakiwa awashauri wenzie kuwa, ni vema kuyatekeleza kwa vitendo masharti yote ya Commonwealth sasa kuliko kusubiri dakika za majeruhi kufika. Itakuwa ni aibu kubwa mno.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Zote Zinatoka Kwa Mungu Mwenyewe. Huwezi Kuwa RAIS Kama Haijapangwa Na Mungu. Urais Wa Rais Samia Umetoka Kwa Mungu Mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Amini Nawaambieni Ya Kuwa Huwezi Kuwa Rais wa Nchi Hii Kama Haikupangwa Na Mungu toka katika Ulimwengu wa Kiroho hata kabla ya kuzaliwa Kwako. Huwezi Kuwa Rais Kama Hujapewa Kibali na Mungu. Huwezi Kuinuka Na kuinukia Kwenye Urais kwa Mbinu zako na mipango yako Bila ama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania MUNGU ni mmoja tu, hana mtoto, hakuzaa wala hakizaliwa wala hafanani na yeyote yule

    Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu. Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina. Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na amemkufuru Mungu. Yeyote mwenye kudai Mungu amefanana na kiumbe au kitu chochote kile ,jua huyo mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

    Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe. Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia. Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu hawezi kutuletea nabii mnyakyusa tusidanganyane

    Kumekuwa na ongezeko la manabii hapa nchini hao manabii walitabiliwa wapi na nani aliwatabiria kuwa watakuja kuwa manabii? Hakuna popote kwenye maandiko ya torati hata angano la kale kwamba tizama tanzania atatokea nabii mnyakyusa akili kichwani wewe kanunue mafuta utajirishe manabii wa uongo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu Linawezekana

    Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu Linawezekana Siku ya leo nilikuwa katika maombi kwa ajili ya watumishi wa Mungu ambao wamekuwa wakipitia katika changamoto mbalimbali za kidunia. Moyoni mwangu Mungu alipitisha mistari ya kuomba kwa ajili ya watumishi hao, ambao kwa kweli wanapitia katika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Injili ambazo zinashusha Wingu

    Je ni nyimbo gani ambazo ukisikiliza zinakusogeza karibu na Mungu Binafsi kuna nyimbo kadhaa ambazo kwa kweli zimekuwa baraka sana katika maisha yangu ziko ngingi kutoka kwa watumishi wa Mungu ila ziko ambazo wakati wote nikizisikia zinanivuta sana karibu na Mungu Mtumishi wa Mungu wa hapa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo panapo majaliwa ya Mungu, tuungane kumpazia sauti kijana Isa Musini Rashidi aliyetumika kama chambo na kutupwa jela miaka 30 kwa mirungi

    Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana. · Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ? Bado ni kijana...
  12. JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu: CCM ni kama laana kwa Tanzania

    Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi. Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba mbaya ni kwasababu ya CCM na walarushwa! Sasa mnao unga mkono huu mfumo ni sawa na watumwa wanao...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kama biblia na quruan ni vitabu vya Mungu vilivyoshushwa je Mungu ndiye aliyefanya hayo marekebisho?

    Tujitafari, Biblia na quruan kwa akili ya kawaida ya Waafrika wengi waliofirisika kifikira wanaamini ni vitabu vya Mungu hadi kudai vimeshushwa na Mungu duniani. Sasa kama ni Mungu aliyeviandaa kwanini nyie watu wa duniani mnavichapisha upya katika matoleo mbalimbali hapa duniani badala Mungu...
  15. JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo lakini siabudu kwenye kanisa lolote, wala dhehebu lolote, ninamwabudu Mungu katika roho na kweli.

    Huyu anajiita Mromani Katoliki, huyu yeye ni mfuasi wa mafundisho ya Warumi na miungu ya Kirumi, si mfuasi wa mafundisho ya Yesu Kristo. Ndio maana hata akitaka kubatizwa, atabatizwa kama wabizavyo Warumi. Huyu mwingine ni Mlutheri, ni mfuasi wa mafundisho ya Martin Luther, sio mfuasi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Shetani huwa anatushtaki sisi wanadamu kwa Mungu kila kuvunja sheria ya Mungu

    Jinsi ufalme wa Mungu unavyofanya kazi ni mfano wa ufalme au serikali inayofuata SHERIA zilizo katika katiba katika kutoa hukumu A HAKI kifupi ni kama mfumo wa MAHAKAMA ya haki. Mungu akiwa kama HAKIMU (2 Wathesalonike 1:5 kwamba hukumu ya Mungu ni ya haki YESU malaika wa Mungu kama...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Ni Neema Gani za Mwenyezi Mungu Wanazozikanusha?

    Mwenyezi Mungu amesema: "Basi ni neema zipi za Mola wenu mnazozikanusha?" (Surat Ar-Rahman 55:13) Hili ni swali ambalo Qur'an imelirudia mara nyingi ili kumfanya mwanadamu atafakari. Leo kuna watu wanaokubali historia iliyoandikwa na wanadamu, wanaamini nadharia nyingi zisizo na ushahidi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaemcontrol mumewe huyo hana mungu hata mume awe mhuni maskini kiasi gani ...

    Ntd Na hawa "Tutawafwatilia" https://www.facebook.com/share/v/1KeEJXEcwe/ Hahaha
  19. JamiiForums Tanzania Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu

    Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Utangulizi Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu: Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
  20. JamiiForums Tanzania Etwege wa leo sio Etwege wa jana. Kweli Ukombozi umefika kwa watu wake Mungu

    Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…