The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,707 Nov 3, 2025 #1 Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
Jumlisha JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 2,147 Reaction score 4,295 Nov 3, 2025 #2 Dah inaumiza sana kwanini sisi tu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,400 Reaction score 100,544 Nov 3, 2025 #3 Unaua vijana wanaotafuta kesho yao? Na sasa unataka Suluhu? Mtakufa kifo kibaya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,128 Reaction score 195,893 Nov 3, 2025 #4 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 7,660 Reaction score 17,775 Nov 5, 2025 #5 Ni aheri mwanamke asingelizaliwa. Kuzaliwa kwake imekuwa ni majonzi ya wanadamu wengi.