mungu

  1. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Mungu: Samia ukiendelea na Urais unaenda kufa, maana hana kibali cha Mungu

    Mtumishi wa Mungu amesema "Samia ukiendelea na Urais unakwenda kuuawa, utaondolewa: Mungu kakukataa”
  2. JamiiForums Tanzania Naanza kupata wasiwasi na uwepo wa Mungu

    Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7 Kama Mungu yupo kweli Mbona anaacha TAJIRI anaabudiwa na kuombwa kama Mungu? Kwasasa TAJIRI ana nguvu kuliko Mungu huyu...
  3. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mungu hawezi kupuuza machozi ya waja wake. Atalipa kwa wakati wake, haki itatimia

    Godbless Lema anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Mlisali, mkafunga na mkamwomba Mungu kwa dua na machozi. Maombi yenu yamefika mbinguni. Mnafikiri haya mauaji na mateso ya watoto wenu ndiyo majibu kutoka kwa Mungu? Hapana. Msihofu. Mungu yupo, na bado anafanya kazi yake kwa...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

    Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
  5. JamiiForums Tanzania Vitu 7 anavyovichukia mwenyezi Mungu

    Methali 6:16-19 Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Macho ya 1.kiburi, ulimi 2.mdanganyifu, 3.mikono inayoua wasio na hatia, 4.moyo unaopanga mipango miovu, 5.miguu iliyo mbioni kutenda maovu, 6.shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Dini zinazosemekana ni za mungu zinabariki yote haya

    Kwamba unaweza kufanya lolote baya na ukashika kitabu cha Mungu ukaapa na chochote kisikupate. Au na wao wanajua hakuna Mungu ndio maana wanajiamini kufanya lolote.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

    Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi. Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo: Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mungu kawaweka Heche na Lissu gerezani kuonyesha ukweli

    Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao...
  9. JamiiForums Tanzania Mungu, kwanini uliumba Idd Amin Mama?

    Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
  10. JamiiForums Tanzania Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja na yote tuliyoshuhudia kwa macho yetu na tuliyopitia kama nchi huku Ulimwengu mzima nao ukishuhudia...
  11. 4

    JamiiForums Tanzania Haijalishi wewe ni nani kumbuka Mungu yupo kazini kwa kasi ya juu sana juu ya Tanzania

    Mungu mwema wakuu, kila mmoja kwa imani yake . Mada yajieleza Wana wa Mungu popote mlipo msijisaulishe ,Mungu yupo kazini kuliko wakati mwingine wowote juu ya Taifa lake . Tafadhali sana lingana na nafasi yako ulionayo usivuke mstari mwekundu , maana wenda kesho kutwa malipo kwako yakawa...
  12. JamiiForums Tanzania Neema ya Mungu

    https://wingulamashahidi.org/2024/10/11/vigezo-vya-neema-ya-mungu/ Warumi 6:1 Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? 2 Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi? Tito 2:11-15 Maana neema ya Mungu imedhihirishwa kwa ajili ya wokovu wa watu wote...
  13. JamiiForums Tanzania Ewe MUNGU ijaze Tanzania mvua kesho ubao usome 0_0 si kwa wakutoka Wala wakutiki

    Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni inaweza kutuliza vishindo vyote vya binadamu. mvua ni baraka...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi wa Mungu mwenyezi ndio unaleta utulivu nchi hii

    Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa Wangemweka Nyerere...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sativa na Sarungi mbarikiwe kwa kazi ya matashi ya Mungu

    Mmejitoa mhanga , but Thank God you are somewhat safe! Kosa la POLEPOLE msilifanye! Msije huku Tanganyika! Mbarikiwe sana
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa manabii wawe na subira na wasimfundishe Mungu kazi

    Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi Ghafla tunakaribia uchaguzi wako ambao wanaona samia anaenda kushinda kwa hiyo wanahaha na kuanza kutupia lawama...
  17. JamiiForums Tanzania Kama urais unatoka kwa Mungu, je, Idi Amin, na maimla wengine nao walitoka kwa huyo Mungu?

    Mara nyingi, utasikia wengi, hasa machawa na kunguni, wakisema eti uongozi hasa urais hutoka kwa Mungu! Hii ni kwa sababu eti aliandika tapeli Paulo aka Sauli wa Tarso Warumi 13:1. Mlitetemea chawa kama huyu aseme nini wakati naye alikuwa akitafuta riziki kichawa na kitapeli? Je, madikteta...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kidola, kukosa kuwajibishana na Uchawa kumeua Mwendokasi na leo vimeangusha Treni; Mungu aepushe visije vikaangusha serikali

    Kingekuwa ni kitu kizuri leo kutwa yote wangeimba “AJALI YA MAMA” na tusioimba tungebezwa, tungeitwa KENGE, SISIMIZI, NYWINYWI, NYWINYWINYWI. Lakini Mungu huyu ni fundi sana, kapiga kwenye mshono na hadi tarehe 29 atapiga pigo jengine palepale kwenye mshono kama si kusugulia chumvi. Uchafu...
  19. JamiiForums Tanzania Kumpenda Mungu

    Yohane 14:15-20 “Mkinipenda mtazishika amri zangu. Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele. Yeye ni Roho wa ukweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea kwa sababu hauwezi kumwona wala kumjua. Lakini nyinyi mnamjua kwa sababu anabaki nanyi na yu ndani yenu. Yn 14:23...
  20. M

    JamiiForums Tanzania "Mafwele" ni mpango wa Mungu

    Inawezekana haya yanayoendelea huku Mafwele akiwa mtuhumiwa maarufu ni mpango wa Mungu. Mimi kama mkristo msoma biblia mzuri nimeona labda haya yote yanayotokea ni mpango wa Mungu na huyu Mafwele anatumika tu kutekeleza hiyo mipango. Mafwele ni mtu wa serikali na kama tunavyosoma kwenye biblia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…