muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Jinsi ya Kutunza Betri ya Gari Ili Iweze Kudumu Muda Mrefu

    Jinsi ya Kutunza Betri ya Gari Ili Iweze Kudumu Muda Mrefu Betri ni moyo wa gari lako – bila betri yenye nguvu, gari halitaweza kuwaka wala kuendesha mfumo wake wa umeme. Kutunza betri vizuri ni muhimu sana ili iweze kudumu muda mrefu na kuepuka matatizo yasiyotegemewa barabarani. 1. Angalia...
  2. W

    Una lipi la kumwambia Kamanda wa Mama?

    Kamanda wa mama amjibu Polepole,adai dadaake hakutekwa bali alikuwa kwa mumewe. Unalipi la kumwambia huyu kada wa mama? 🤣🤣
  3. Kuna muda maalum wa kuteua wagombea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania?

    Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
  4. P

    Muda sio mrefu nitakuwa na Ridhiwani Kikwete, nimwambie nini?

    Watanzania mpoo, Leo nakutana na RIDHIWANI, mnataka nimwambie nini? Makavu bila chenga Leteni ujumbe wenu wa wazi, bila kuzunguka
  5. Wanamuziki 5 Bora wa Kike wa Rumba kutoka Kongo wa Muda Wote

    Ndugu wanajamii, Leo nimekuja na mada inayoweza kuzua mjadala lakini yenye umuhimu mkubwa katika historia ya muziki wetu wa Rumba kutoka Kongo. Tunapozungumzia Rumba, mara nyingi tunawaona wanamuziki wa kiume wakipewa kipaumbele, lakini ukweli ni kwamba wanawake wamekuwa na mchango mkubwa sana...
  6. Kama unamuda wa kusali huna muda wa kusikiliza mrejesho wa Mungu unapoteza muda bure

    Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu. Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo. Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia...
  7. K

    Mnapoteza muda bila reforms mnaonekana kama watoto! Mama hauziki!

    Mnapoteza muda bila reforms mnaonekana kama watoto! Mama hauziki! Hata kama mkiweka post 100 haisaidii chochote
  8. Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  9. Sio muda tutakua na Formula AI. Sijui utamu wa racing utakua hivi hivi au ndio ushavamiwa?

    Wakuu. Kuna hii trend kwenye tasnia ya mashindano ya magari naona inaanza kuja, ya AI racing, ambapo magari yakiwa yanajiendesha yanashindana kama F1 mfano (Formula AI tuite)! Mi naona car racing sio tu kuhusu ubora wa magari, ubora wa team na teknolojia zao, ila skills na endurance za dereva...
  10. Mpaka muda huu REFORMS kabla ya UCHAGUZI/ELECTION zina hitajika kuanzia ndani ya vyama vya siasa mpaka kitaifa

    WAKUUU nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana. Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na...
  11. Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  12. S

    Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

    Reformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker, Hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa kwa wapenda haki,old phase ya previous checker itakuwa over,lakini ni huzuni kubwa kwa wabubujikwa...
  13. T

    Ili tufikie malengo ya dira ya taifa kabla ya muda tarajiwa inabidi kupunguza Pato la wanasiasa wapewe wataalamu wa kada mahususi

    Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
  14. Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

    Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon , 🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka Britanicca
  15. Hivi kuna madhara gani kwa Mtu pale anapojizuia kutoa/kuachia gesi kwa muda mrefu?

    Iwe kwa makusudi tu au kwa sababu ya mazingira magumu yanayomzunguka Mtu. Wapo wale ambao shughuli zao za kila siku hujumuisha kuzungukwa na Mtu au watu wengine,na isivyo bahati kitendo hiki cha kuruhusu gesi kutoka ni tendo linalosababisha fadhaa kubwa kwa Muhusika pale anaposikika na Mtu au...
  16. Mbowe anapata Muda wa kuhudhuria Uzinduzi wa Dira 2050, ila hapati Muda wa kuhudhuria Kesi ya Lissu, Jamaa anaumia kuondoshwa CHADEMA

    Biashara yake ya Kisiasa yote imekufa !! Kwa hakika CHADEMA Sasa ndio chama Cha Upinzani !!
  17. Askofu Gwajima biashara imeisha hiyo, tumia muda huu kutafuta ujasiriamali mwingine

    Friends and our Enemies, Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo... Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima.. Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku...
  18. Kama haujatazama "ICE ROAD 2" usipoteze muda wako kuitazama

    Nimetazama hii movie 🎥 🍿, dah najuta mzee kupoteza muda wangu. Kwanza nilipoona tu director ameshirikisha wahindi nikaweka doubt ila nikajikaza kwasababu najua star wa movie ni mzee mzima Liam (actor wa TAKEN 1,2 &3) huwa kazi zake zimekaza na ni za kibabe. Dah, aisee kuitazama hadi mwisho...
  19. Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

    Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu . Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda . Nina mashaka Makubwa na Elimu yake. Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi. Hatuwezi...
  20. Tetesi: Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!!

    Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!! Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Chadema Tundu Lissu jana ameendelea kufanya makosa ya msingi mahakamani ambayo yataendelea “kumcost” kisheria na hata kisiasa. Twende moja kwa moja sasa. Kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…