muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Vyama visipoteze muda kukata rufaa itakayosikilizwa na waliowaengua, kama sharti ni ajira tumieni sharti hilohilo kuwaelimisha wafuasi wenu.

    Katiba ya nchi inampa haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliyetimiza umri wakupiga kura, hakina sharti la ajira. Maadamu wameweka sharti la ajira lisilokuwemo kwenye katiba mnabidi mwaelimishe wafuasi wenu kutoshiriki kwa wao wapigakura kwa kigezo cha wao kutokuwa na ajira.
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea. Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nafsi yangu inagoma kusafiri na treni ya SGR, napata hisia sio salama na ni suala la muda yatatokea ya kutokea

    Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali. Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna muda mwingine ni vema kukata tamaa

    Kuna muda mwingine ni vema kukata tamaaa🙄🙄🙄🙄🙄
  5. JamiiForums Tanzania Taa ya ABS kuna muda inawaka, muda mwingine inazima!

    Wakuu msaada kipi nifanye, gari ni Mazda Axela, brake zinafanya kazi fresh! Ila imewahi funguliwa kwa ajiri ya kuweka spacer!
  6. JamiiForums Tanzania Lissu kufuata njia ya Dkt. Slaa CHADEMA?

    Kuna kila dalili kwamba Lissu akaondoka Chadema Muda wowote kuanzia sasa.. Nimekuwa nikifuatilia muenendo wa muda mrefu kati ya Lissu na Chama chake ni kama wameparanganyika.. Lissu ana support ya watu wanaojiita "Sauti ya Watanzania" kundi la wanaharakati ambao wanajipambanua kwamba wapo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Mastermind Tobacco walalamika kufanya kazi muda mrefu bila kupewa ajira rasmi

    Kampuni ya Mastermind Tobacco Tanzania Limited inayopatikana Jijini Dar es Salaam maeneo ya Tazara imelalamikiwa na baadhi ya Wafanyakazi wake kwa kuwafanyisha kazi muda mrefu bila kuwapatia ajira. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakupenda jina lake kuwekwa hadharani Wafanyakazi...
  8. JamiiForums Tanzania Amenisumbua sana kuwa ananipenda nikamkatalia, alipozidi kunisumbua nikamwomba laki 1 niende hospitali, saivi hapatikani hewani, nifanyaje?

    Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu? Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari.. Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya Nafasi (Space) na Muda (Time) ni kipi kinatangulia?

    Je ni Muda ndio huleta nafasi au nafasi ndio huleta muda Mwanzo 1:1 [1]Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Wataalamu wa haya mambo naomba mtupe maarifa kwenye huu mjadala.
  10. JamiiForums Tanzania Suzuki Vitara: Muda wa kwenda Full Electric sasa!

    Wajapan wanakaza sana kwenda EV, na Suzuki hajawahi kutuletea EV sasa amebanwa imebidi atuletee eVitara. Ni small SUV itakayokuja na battery tofauti tofauti na ndogo kabisa itakua ni 49kWh itakayokua na range ya 400 km. Specifications nyingine hawajatupatia ila tutegemee kuiona 2025.
  11. JamiiForums Tanzania PPRA: Inapotokea kuna changamoto ya Mtandao katika Mfumo wa NeST huwa tunasogeza mbele muda wa Tenda

    Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA Mtandao wa Manunuzi (NEST) una changamoto sana Afisa Uhusiano wa Umma wa PPRA, Joseph Muhozi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wasivyojua thamani ya muda

    JINSI VIJANA WASIVYOJUA THAMANI YA MUDA LIFE BEGINS AT 40.... HOW OLD ARE YOU? Life Begins at 40.... Huo ni msemo wanao Waingereza wakimaanisha maisha yako ijapokuwa yanaanza toka milele iliyopita na toka umeumbwa au toka umefika duniani na toka umeanza kukua nk nk lakini bana maisha #halisi...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Chadema kitashinda uchaguzi wa mitaa? Lissu anatumia muda mwingi akiponda raha Belgium, hajishughulishi na lolote

    Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya, sisi kwetu ni hapahapa, tupatunze
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?

    Wakuu, Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?
  15. JamiiForums Tanzania Watu wanaosali muda huo kisha baada ya hapo anafanya ufusika hiyo ni sahihi?

    Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja, Huyu jamaa ana familia na watoto ila anachonishangaza ni, anatongoza mabinti wadogo wazuri bila kujali wameolewa au raha. Alafu mchana na jioni anaenda kuswali msikitini...
  16. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sijui mgogoro huu utafika wapi wa Viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, baadhi hawamtaki Mwenyekiti aliyemaliza muda wake

    Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana. Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza muda wake (Abubakar Self) kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine kutokana na jitihada zake za kuibua...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo ya Dating Apps: Kupata Mapenzi Huko ni Rahisi au Unapoteza Muda?

    Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
  18. JamiiForums Tanzania “No hurry in Africa” Neno ambalo mara kadhaa limepotezea muda watu wengi sana

    Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia. Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida. Hili ni neno limewahi kukucheleweshea kitu gani cha msingi?
  19. D

    JamiiForums Tanzania Niko single kwa muda mrefu, natafuta mpenzi

    Nipo hapa kutafuta mchumba mwanamke nimekuwa single kwa muda mrefu. Vigezo dini yeyote, umri wowote sichagui mahusiano serious kwa ambaye yupo serious ani Pm niko DSM.
  20. JamiiForums Tanzania Tutemegee kuona maghorofa zaidi yakijengwa, kuna wanasiasa waliofukuzwa uwaziri watafilisika muda si mrefu

    Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila lawama yoyote ile Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…