muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  2. H

    JamiiForums Tanzania π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’ 𝗑𝗔 π— π—”π—žπ—”π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—žπ—œπ—§π—œ π—ͺ𝗔 π—•π—¨π—‘π—šπ—˜ π—Ÿπ—” π—©π—œπ—˜π—§π—‘π—”π— 

    π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’ 𝗑𝗔 π— π—”π—žπ—”π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—žπ—œπ—§π—œ π—ͺ𝗔 π—•π—¨π—‘π—šπ—˜ π—Ÿπ—” π—©π—œπ—˜π—§π—‘π—”π—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  3. H

    JamiiForums Tanzania π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’ 𝗑𝗔 π— π—”π—žπ—”π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—žπ—œπ—§π—œ π—ͺ𝗔 π—•π—¨π—‘π—šπ—˜ π—Ÿπ—” π—©π—œπ—˜π—§π—‘π—”π— 

    π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’ 𝗑𝗔 π— π—”π—žπ—”π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—žπ—œπ—§π—œ π—ͺ𝗔 π—•π—¨π—‘π—šπ—˜ π—Ÿπ—” π—©π—œπ—˜π—§π—‘π—”π—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  4. JamiiForums Tanzania TFF ingesogeza mbele dabi kama mechi za kirafiki kwa Taifa Stars zingekuwa muhimu kwao.

    Wanaozilaumu timu kuwaita wachezaji wao kurudi kambini kujiandaa na mechi ya dabi badala ya kuilaumu TFF ni wahuni kama wahuni wengine tu. TFF ina mamlaka ya kuisogeza mechi kubwa sana kwenye mashindano yake ya ligi kama ingekuwa inataka timu ya taifa icheze mechi za kirafiki. Haiwezekani timu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu kwa Maendeleo ya Tanzania ()

    masterpiece Kamundu Utangulizi Tanzania ina rasilimali nyingi na watu wenye uwezo, lakini bado tunakabiliwa na changamoto za kiuchumi, kijamii na kiutawala. Ili kuendelea, tunahitaji sera rahisi, uwajibikaji, ubunifu na viongozi wanaotanguliza maslahi ya nchi. Kodi, biashara na ujenzi Mfumo wa...
  6. JamiiForums Tanzania VITU MUHIMU VITAKAVYOKUFANYA UWE FUNDI BORA KWENYE UFUNDI WA INCUBATOR

    Kuwa fundi wa incubator siyo kujua kubadilisha spare part iliyoharibika kwenye incubator iliyokwisha tengenezwa. Fundi mzuri anapaswa kuelewa mfumo mzima wa incubator, kutambua tatizo, kujua chanzo chake na kufanya testing baada ya matengenezo. Haya ni baadhi ya mambo muhimu: βœ… Elewa jinsi...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya duka la dawa muhimu (DLDM) ni biashara kichaa, kwenda jela nje , nje, kufilisiwa nje nje.

    Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria. Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja ujanja kwa kutegemea kuwahonga wakaguzi wakifika. Dawa zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye hizi dldm...
  8. JamiiForums Tanzania Maombi ya Yabezi ni muhimu sana kwa maisha yako, usiache kuyaomba.

    Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10. Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
  9. JamiiForums Tanzania FAHAMU MAMBO MUHIMU KUHUSU UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO

    1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02. 2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99. 3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji. 4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ndejembi: Sifuri tatu ni muhimu kuokoa maisha ya mama na mtoto

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema juhudi za kuimarisha afya na uhai wa wanawake, watoto wachanga na watoto ni muhimu katika kujenga afya bora, nguvu kazi na...
  11. JamiiForums Tanzania Hali hii ya Tundu Lisu kusahau baadhi ya mambo muhimu akiwa kizimbani jana na kuiomba mahakama muda kuyasema leo, inatoa picha gani na kuashiria nini?

    Je, ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi? Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
  12. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  13. JamiiForums Tanzania Siku Muhimu zenye mafundisho Maishani

    Wakuu kuna moments huwa binadamu tunazipitia, zinakuwa ni nyakati ngumu zinazokupa mzigo kichwani kias kwamba unakata tamaa kabisa unajiambia moyoni hapa sitoboi dadek, ila unajipa moyo ngoja niendelee kujaribu ikishindikana basi. Halafu unaona mambo yanaanza kuclick, unaanza kuelekea kwenye...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Machinga Dar wachoshwa na ngojera za maendeleo ya vitu, wasisitiza maendeleo ya watu ndiyo muhimu zaidi

    22 September 2026 Tandika, Dar es Salaam Machinga wa jijini Dar es Salaam wasema maendeleo ya vitu siyo msingi wadai maendeleo ya watu https://m.youtube.com/watch?v=pUFAOzubI44 Chinga hao wa halmashauri ya Temeke eneo la Tandika jijini Dar es Salaam waonesha uelewa mpana wa maendeleo ni nini...
  15. JamiiForums Tanzania Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  17. JamiiForums Tanzania SETTINGS MUHIMU SANA KWA WATUMIAJI WA ROUTERS ZA 5G-CPE au 4G ZA UNLIMITED HUSUSANI WATUMIAJI WA AIRTEL NA MITANDAO MINGINE PIA..

    Habari zenu wakuu, hope mko poa kabisa.. Leo imenibidi nifanye ku share jambo muhimu sana kwetu hasa mnaoteseka na hizi Routers za ISPs wetu hawa wa bongo kwa muda mrefu sana na mawakala wao wengi hawana uelewa mkubwa sana juu ya hili tatizo so inabidi mhusika ndo ufanye configurations mwenyewe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Lissu inabidi aukatie rufaa uamuzi mdogo ili mashahidi muhimu anaowataka waje mahakamani

    Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu. Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani. Kwa ninavyoona, Waziri...
  19. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shahidi Muhimu wa Kesi ya Albert Ojwang Afariki Kabla ya Kusema Alichokuwa Anajua

    Kesi ya mauaji ya blogger na mwalimu Albert Ojwang imepata mgeuko mwingine baada ya afisa wa polisi aliyekuwa protected witness kufariki kabla hajatoa ushahidi wake mahakamani. Stephen Maina Nderitu, aliyekuwa akifanya kazi katika ofisi ya OCS katika Central Police Station, alifariki Jumatatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…