muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ATCL na TRC ni suala la Muda tu kurudi tulikotoka

    Mnavyoshangaa maandamano ya Kenya kupigania maslahi ya Taifa lao, Wakenya nao wanawashangaa ambavyo hamuandamani kupigania Maslahi ya Taifa lenu! Hayo Mashirika mawili kuzikwa au kujizika ni suala la Muda tu! ATCL kutoka Dar to Mpanda ni Tsh 700,000/= ambayo kiuhalisia ni sawa na nauli ya DAR...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri viwekwe vigezo vya elimu, viti maalumu n.k Muda wa kuchangia usifanane kwa wabunge wote. Nilitamani Dr. Kimei aongezewe muda.

    Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu. Hatusitahili kuchuka kila kitu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bishop Josephat Gwajima: Mamlaka ya Rais yadhibitiwe Ili asitoke nje ya mpango na Dira ya nchi ya muda mrefu

    Salaam, Shalom!! Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya Taifa vya muda mrefu Ili ajikite hapo. Amesisitiza kuwa, maono ya Taifa ya muda mrefu yakiwekwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Adhabu gani nzuri ya kumpa Hawara ambaye unamwambia asipige Simu muda ukiwa na Mkeo na Yeye kwa Makusudi anapiga na Kukuponza?

    Naomba majibu yenu ya haraka kwani kuna Mpuuzi Mmoja ( Demu wa Njje ) naona anataka kulazimisha nimwache mazima leo baada ya Kuniponza tena kwa Makusudi. Hata kama Wanaume tuna Mahawara zetu Nje ( Nje Cup ) ila kuna muda huwa tunapenda Kucheza pia Mechi zetu za Kawaida na Kimashindano na Heshima...
  5. JamiiForums Tanzania John Bocco ndiye mfungaji wa muda wote wa ligi kuu Tanzania bara

    Jamaa hawezi itwa striker hatari ila amemake historia kubwa. Magoli 155.
  6. JamiiForums Tanzania Migogoro mingi inayotokea maeneo ya kazi inatokana na wanandoa kutotimiza wajibu wao wa kupeana tendo la ndoa

    Nikiwaambia 'banduaneni' kila wakati kama nifanyavyo ili muwe na Furaha na Wachangamfu muda wote mnaniona Muhuni...
  7. JamiiForums Tanzania Shule ilitupotezea muda ndomana tunateseka

    Kila nikikumbuka nilivyokuwa napambana kusoma shuleni ilihali nije kuishi Maisha mazuri baadae naumia sana Kweli nimeamini shule ilinipoteza muda mno
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

    Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweupe Umri Kuanzia miaka 20-27 Dini Mkristo (Msabato) Kabila Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe. Elimu Diploma/ Degree SIFA ZANGU Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweusi  Umri Miaka 28  Dini Mkristo (Msabato)  Kabila Msukuma (Mnyantuzu)  Elimu Diploma Kazi...
  10. JamiiForums Tanzania Uliwahi kuogopa sana kufanya nini ila baada ya muda ukaona ni kawaida tu tena ni kama vile umechelewa kuanza

    Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii. Majasiri wengi, walioamua na waliothubutu bila kusita walifanikiwa mapema kutimiza ndoto, nia, matarajiao na...
  11. JamiiForums Tanzania Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  12. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota

    Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni muda mrefu sina kumbukumbu ya ndoto yoyote ile, naota ndoto zaidi ya tatu lakini asubuhi ifikapo...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

    Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana. 1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba. 2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore. 3.Viktor Orban-Miaka 28...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Website za Serikali na mashirika ya umma hazifanyi kazi muda huu au ni kwangu tu? "This site can’t be reached"

    Habari wana jukwaa, Nimejaribu kuingia Website za serikali na za mashirika ya umma ila naona zote zinasema "This site can’t be reached". je kuna shida? na zote zinatumia server moja? Nimejaribu web zifuatazo; 1. IKULU 2. EGA 3. PSRS 4. NSSF 5. WIZARA KADHAA Jaribu na wewe mdau tujue.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90) IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close to making a decision regarding Hezbollah’s daily attacks on northern Israel amid the Gaza war. “We...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Vicobs wapewe maua, wametatua kilio cha muda mrefu cha kadeti orijino, kwa sasa hatuna haja ya kufanya mawindo mitumbani, Ni mkataba !!

    Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni original. yaani walioweza kununua kadeti original za dukani walikuwa ni wale daraja la juu zaidi kiuchumi...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Mungu angekupa nafasi ya kuamua uishi miaka uipendayo je ungechagua mingapi? (Sharti muda lazima)

    Toa sababu pia kwanini umechagua miaka hiyo. Mimi 1000 sababu ningependa kuona tabia ya nchi inavyobadilikabadilika.
  18. V

    JamiiForums Tanzania Aliacha shule haikupita muda tukasikia amerukia sumalia

    Huyu ndugu alikuwa mpole tu ila alipofika kidato cha tatu akawa haendi sana shule ikawa anashinda sana kwenye nyumba ya ibada Baadae akaacha kabisa shule kwa kusema anaingia kujifunza mambo ya gereji Kwenye gereji kweli ukiwa na kichwa chepesi pesa ipo Alienda gereji moja inamilikiwa na mtu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Watu kadhaa wakitoa ushuhuda mbaya muda wa kungonoka

    Hivi ushawahi kutana na tukio la kibabe mda wa kufanya mapenz I ,,,,hebu tiririka hapa tupeane story
  20. JamiiForums Tanzania Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

    20: Roma Mkatoliki 19: King Crazy GK 18: Inspector Haroun/Babu 17: Chid Benz 16: Joh Makini 15: Langa 14: AY/MASTA 13: Mwana FA/Binamu 12: Nick Mbishi 11: Faza Nelly 10: Ngwair/Mangwair/CowBama 9: Jay Moe/Mo Famous 8: Solo Thang 7: Balozi Do La Soul 6: KBC 5: Saigon 4: Afande...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…