Nadhani ni muda wa kuwa na teachers with no boundary

The next JPM

Member
Feb 22, 2023
22
44
Habari za mapambano wakuu, Mimi ni mwanafunzi moja ya chuo kikuu kimoja apa Tanzania, Nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi ( mwaka wa pili).
Ni ended kwenye lengo la Uzi huu, kwa utafiti wangu mdogo nimegundua Kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu, kwa upande wa masomo yote yaani sayansi, Sanaa na biashara.
Hivyo ni kawaza kuwa ni muda sasa serikali kuanzisha TIMU YA WALIMU WASIO NA MIPAKA, Hawa wawe ni walimu ambao bado hawajapa ajira ila wawe wanapangiwa kwenye shule hasa za vijijini na wilaya za ndani ndani huko wawe wanapiga hata kambi za miezi sita wakifundisha kwa kujitolea huku waiiapata posho,
FAIDA ZA KUWA NA WALIMU WASIO NA MIPAKA
01. Itasaidia kuinua kiwango cha ufaulu hasa kwa shule za pembeni zenye uhaba wa walimu
02. Itakuwa kama njia japo si kamili, ya kupunguza tatizo la ajira kwa wahitimu wa fani hii adhimu ya ualimu
Hayo ni mawazo yangu wakuu karibuni wa comments na Mawazo yenu
 
Ni Mimi KALOLI S KALOLI mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi, chuo kikuu TEOFILO KISANJI
Kwa sasa Soma uhitimu masomo yako kwanza usije ukachanganyikiwa zaidi.
 
Washauri wa viongozi wa serikali,wanasashauri kua vyumba vya madarasa ndiyo tatizo,na siyo waalimu.
Acha ujenzi wa madarasa uendelee,kwanza watoto wa hao viongozi wanasoma shule kama Feza,St.Francis n.k.,hivyo waalimu hata wa njia hiyo,kwao siyo kipaumbele.
 
Hio itazidisha tatizo la ajira
Yaani mwalimu mmoja ataweza kuziba ridhiki za waalimu watano
Wote pekeake
Bado unaona ni faida??

Wazo lako ni zuri lakini kama endapo kungekua na uhaba wa waalimu

Lakini haifichiki mko shazi huku mtaani na ajira hakuna hata nafasi za kujitolea !

Labda mfungue tusheni😁
 
Habari za mapambano wakuu, Mimi ni mwanafunzi moja ya chuo kikuu kimoja apa Tanzania, Nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi ( mwaka wa pili).
Ni ended kwenye lengo la Uzi huu, kwa utafiti wangu mdogo nimegundua Kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu, kwa upande wa masomo yote yaani sayansi, Sanaa na biashara.
Hivyo ni kawaza kuwa ni muda sasa serikali kuanzisha TIMU YA WALIMU WASIO NA MIPAKA, Hawa wawe ni walimu ambao bado hawajapa ajira ila wawe wanapangiwa kwenye shule hasa za vijijini na wilaya za ndani ndani huko wawe wanapiga hata kambi za miezi sita wakifundisha kwa kujitolea huku waiiapata posho,
FAIDA ZA KUWA NA WALIMU WASIO NA MIPAKA
01. Itasaidia kuinua kiwango cha ufaulu hasa kwa shule za pembeni zenye uhaba wa walimu
02. Itakuwa kama njia japo si kamili, ya kupunguza tatizo la ajira kwa wahitimu wa fani hii adhimu ya ualimu
Hayo ni mawazo yangu wakuu karibuni wa comments na Mawazo yenu

Ni Mimi KALOLI S KALOLI mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi, chuo kikuu TEOFILO KISANJI
Pambana na chuo unalipwa mkopo stress za Nini?
 
Hio itazidisha tatizo la ajira
Yaani mwalimu mmoja ataweza kuziba ridhiki za waalimu watano
Wote pekeake
Bado unaona ni faida??

Wazo lako ni zuri lakini kama endapo kungekua na uhaba wa waalimu

Lakini haifichiki mko shazi huku mtaani na ajira hakuna hata nafasi za kujitolea !

Labda mfungue tusheni

Back
Top Bottom