muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushirikiano baina ya wakristo na waislamu ni muhimu kuliko hata vyama vya siasa

    Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache: 1.Kuzikana 2.Kusafiri pamoja 3.Kufanya biashara 4.Kufanya ngono 5.Kucheza michezo...
  2. Mambo 10 muhimu ya kuzungumza kabla ya ndoa ili kuepuka maumivu baadae

    Kabla ya Ndoa, haya ni mambo muhimu sana mnayopaswa kuyazungumza ili kuepuka maumivu na kuvunjika moyo baadaye: 1. Fedha - Tutazisimamiaje? Pamoja au kila mmoja kivyake? Nani ataweka akiba, nani atatumia, na tufanye nini mambo yakibana? 2. Watoto - Je, tunataka watoto? Wangapi? Na ni maadili...
  3. N

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali kuwa na website au app ya mishe yako muhimu

    HABARI KUU Katika dunia ya sasa ya kidijitali, uwepo mtandaoni si hiari tena bali ni hitaji muhimu kwa biashara, taasisi na watu binafsi. Ikiwa unahitaji website ya kisasa, Android App, au iOS App yenye muonekano mzuri na utendaji wa hali ya juu, sasa ndio wakati sahihi wa kuchukua hatua...
  4. Wakazi wa Dar es Salaam Amani ni muhimu kuliko Maji

    Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji Nawasilisha
  5. Kama kweli serikali imedhamiria pasiwe na maandamano D9 njia bora ni kupiga marufuku ya kutoka Siku hiyo kwa masaa muhimu

    Hamjambo Wakuu. 1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa; 2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6 mchana. 3. Kisha waingie ndani majumbani kuanzia saa 11 jioni wasitoke kabisa 4. Viongozi wa...
  6. Muda wowote kuanzia sasa huenda kikanuka, jaza mahitaji muhimu sasa usisubiri mpaka tarehe 8 December

    Tahadhari ni muhimu, Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali. Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa. Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili, Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna...
  7. K

    PostGE2025 Msaada muhimu zaidi kuliko yote unaohitajiwa na waTanzania

    Wakati tunawashukuru wote waliosimama na kupaza sauti zao juu kuhusu mauaji ya waTanzania waliouliwa kikatili sana wakitafuta HAKI mbalimbali za msingi mwezi Oktoba 2025; ni wakati sasa. kuwakumbusha kuwa kulaani mauaji hayo pekee haitoshi. Tuwaombe, wakati juhudi zetu za kutafuta haki hizo...
  8. Ni muhimu kukumbuka Data Zinaoza!

    Hili ni kumbusho kuwa karibia hifadhi zote za data zinaoza baada ya muda fulani, kitu ambacho ni muhimu kuzingatia. HDD (Hard Disk Drive) Zile mechanical ambayo haitumiki zinaoza baada ya miaka 2-20 kutegemea na ubora wa drive na hasa mazingira iliyohifadhiwa, mazingira ya TZ ya joto na...
  9. Kuna kundi muhimu limetuunga mkono. Itakuwa surprise siku hiyo

    Mayi! Achana na ICC. Wao waendelee kutafuta vikao na kupiga simu huko kimataifa ili wamalize kidipolomasia. Wamesahau jambo moja lipo kundi moja muhimu ambalo hilo tayari lishakuwa upande wetu. Hiyo tarehe tunaenda kuwagea suprise walahi hawataamini. Nawaambia siye tupo karibu nao. Twasema...
  10. H

    Ni muhimu sana Watanzania tujenge utamaduni wa kujadiliana kwa hoja zenye staha hata pale tunapotofautiana kimtazamo

    . Katika jamii yoyote inayotaka kustawi, tofauti za mawazo ni jambo la kawaida na lenye afya — lakini namna tunavyoyashughulikia hayo mawazo ndicho kinachojenga au kubomoa. Matusi, kejeli na dhihaka haziwezi kuleta suluhu ya changamoto zetu kama Taifa. Badala yake, huchochea hasira, kuharibu...
  11. Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
  12. Tanzania imeunga mkono ajenda zote katika Mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
  13. Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

    Habari za leo! 1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana. 2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu. 3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na kuvunjiwa biashara uliyoisotea kwa miaka na miaka. 4. Kwa kujua hilo ndio maana tunawapa pole wale...
  14. Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  15. B

    Ujumbe muhimu sana kwa watanzania wote

    01 November 2025 SIKU YA 4 : MAANDAMANO UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu. Kwanza nawapongeza GenZ na leo ni siku ya nne na mnafanya kazi takatifu. Mmeonesha kiu ya mabadiliko. Historia itawakumbuka kwa...
  16. Taarifa Muhimu - MO29

    📌Important Statement from the Foreign Ministers of 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 expressing concern and calling for restraint in Tanzania - GOV.UK Taarifa Muhimu kutoka kwa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 wakielezea wasiwasi wao na kutoa wito wa kujizuia nchini Tanzania. #MO29 🇹🇿 #OktobaTunatoka #tanzania...
  17. GE2025 Ushauri mfupi na muhimu kwa CCM na Samia

    Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu...
  18. S

    Ile kazi muhimu na muhimu inafanyika usiku wa leo. Kesho ni siku ya breaking news tu

    Acha wahangaike kuzuia mabasi ya mikoani hiyo kesho, wakati kazi ni leo usiku.
  19. Kilimo biashara ni muhimu

    Habari Ndg naomba kwa wadhoefu wa field msaada mchanganuo wa gharama kwa ekari moja wa mazao yafuatayo tafadhali nipate mwanga 1. Nyanya ekari moja 2.Vitunguu vya kawaida ekari moja 3.Hoho ekari Moja 4.Kabage ekari Moja
  20. M

    Kwaheri Windows 10, The end is 14 October 2025, haya ndio mambo muhimu unayopaswa kuyajua na hatua za kuchukua

    A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…