mungu

  1. JamiiForums Tanzania Kila mtanzania mpenda HAKI kwa IMANI yake apige magoti kwa Mungu, atajibu HAKIKA

    Naelewa na najua watanzania wengi wanaumia na Wana maswali mengi ya haya yanayoendelea..je ni sababu ya ulafi wa Madaraka ama Kuna kingine? Ila kwa tafakuri niliyofanya nimekuja na majibu haya Usicheze na maslahi ya kifisadi ya kikundi Cha watu kadhaa , ...utekaji/mauaji yanatokeaje? Pale...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tafadhali Sikiliza Sauti ya Watu wa Mungu

    1. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunakutambua kama kiongozi wa nchi yetu, mama wa taifa, na muendelezaji wa juhudi za maendeleo. Tunakupa heshima yako kama mkuu wa nchi. 🇹🇿 2. Lakini tunakuomba kwa unyenyekevu, usikilize kilio cha viongozi wa dini ambao kwa nyakati mbalimbali wamekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Serikali na Mamlaka zote duniani zimewekwa na Mungu?

    Warumi 13 Neno: Bibilia Takatifu Kutii Mamlaka 13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi...
  4. JamiiForums Tanzania ML. MJEMA omba Mungu dhidi ya Familia Yako na uzao wako Mungu Ameshuka amesema ujiuzulu

    Omba Toba Sali Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote Omba msamaha kwa Ajili yake Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
  5. JamiiForums Tanzania Lucifer hakupenda kuwa shetani Kuna mambo alitofautiana na Mungu akaona kama mbwai iwe mbwai

    Labda ni falsafa ya kizembe TU kwamba Mungu alimuona shetani kama muasi ingawa Kuna malaika ambao waliyaunga mkono malalamiko ya shetani Mungu aliona ni Bora kumtupa duniani kuliko kumuua!! Vipi angemuua wale malaika theluthi wangeendelea kuwa wapinzani wa Mungu ndani ya mbingu yenyewe...
  6. JamiiForums Tanzania Busara ya Mungu, tunavutiwa na vitu tofauti tofauti, mimi kifua ndio hunibamba sana

    Imagine kila mwanaume angependa wowowo, dunia pasingetosha. Mi napenda wale wanaota English figure sema kifuani pakiwa pamenona, bas ndio ugonjwa wangu. Wadada wengi wanaoshobokewa kua wanashape hawana kwangu mimi nawaona kama wana disability. Mwanamke aliejazia sana nyuma ni kama wale jamaa...
  7. JamiiForums Tanzania Sio kila mamlaka inatoka kwa Mungu

    Credit: Pastor Jesse Matosha #SIO KILA MAMLAKA IMETOKA KWA MUNGU. ACHENI KUTAFSIRI WARUMI 13:1–7 NJE YA MUKTADHA! Watu wengi wamekuwa wakitumia Warumi 13:1–7 kama silaha ya kunyamazisha watu dhidi ya dhuluma, ufisadi, ukandamizaji, na udikteta — kana kwamba kila kiongozi aliye madarakani ni...
  8. JamiiForums Tanzania Shukuru Mungu Kwa Maisha Uliyonayo Wengine Hawana Kabisa Pa Kuanzia, Tujifunze Kusaidiana

    Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa mkubwa. Nilipotoka ndani, kwanza nikakutana na kibaridi kinapiga, nilitaka kusitisha safari ila nikasema...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Dude lishaamshwa, Je, Gwajima ataenda mahakama ya Tanzania au kwa Mungu kupinga maamuzi ya watu 2 kujichagua kuwa wagombea?

    Ninaamini kama Gwajima akitoka mbele kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya watu 2 kujichagua wenyewe kuwa wagombea ndani ya chama atapata nafasi ya kuungwa mkono na vigogo ndani na nje ya chama. Watu wanataka mabadiliko lakini issue ilikuwa nani atamfunga pake kengele? Gwajima michezo yako ni...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
  11. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitilla Mkumbo, Mungu akuweke duniani milele

    Nimefurahishwa sana na Prof Kitlla Mkumbo wakati akisoma ilani ya CCM leo pale Dodoma Yeye na Wasira ni hazina kubwa sana.
  12. JamiiForums Tanzania Haukuumbwa na Mungu

    Leo nitakuja na somo lenye kichwa kikisema kuwa HAUKUUMBWA NA MUNGU Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ndugu yangu msomaji naomba tumia akili kidogo unaposoma bandiko hili maana litaingia ndani zaidi katika maisha yetu ya kila siku. Naam ndugu yangu msomaji leo nataka utambue kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Sauti ya Mungu inazidi kutikisa na kutetemesha kambi za shetani

    Kibali chochote kile kikubwa Hushuka kutoka kwa Mungu! Pamoja na yoote dhidi ya Chadema - haya ndio majibu ya Mungu kwa watu wote wanaojaribu kukibomoa Cham hiki? Sauti ya Haki ni Sauti ya Mungu. Arusha Mjini.
  14. JamiiForums Tanzania Je watumishi wa Mungu hamuwezi kuhubiri bila kuongelea uchawi?

    Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa . Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi? Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina.
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu, twaomba uyafungue macho ya rais wetu

    Kwa wasomaji wa historia ya uprotestant watakuwa wanakumbuka dua maarufu; "Lord, open the King of England's eyes" ya William Tyndale, aliyoiomba akiwa anachomwa moto October 1536 kwa kosa la kutafsiri Biblia kwa lugha ya kingereza. Kwa faida ya wasiofahamu, mpaka karne ya 16, dini pekee katika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sikujua kwamba vitabu vya Mungu vinazungumzia maisha haya....

    Kumbe SSH na Kijani ndio wanahusika na "mene, mene, tekeli, na peresi" na Mnala wa BABELI....Maanake nashangaa sasa Kijani wameanza kuchanganyikiwa. Asante Rev. Hon Dr. Gwajima, Asante Basila Mwanakuzi, Asante Msanii uliyemshauri Mama...Asante Pia na Mwenezi wa Kinondoni maana ulifikiri...
  17. JamiiForums Tanzania Taa ya Mungu inayotumika kuchunguza yale yaliyomo kwenye moyo wa mtu

    Mit 20:27 SUV [27] Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake. Ukisikia unachunguzwa au unafuatiliwa nyendo zako zote, inaweza kukushtua na kukuongeza umakini katika kutembea kwako na kutenda kwako, wengine tunajua tunachunguzwa kila wakati kutokana na kazi zetu au...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Huyu bwana alisema yeye mcha mungu, hawezi kuwa sehemu ya maovu yanayofanywa kwa kisingizio cha amani na usalama na kuamua kujiuzulu nafasi yake

    Habari tulizozipata zinaeleza kwamba kiongozi mmoja wa ngazi ya juu ilifikia mahali akasema waziwazi, kwamba yeye siku zote amejitahidi sana kuwa mcha Mungu, na asingeweza kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao ulifikia hatua ya kuhalalisha kufanya maovu ya kiwango hiki kwa kudai ni kwa ajili ya...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Rafiki zetu wa kweli hapa duniani ni MUNGU na Miti

    Katika maisha ya binadamu ,tunao marafiki wa wili ambao bila wao hatuwezi kuishi duniani. Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu,muumba wa mbingu na dunia.Alianza kuumba maji ,ardhi ikafuata miti ambayo inatupatia hewa ya oxygen,.Bila hewa ya oxygene huwezi ukaishi hata sekunde moja. Ndiyo maana...
  20. JamiiForums Tanzania Naonaga hapa vijana wanahaha wakiulizwa "thibitisha kama Mungu yupo". Mtu akikuuliza hivyo we mjibu "na wewe thibitisha kuwa Mungu hayupo"

    Its simple, Wewe anakuuliza hivyo kama njia ya kejeli kwa maana anajua hauna uthibitisho wa kumuona ila na yeye anasahau kuwa yeye mwenyewe Hana uhakika kama kweli hayupo kwa maana labda kweli yupo ila basi tu yeye ndio hajawahi kumuona🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…