mungu

  1. JamiiForums Tanzania Mnara wa babeli uliangushwa na kukosekana fizikia wala msimuweke Mungu

    Leo waafrika dini zimewapumbaza mfano mtu unajua siasa unajibiwa na mtengeneza muvi.Hapa ndio utambue kuwa hata mnara wa babeli uliangushwa na wachambuzi ambao akili zao zilikuwa ndogo kwenye ujenzi. Leo chawa ndio washauri wa kila jambo.
  2. JamiiForums Tanzania Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu (AC, BC, AD)

    Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Ulishawahi kufikiria hili? Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu: BC (Before...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

    Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Mungu akimpendeza atatenda tena

    Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao. Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka TAFAKURI ya kina. Askofu Bagonza Kaandika hivi: "Wamesahau Mungu wetu haongeki na hapokei maelekezo. Kwake...
  5. JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥

    Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥
  6. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulitenganisha Kanisa Katoliki na nchii...Hongera Roman Catholic Mungu atajibu maombi

    Kanisa katoliki kila siku ku a sala ya kuwaombea viongozi na kwa namna ya pekee Mhe. Raisi Kanisa Katoliki bado linashirikiana na selikari katika mambo mengi ikiwemo ustawi wa amani kwa mafundisho na utoaji wa huduma mbali mbali za kijamii kama afya na elimu bila kuchoka hata pale inapotokea...
  7. JamiiForums Tanzania Tabia ya Mtu kufanana na Mungu na tusio yaamini sana.

    Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra, Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulipo leo katika fikra za kila mmoja wetu.. Ni maswali kuhusu huyu Mungu na nini anakifanya kwetu hadi sasa. Tabia Wajinga wengi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kila anayemgusa Lisu kwa ubaya, "ANANUKA".

    1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki. 2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa kujiuzulu uspika. Na sasa amefariki. 3. Jiwe aliyepiga marufuku wanaccm kwenda kumuona Lisu hospitalini...
  9. H

    JamiiForums Tanzania WALE TUNAO AMINI MUNGU YUPO ZINGATIA HILI

    Kama Kuna kikundi kimekaa kama basi la kwenda kuzimu basi ni kile chama, chunguzeni watu wake , watafakalini maneno Yao, mtagundua wakimtaja Mungu hawamaanishi saana kama wanavyomtaja mwenyekiti wa chama Chao....... Thread over, bye-bye
  10. JamiiForums Tanzania Mungu Mmoja Katika Vipengele Vitatu: Baba, Mwana, na Roho

    Mjumbe Wa Nafsi Za Watu Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo hesabu ya kawaida. Si rahisi kama kusema moja + moja + moja = tatu. Bali ni fumbo la maisha lenye maana...
  11. B

    JamiiForums Tanzania NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?

    Bila NRNE na hivyo bila Lissu kuwa mbele ya Pilato tungeonana wapi, ana kwa ana na kina Polepole au Gwajima? Hatimaye leo imefika, ile siku ya ahadi, na ahadi iliyopo ni kumwagwa kwa mboga, baada ya ugali kutangulizwa! Kumbe basi, nani atakereka na labda kusikia waliko wenzetu kina Ben...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

    Wakuu JF, amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa hapo juu. Mnajua, Mh. Lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii. Na ikumbukwe, juzi alitoa wasilisho lake mbele ya Mahakama ya Kisutu kabla ya tarajio la kesi yake...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu na shetani nani hutoa uhai wa viumbe?

    Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu. Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
  14. JamiiForums Tanzania Prophet Uebert Angel wa Zimbabwe azungumzia kile Mungu alimwambia kuhusu Pastor Tony being a Tanzanian Watch Man

    Prophet Uebert Angel ni kati ya 5 African top Prophets of God. Anazungumzia vile Mungu alimwambia anavyomwandaa Young Pastor Tony kuwa Watch Man Kwa Tanzania. Anasema Mungu alimwambia pia kuhusu Pastor mmoja huko Ghana, na alimtaja Kwa jina, japo ikaleta Maneno mengi Toka Kwa Pastors na Bishops...
  15. JamiiForums Tanzania Israel Taifa La Mungu

    Mungu aliahidi jambo hili katika kitabu cha Mwanzo 12:3 alipomwambia Ibrahimu ya kuwa:”….Nitawabariki wakubarikio….Na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa”. Unaweza kuungana nasi katika kuibariki Israeli kwa njia zifuatazo: 1. OMBEA NCHI YA ISRAELI Nchi ya Israeli haipo pale kama nchi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

    Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never. Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
  17. JamiiForums Tanzania Wenye haki pekee ndio wanaweza kumwomba Mungu apambane na viongozi wadhulmati. Ukijijua huna haki usipoteze muda wako

    Hamjambo! Kuna kitu watu wengi hawakijui kuhusu Yule aliyewaumba. Mambo unayotakiwa kuyajua; 1. Mungu hajihusishi na utawala na wanadamu tangu wanadamu walipoamua kujiongoza wenyewe na kuongozwa na Wafalme na Marais. Hilo ni jambo Moja. 2. Hii ni kusema, kwa vile tuliamua kuongozwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Tuiombee mungu Taifa stars,i vuke salama dhidi ya Morocco! Majirani wanatunanga kweli

    I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni Mungu yupi anayemhubiri Mwamposa kiasi cha kuwabariki wasiomuamini Mungu wa Israel

    Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo. Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa. Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kutokupenda habari kuhusu Mungu ni aina gani ya tatizo?

    Wakuu habari zenu? Naomba mwenye msaada wa kimawazo tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…