mungu

  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar: Tukikubali kuvunja amani tutamwambia nini Mungu?

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Bin Zubeir Ally, amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani, maadili na ustawi wa jamii, hasa katika kipindi hiki ambapo Taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu yupo mbali kwa waliokata tamaa na kukosa Imani ila yupo karibu kwa wanaomwamini

    Yer 23:23 SUV [23] Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali. Zamani katika agano la kale Mungu alionekana yupo juu mbinguni, na mara nyingi alizungumza na watu wake kupitia kwa manabii. Jambo hili linaweza likawa ndani ya baadhi ya watu, wanaweza kufikiri Mungu yupo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mungu atalipiza kwa mauaji na unyanyasaji 2025-2026

    Mungu atalipiza kwa mauaji na unyanyasaji 2025-2026. Litakuja jinamizi na kuanza kumalizana wenyewe kabla Mungu hajaweka watu wake kuongoza nchi. Mungu alianza kuanzia 2021 lakini naona watu wanafikiri yametokea tu sasa bahati mbaya waliochukuwa madaraka hawakuelewa wakafikiri wenyewe ndiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Huwezi kumuabudu Mungu wa kweli halafu ukaogopa kutetea haki au kupinga waovu. Utakuwa humjui Mungu

    HAUWEZI KUMUABUD Mungu WA KWELI ALAFU UKAOGOPA JAMBO DOGO NA RAHISI LA KUTETEA HAKI AU KUPINGA WAOVU. UTAKUWA HAUMJUI MUNGU WEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mungu haabudiwi na watu waoga. Mtu mwoga atakuwa na sifa nyingine mbaya ya unafiki. 2. Ni rahisi Muuaji na mtekaji au muuza...
  5. JamiiForums Tanzania Wasiojua wanapojifanya wanajua na kisa cha uumbaji na Mungu

    Kuna imani iliyoota mizizi kuwa dunia iliumbwa na Mungu. Nani alioina ikiumbwa? Kwani kila kitu lazima kiumbwe. Mbona vitu vingine vinaweza kuzuka? Kinachowasumbua ni ule ujinga kuwa kila kitu lazima kiumbwe kwa vile mnaamini katika ujinga huu. Kuna vitu hatujui na hatutaki kukiri kuwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania: Je, Mungu wa kwenye Quran na Biblia ameshindwa kutulinda dhidi ya wasiojulikana?

    Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia? Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia? Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa. Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Wachungaji wanaosema Samia katumwa na Mungu wajifunze toka kwa Gwajima

    Tanzania ina utajiri wa matepeli waitwao wachungaji wakati ni wachunaji. Mfano tapelii Jose Gwajimmy alijisahau. Aliamua kulala kitanda kimoja na mafisi na mafisadi akiwa amejivisha ngozi ya kondoo ili awararue kondoo kwa kisingizio cha kuwachunga. Alilishwa akanenepa hadi kukufuru. Ule muungu...
  8. JamiiForums Tanzania Lini binadamu watakubali ukweli kwamba kwenye siasa na masuala ya haki kumtegemea Mungu ni kupoteza muda tu?

    Mjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo lakini jambo moja lenye uhakika kabisa ni kwamba kwenye siasa na masuala ya haki hakuna ushahidi...
  9. JamiiForums Tanzania Mungu Watu wako wengi tunapatwa na ukakasi kwanini huji kutuokoa katika ziwa hili la serikali dhalimu ya wanamtandao?

    Ewe Mungu Muumba wa mbingu na nchi jidhihirishe sasa! Wewe tuu ndio mwenye uwezo wa kupanga nani aishi na nani asiishi na sio wanamtandao au mafwele! Watu wako wengi tunapatwa na ukakasi kwanini huji kutuokoa katika ziwa hili la serikali dhalimu ya wanamtandao??? Ndugu polepole kwa sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Wasioamini uwepo wa Mungu watazidi kuongezeka

    Au inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

    Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake. Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza? Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hata Capt. Traole awali alipingwa sana na wahuni wanaoitafuna nchi lakini Mungu almsaidia: Hivyo Msiwashangae hawa

    Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo! Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Mungu atupe ukomo wa kiasisi cha binadamu kumiliki pesa

    Kwani watu wamekuwa wanyama hada viongozi wa kiafrika wanaojilimbikizia mali na kujikita kwenye ufisadi mkubwa hivyo ni vyema Mungu akawezesha viongozi wa kiafrika au utajiri wa mwafrika usizodi bilioni 2 ikizidi hapo basi uwe ni ugonjwa na aafe tu. Nasema hivyo kwani roho mbaya zinawaandama...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonyesha Hapendi Wahuni waongoze Tanzania

    Registered Trustees of Alliance for Change and Transparency [ACT Wazalendo] and Luhaga Joelson Mpina vs Registrar of Political Parties and Attorney General (Miscellaneous Civil Cause No. 23617 of 2025) [2025] TZHC 5816 (26 September 2025 Citation Registered Trustees of Alliance for Change and...
  15. JamiiForums Tanzania Tushirikiane wote kujifunza neno la Mungu /neno la leo

    Tunaishi katika nyakati/zama za mwisho kabisa huku unabii kuhusu UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI /KURUDI KWA YESU MARA YA PILI kukiwa kumekaribia sana kwa mujibu wa ufunuo na maandiko. WAKATI WAKATI TULIONAO NI MCHACHE SANA, sisi kama RAIA WA MBINGUNI tunaosafiri safari ya kuelekea...
  16. JamiiForums Tanzania Ni Hatari kufanya Utani kwenye Mambo ya Mungu "Toka lini shetani Kufukuza jini?"

    Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
  17. JamiiForums Tanzania Madogo mliomo JF chukueni mbili tatu kuwahusu warembo ili iwasaidie katika safari yenu ya mapenzi

    1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri. 2: Binti kama anakukubali na bado hauja mu-approach atakuset ili ionekane...
  18. JamiiForums Tanzania Kama asili ya mwanadamu ilikuja kabla ya dini kuja kwanini akubali imuendeshe? then ukitaka kumjua Mungu wa kweli achana na mambo ya dini

    Ushawahi kujiuliza kuwa wale watu waliokuwepo kabla ya dini yako kuja wataenda wapi? Mbiguni au motoni? Dini inakufanya ukae mbali na Mungu wakati umekaa nae hapo pembeni yako. Dini inakufanya ukae mbali na ukweli wa asili yako ili ukumbatie stori za kusadikika na kufikirika. Dini...
  19. JamiiForums Tanzania Mungu Akikuita Amekuamini Usijitazame Ulivyo Analijua Hilo Na Akakuchagua

    Yer 1:6 SUV [6] Ndipo niliposema, Aa, Bwana MUNGU! Tazama, siwezi kusema; maana mimi ni mtoto. Watu kama Yeremia wapo wengi Leo, wanaotazama hali zao za nje, au mazingira yao, udogo wao, na mambo mengine mengi. Wanapochaguliwa na MUNGU kumtumikia katika eneo Fulani, huanza visingizio vingi vya...
  20. JamiiForums Tanzania Gwajima katapeli watu akidhani anaweza kumtapeli Mungu sasa yako wapi?

    Josephat Gwajima, askofu kidhabu wa kujipachika aliwahi kusema kuwa kazi yake ilikuwa bora na kubwa zaidi ya urais. Alipopewa ubunge alisahau yote. Alisahau kuwa maneno yanaumba. Sasa ameumbuliwa. Nadhani sasa ameamini kuwa Mungu si wa kudhihakiwa. Gwajima kafanya utapeli mwingi. Mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…