muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viboko havina umuhimu wa kumfanya mwanao kuwa na adabu unapoteza tu Muda wako kumchapa

    Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko. Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa...
  2. JamiiForums Tanzania Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu na Bandari Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu

    Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu tukiwa busy Kuiokoa Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu Hakika Asali ya Shilingi Milioni 20, Asali ya Ndege Uarabuni, Asali ya Mapochopocho Magogoni Big House na Ndege Umbeyani imewafanya wasiwe na Uchungu wa kutaka kujua lolote lihusulo...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD

    Hadi muda huu, hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD Vile vile hakuna mkataba uliosainiwa kati ya nchi yetu na Dubai, isipokuwa kilichosainiwa ni AGREEMENT kati ya Tanzania na Dubai; kwa Dubai kuwekeza kwenye sekta ya Bandari NOT ALL AGREEMENTS ARE CONTRACTS, BUT...
  4. JamiiForums Tanzania Maendeleo/ Furaha Yako Ni Zao La Unaotumia Nao Muda Mwingi. Yajue Haya Na Uchukue Hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo/ Furaha yako ni zao la unaotumia nao muda mwingi. Yajue haya na uchukue hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile ipo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiishie bandari tu, huu ni muda wa kuidai na Loliondo pia

    Watanzania wenzangu, tumedharauliwa kiasi cha kutosha, tumeonewa kiasi cha kutosha, na watanzania wenzetu huko Loliondo wamenyanyaswa kiasi cha kutosha. Vijipesa vya mwarabu vimewatia upofu watawala wa CCM mpaka imefikia hatua wako radhi kufukuza wananchi katika maeneo yao ili kuipa familia za...
  7. JamiiForums Tanzania Huenda Wananchi wengi wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake

    Wananchi wengi watakuwa wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake kwa kuuziwa na wauzaji wa maduka madomadogo maarufu kama maduka ya mangi na waha. Wauzaji wa bidhaa hizo aidha hawafatilii muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa zao ili wazitoe dukani au wengine hujua na kufanya kusudi kuwauzia watu...
  8. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE. 99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:- 1...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa! Muda umefika wa kutambua uwezo na uthubutu wake aliyekuwa Rais wetu Hayati Magufuli

    Uwezo wa mtu upo katika kuamua kwa usahihi na kisha kutenda bila kusubiri Nchi yetu imekuwa na nyakati za kuongozwa na viongozi aina mbalimbali Viongozu wote duniani ili waingie kwenye record ya viongozi bora, hupimwa kupitia ufanisi woo wa kuongoza ikiwemo pamoja na uthubutu wao wa kuamua...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Suala la bandari tuwape muda wabunge

    Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu.. tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, Miaka 100 ni muda mrefu kiasi gani?

    Habari JF, Baada ya uelekeo wa kubinafsishwa bandari yetu ya DSM, nimejaribu kuangalia kwa undani miaka 100 ni mingi kiasi gani. 1. Hivi unajua nchi tangu imepata uhuru na awamu zake sita zote hatujafikisha miaka 100? 2. Hivi unajua Baada ya Miaka 100 karibu binadamu wote tuliopo sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Hasara za kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

    1. Hasira za mara kwa mara Mtu ambaye hajafanya mapenzi kwa mda mrefu upatwa na hasira kwa uharaka hata katika mambo madogo hata yasiyo na maana yeye huyatilia maanani. 2. Kuumwa kichwa mara kwa mara Kupatwa mahumivu ya kichwa mda mwingine hutokea hata kwa wale wanaofanya mapenzi mara kwa mara...
  14. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kuongeza Vivutio vya Utalii

    MHE. FESTO SANGA - NI MUDA MUAFAKA KUONGEZA VIVUTIO VYA UTALII Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Richard Sanga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa 'The Royal Tour' ambao umesaidia kuongeza watalii na kuweka rekodi ya kupokea...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

    Habari JF, Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu. Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Mrejesho wangu nikiwa kama mtumiaji wa tigo post paid Internet, The juice i get is worth the squeeze from my wallet

    Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
  17. JamiiForums Tanzania BM Coach kuanza safari saa 10 alfajiri

    Majuzi kati hapo wasimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini Latra walitoa taarifa za kuruhusu mabasi kusafiri kuanzia saa 9 usiku👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/latra-waruhusu-mabasi-kuanza-safari-saa-9-usiku.2093165/ Hadi kufika leo naona kampuni moja ya kuelekea Arusha ambayo ni BM...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu na mapambio kazi zilizofanyika na baadae kukimbizana na muda

    Nipo natazama wachangiaji wa bunge linaloendelea. Cha kushangaza wengi wa wabunge wanatumia muda wao mwingi wakitoa sifa nyingi kwa kazi zilizofanyika. Cha kushangaza zaidi baadae wanakimbizana na muda kutoa pointi za msingi na muda hauwatoshi. Niwambie wapiga kura watakupima kwa kile...
  19. JamiiForums Tanzania CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

    Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaelekea muda wa mavuno mikoani

    Wana Jamiiforums sasa ni muda wa kuangalia fulsa vijijini kwenye mazao....ni mkoa gani kuelekea mavuno unaweza ukachukua bidhaa mjini na kwenda kijijini kibiashara ukapata kufanya biashara kiwepesi...mfano SINGIDA kijiji cha maluga... Muda wa mavuno wa alizeti wanakuwa na uhitaji wa madumu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…