Hospitali ya Taifa Muhimbili
Public Institution
- Apr 9, 2026
- 11
- 33
Katika kutekeleza maelekezo hayo kwa vitendo, Muhimbili imefika nyumbani kwa Magdalena Andrew Vuga, bibi wa kijana Dismas Jackson mwenye umri wa miaka tisa (9), kwa ajili ya kumchukua na kuanza kumpatia matibabu yatakayofadhiliwa na hospitali hiyo.