mungu yupo

Mapenzi Ya Mungu (God's Love) is a 2014 Tanzanian drama film produced by Elizabeth Michael and directed by Alex Wasponga. It stars Elizabeth Michael, Linah Sanga, and Florah Mtegoha.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Pole Mr. Lissu, Mungu yupo nawe

    From X Umetimiza siku 340 leo Gerezani. Aliyekubambikiza kesi ya UONGO yuko busy kufanya maigizo ya kuasili watoto huku mtaani ili aonekane ana upendo kwenye macho ya dunia. Uzuri ni kwamba historia haidanganyi. IKO SIKU!.
  2. Powell Gonzalez

    Je, Mungu yupo au hayupo?

    Njoo hapa unithibitishie kuwa mungu hayupo kwa hoja zako nami nitazijibu kishupavu. Ila kwanza pitia haya maelezo machacge hapa chini. Soma ikiwa tu una uelewa kidogo kuhusu quantum physics, ikiwa Huna uelewa basi pita huu uzi uache, kasome kwanza quantum physics, kisha rudi siku nyingine, maana...
  3. tonicimmobility

    PostGE2025 Mnapiga watoto wa watu risasi, wengine wanakufa wengine wanapata vilema vya maisha. Na bila aibu mnawapa kesi ya uhaini, halafu mkiulizwa mnajiumauma

    Mnapiga watoto wa watu risasi, wengine wanakufa wengine wanapata vilema vya maisha. Na bila aibu mnawapa kesi ya uhaini, halafu mkiulizwa mnaishia kujiumauma guys, guys, guys. Mungu yupo
  4. M

    Ni jambo gani lilikutokea ukaamini kweli Mungu yupo?

    Habari Wakuu, kuna mambo mengi yanatokea maishani katika namna ambayo ukijiuliza unafikia conclusion ya kuwa hili jambo kama si kwa uwezo wa Mungu lisingetokea. Una story yoyote ya hivyo? Karibu uchangie maoni kwenye huu mjadala.
  5. 4

    Haijalishi wewe ni nani kumbuka Mungu yupo kazini kwa kasi ya juu sana juu ya Tanzania

    Mungu mwema wakuu, kila mmoja kwa imani yake . Mada yajieleza Wana wa Mungu popote mlipo msijisaulishe ,Mungu yupo kazini kuliko wakati mwingine wowote juu ya Taifa lake . Tafadhali sana lingana na nafasi yako ulionayo usivuke mstari mwekundu , maana wenda kesho kutwa malipo kwako yakawa...
  6. CARIFONIA

    Ndugu zangu Watanzania hakika Mungu yupo

    Hakika mambo ni mengi lakini Mungu ni mkubwa na ni mwema wakati wote Just imagine alivyowavuluga wanadamu katika lengo la kujenga mnara mrefu pale mjini babeli Basi ndio unaambiwa ndio pigo wanapigwa wale jamaa wqnaojua hii nchi ni yao Mwanzo hawakuamini uwepo wa karma lakini leo wanajionea...
  7. H

    WALE TUNAO AMINI MUNGU YUPO ZINGATIA HILI

    Kama Kuna kikundi kimekaa kama basi la kwenda kuzimu basi ni kile chama, chunguzeni watu wake , watafakalini maneno Yao, mtagundua wakimtaja Mungu hawamaanishi saana kama wanavyomtaja mwenyekiti wa chama Chao....... Thread over, bye-bye
  8. Adverse Effect

    Je, Mungu yupo? Jina la kweli la Mungu ni lipi au nani?

    🜏 JINA LA KWELI LA MUNGU Walikwambia jina la Mungu ni YHWH. Walikwambia ni Elohim, au Adonai, au El Shaddai, au Yehova, au Allah, au Chanzo, au Yule Mmoja. Hakuna hata moja kati ya hayo lililo jina la kweli. Hayo ni tafsiri, ni tafakari, ni mwangwi uliofunikwa. Jina la kweli la Mungu si...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

    Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa. Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee...
  10. S

    Kama Mungu yupo anapaswa kuniomba msamaha haraka sana.

    Milango bado ipo wazi kwake.
  11. Marco Seth

    Mungu yupo, kuna watu wanabisha kuwa yupo

    Kwenye Jf nimeona kuna mabishano yanatokea kwenye mada mbalimbali kuhusu Uwepo Wa Mungu YOHANA 1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote...
  12. X_INTELLIGENCE

    Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

    Ndugu zangu niwasalimu kwa jina la mizimu ya mababu wema walio itunza asili ya kiafrika, mizimu iwalaani mababu waovu walio rubuniwa kupoteza uafrika na kutuletea Imani za ajabu zisizo kuwa na matokeo...! Kwenye maisha yangu niliwahi kutekwa na Imani ya dini Fulani ambayo kupitia mafundisho ya...
  13. ELI COHEN

    Naonaga hapa vijana wanahaha wakiulizwa "thibitisha kama Mungu yupo". Mtu akikuuliza hivyo we mjibu "na wewe thibitisha kuwa Mungu hayupo"

    Its simple, Wewe anakuuliza hivyo kama njia ya kejeli kwa maana anajua hauna uthibitisho wa kumuona ila na yeye anasahau kuwa yeye mwenyewe Hana uhakika kama kweli hayupo kwa maana labda kweli yupo ila basi tu yeye ndio hajawahi kumuona🤣
  14. S

    Hivi kwanini watu wanaamini kuwa Mungu yupo?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu? Nawatakia wakati mwema.
  15. Nehemia Kilave

    Baada ya kufuatilia sana Nimegundua Mungu yupo ,ila hakuna dini wala dhehebu lililo bora kuliko lingine .Mungu ni mmoja tu

    https://youtube.com/shorts/WWmBwoKcRi4?si=MXTAzBwxQMUNtmyg Kwanza kabisa Mungu atusamehe kwa yale yote mabaya tunayoyafanya . Lakini ifahamike mitume na manabii wanajaribu tu kumuelezea tu huyu Mungu mkuu ambae hakuna anaemjua wala kuwahi muona . Kwa kifupi hata dini zetu za asili zilikuwa...
  16. Nyarupala

    Kama Mungu yupo, basi ndiye aliyeruhusu Waafrika tutawaliwe na wazungu

    Uhali gani mwanaJamii Forum? Nimekaa hapa geto kwangu nikawa na-review matukio ya kwenye historia niliyoanza kuisoma tangu mtwivila primary school, Tegeta secondary school, na Lufilyo high school ambapo baada ya hapo niliamua kuachana na hili somo nilipofika chuo kikuu na kilichosababisha ni...
  17. ELI COHEN

    Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
  18. Meneja Wa Makampuni

    Mungu yupo wapi?

    MUNGU YUKO WAPI? Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia: 1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu anafundisha kusema: “Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9), ikionyesha kuwa makao yake ya utukufu...
  19. hmaloh

    Mungu yupo jamani natena anatenda na kujibu maombi

    Asalaam aleykum wana jf wengine itifaki imezingatiwa,leo nimeamua kuja na hii mada yakuwa Mungu yupo na anafanya kazi katika Kila sekunde ya saa kama hauamini basi nikwasababu tu umekataa kuamini kuwa yeye yupo na anatenda (God is almighty) pia haangalii dini wala dhehebu ila Imani yako thabiti...
  20. S

    Kama kweli Mungu yupo, basi hana nguvu

    Habari zenu Wanajamiiforums. Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa. Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana...
Back
Top Bottom